watetezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Kwenu watetezi wa ndoa

    Mmekua na kasumba wa kutushambulia ambao hatutaki ndoa lakini insasikitisha sana mashambulizi yenu huwa hamlengi kwenye point mahususi. Utetezi wenu huwa unalenga zaidi kwenye dhiaka mfano kataa ndoa ni mashoga, hawana hela, wamelelewa na single parent, wana trauma n.k lakini kwenye point huwa...
  2. B

    Kwanini CCM ya Sasa Imekosa Watetezi kwenye Social Media Mithiri ya Cypirian Musiba na akina Zack wa Twitter?

    Katika hali ya kushangaza kumetoka aidha mgomo au chama kimekosa Mvuto kabisa. Wengine wanadai aaah wapi sio kukosa mvuto bali chama hakitoi maokoto kama zamani hivyo watu wanaovutwa na mafumba wamekikacha. Enzi za huko nyuma tulishuhudia social media zilizobamba kwenye anga la Tanzania...
  3. Buenos Aires

    Hizi ni posts zilizotengenezwa na jeshi la israel

    https://www.instagram.com/p/CytxASppZGn/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== https://www.instagram.com/p/Cyttef9pL-Z/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Wavamizi wa kiyahudi wakifanya yao, huku wanauwa watoto, wazee, wajane n.k, na wala hawajali. Ndugu zangu waislamu, tuzidi kuwaombea ndugu zetu kwa mitihani...
  4. M

    Watetezi wa Rais Samia wamekosa hoja, inaonesha wamezidiwa

    Mimi binafsi kama raia wa kawaida nilitarajia kusikia watetezi wa Rais Samia wakijibu hoja za Lissu, Mwambukusi na wengineo kwa hoja zenye mantiki. Mfano, kwa nini IGA ni mkatataba tayari kama ibara ya 2 ya IGA inanyosema. Kwa nini IGA iseme migogoro itapelekwa ICSID Kinyume na sheria za ulinzi...
  5. R

    Kwanini CCM imekubali kudhalilika? Kwamba bandari imebaki na Kitenge na Mwijaku kama watetezi? Na tunaona tupo njia sahihi?

    Thamani ya rasilimali zetu imeshushwa chini kutoka kwenye utetezi wa watu makini hadi kutetewa na chawa; chawa hawana hoja wana matusi na tunaamini tutapiga hatua ? Ni fedhea kubwa sana kuona baraza la maaskofu na watetezi wengine wa rasilimali zetu wanakosa wasome wakuwajibu badala yake...
  6. R

    Mtandao wa watetezi wa haki za Binadamu waomba kukutana na Rais Samia kuhusu suala la watuhumiwa wa "Uhaini" wa Mwabukusi et al

    Hayo yamesemwa na Kiongozi wa jopo la watetezi wa haki za Binadamu Anna Hega wakati walipokutana na waandishi wa habari jana. My take: 1. Jambo kubwa kama hili la Uhaini haliwezi kupelekwa mahakamani bila prior approval/ or the President to be informed. Anna Hega, sahau hilo. Lazima Samia...
  7. S

    Mlifikiri yataishia kwa Wamasai wa Loliondo tu?

    Walipoondolewa Wamasai kule Loliondo, kuna watu walitetea sana maamuzi yale wakidhani maamuzi kama yale yataishiwa kwa Wamasai tu, hawakujua yale maamuzi yalikuwa yanaweka precedence mbaya kwa siku zijazo. Leo tunavuna tulichopanda halafu tunalialia! Tumelaniwa!
  8. Nigrastratatract nerve

    Wezi wa kuku wanachomwa kwanini mafisadi yalipoadhibiwa na Magufuli watetezi wao walifurahia

    Yaaani Kuna watu wanaiba kuku na vitu vidogo vidogo mitaani wanachomwa moto wengine kupigwa vibaya Sana iweje waliofoji vyeti washughulikiwe iwe nongwa iweje watendaji wazembe washughulikiwe iwe nongwa kwa mafisadi na watetezi wake. Magufuli alilegeza kamba alitakiwa awe mkali zaidi na...
  9. J

    Hayati Magufuli hayuko duniani lakini ana watetezi wengi kuliko wenye fedha walio hai

    Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania unatetea na kuwapinga hadharani wanaomtukana. Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko...
  10. J

    Wabunge watetezi wa kweli wa hoja za wananchi Gambo anaongoza

    Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo ndio anaongoza kwa hoja nzito za kuwapigania wananchi ndani ya Bunge tofauti na wabunge wengine wa kusifu na kuabudu akifuatiliwa na Bashiru Ally. Tuweke list ya top 5 ya wabunge watetezi kweli wa hoja za wananchi bungeni; 1. Mrisho Gambo 2. Bashiru Ally
  11. C

    Nikiangalia Bunge letu naona wachekeshaji na sio watetezi wa wananchi

    Wakuu, Mimi hua nikiangalia bunge letu naona wachekeshaji tu na watu wenye vioja na mzaha mwingi yaani ile dhana ya wawakilishi inafia hapo. Hua najiuliza hawa jamaa wanaenda mule ndani na mawazo yao au mawazo ya wananchi? Haiwezekani tozo ipitie kwao wapitishe sheria baadae wananchi...
  12. Waziri wa madini

    Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Ukimya umekuwa mkubwa kwa wanaharakati na wanasiasa ,ukimya ambao unashtusha na kutia hofu kubwa. Leo hii yupo wapi Zitto Kabwe tuliyemzoea kukosoa serikali kwa hoja zenye mashiko, yupo wapi Freeman mbowe na tindu lissu wasemaji hodari wa kuwasemea wanachi pale Mambo serikalini yanapoenda...
  13. BigTall

    Albert Msando: Wanahabari kuweni watetezi wa Haki za Binadamu, msiegemee upande mmoja

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka wanahabari kuendelea kufanya kazi kwa bidii na ueledi zikiwemo za utetezi wa Haki za binadamu ili kuongeza tija katika kuwahabarisha wananchi taarifa zilizojitokeza na zitakazojitokeza. Msando amesema hayo Mkoani Morogoro wakati akifungua...
  14. Roving Journalist

    Dar: Rais Samia awa Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)

    Wadau wa haki Nchini Tanzania wanakaribishwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu, leo Mei 13, 2022 kwenye Ukumbi wa PSSSF Jijini Dar es Salaam Shughuli hiyo inatarajiwa pia...
  15. Nyankurungu2020

    Sukuma gang sio hate speech, bali wapinga ufisadi na watetezi wa rasilimali za taifa. Mbona wengi wao sio wasukuma.

    Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang. Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang. Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma. Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi. Bashiru Ally Kakurwa ni Sukuma gang na sio mzukuma. Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma...
  16. JanguKamaJangu

    Ngorongoro: Tamko baada ya Diwani, Watetezi wa haki za binadamu kukamatwa na Polisi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeelezewa kusikitishwa na matukio ya kukamatwa kwa watetezi wa haki za binadamu, jana Machi 23, 2022 Wilayani Ngorongoro. ----------------------------------------------------------------------------------------- NGORONGORO: TAMKO...
  17. Wildlifer

    Watetezi wa Mo acheni fikra za Kinyonge, Mo ni mfanyabiashara sio mfanya hisani

    Mwaka 2008, nakumbuka nilisafiri kwenda huko Mpanda. Sasa basi tulilopanda, lilichelewa sana kuondoka. Abiria tulianza lalamika. Kondakta wa basi akatujibu 'kwanza hampaswi kulalamika, inabidi mumshukuru sana huyu Ali, maana amewasaidia sana kwa kuweka basi kwenye njia hii'. Kauli ile ilinikera...
  18. J

    Rais Magufuli alikataa kuongeza mikoa kwa kuwa inaongeza gharama, alisema la muhimu wananchi wapatiwe huduma

    Magufuli alipoombwa kuugawa mkoa wa Tabora ambao unastahili zaidi kugawanywa kuliko huko Chato alijibu na kusema hawezi kugawa mikoa kwa sababu ni gharama, Pia alishaombwa kuugawa mkoa wa Morogoro na akatoa majibu hayo hayo. Leo Hoi tunasikia mkoa wa Chato umegawanywa kilazima licha ya wananchi...
  19. Kamanda Asiyechoka

    Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

    Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli. Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
Back
Top Bottom