Watu wengi hasa Watanzania tupo vizuri kwenye kukosoa na kulaumu kuliko kutoa njia za utatuzi

Ndenji five

JF-Expert Member
Nov 1, 2021
1,985
3,083
Hii hupelekea hata viongozi wao washindwe kujua nini wawafanyie hawa binadamu hasa wa Kitanzania kuwaridhisha matokeo yake kila mmoja hufanya anachojua

Tokea kuzaliwa kwangu mpaka kufa kwangu sijawahi kuona

Rais au mtu yoyote akisifiwa akiwa ndani ya muhula wake zaidi ni vilevile "bora aliyepita"

Wananchi wenzangu hasa wa kitanzania siku zote unavyomkandia mtu au kumtwishwa lawama bila kumpa muongozo unamgeuza kuwa adui. Ndio maana tumekuwa na viongozi na watu wenye tabia za hovyo

Na wala sishangai maana hata ungekuwa wewe tusingefanya vizuri sehemu yenye kukatisha tamaa

Mfano nilitegemea kunapotokea tatizo fulani watu wakajitokeza kusema Mheshimiwa kwa tatizo hili fanya hili na hili

Lakini hakuna hayo zaid ni bora yule bora yule, je tutafika

Huwezi tatua tatizo kwa kulifanya halipo nchi ni yetu sote tusimtegee mtu

Huwezi panda maembe ukavuna nanasi tabia za viongozi wetu imeanzia huku kwetu ila kwa kuficha tatizo tunaona bora yulee

Kuna muda tujalibu kujivesha uhusika je ningekuwa mimi
 
we jamaa bhana! yaani upewe majukumu ushindwe kuyasimamia/uyatekeleze ovyo watu wasikulaumu? je, wewe kama kiongozi hujui wajibu wako?
 
Hilo unalosem ni sahihi hata huku jamii forum ukito uzi/comment yenye spelling error wata ikosoa sana na iliyokuw sawa hawataisapo watakaa kimyaah
 
Kwa hiyo kiongozi afanyiwe kila kitu na wananchi. Kazi yake itakuwa ni ipi? Kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na kiongozi kama anakuwa incompetent?
Lazima tuwawajibishe wanalipwa na kodi zetu. Kama hawana thick skin waachie ngazi. Kama kiongozi hawezi kutekeleza majukumu yake, anasubiria wananchi wambembeleze basi hatuna haja ya viongozi. Tutajiongoza wenyewe.
 
Hii hupelekea hata viongozi wao washindwe kujua nini wawafanyie hawa binadamu hasa wa Kitanzania kuwaridhisha matokeo yake kila mmoja hufanya anachojua...
Hiili linatokea Kwa kuwa wengi wetu hatuna usikivu mithili ya kenge, hivyo Imani ni kuwa kuwa kosoa watajirekebisha.
 
Mnamchanganya mkuu mnaulizwa mpewe shubiri ? NDIYO
Mpewe Asali nyie NDIYOOOanakuwa hajui hitaji lenu
laiti kama watumishi wa umma wangekua wanawajibika ipasavyo kama wanavyowajibika watumishi wa sekta binafsi unadhani wangelaumiwa kiasi hiko? chanzo cha lawama hizo ni wao wenyewe maana wanapopewa mamlaka wanakua miungu mtu huku utumishi ukiwa zero.
 
Pia vitabia vya kitanzania vya uvivu, uzembe, kutowajibika na matumizi mabaya ya ofisi kwa manufaa binafsi.
 
Wala aina hiyo ya wapaukaji, ukiwaachia wao hawawezi kuyafanya hata robo ya wayasemayo..

Kiujumla naona ni mtu kukosa kazi ya kufanya tuu, ndio hukalia umbea na kubwatuka/kupayuka
 
Kwa hiyo kiongozi afanyiwe kila kitu na wananchi. Kazi yake itakuwa ni ipi? Kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na kiongozi kama anakuwa incompetent?
Lazima tuwawajibishe wanalipwa na kodi zetu. Kama hawana thick skin waachie ngazi. Kama kiongozi hawezi kutekeleza majukumu yake, anasubiria wananchi wambembeleze basi hatuna haja ya viongozi. Tutajiongoza wenyewe.
Akili kama hizi huwa ni za kijana tegemezi, ambae yupo kwa Mumewe, Shemeji yake, wazazi au walezi wake, kila kitu anakuwa provided, anakula akishashiba ndio hutoa maneno ya aina hii.

Kama ni mtu una majukumu na watu wanaokutegemea, angalau familia tu basi usingesema maneno ya namna hii.

Badala ya kutumia muda na nguvu zako kwenye kuporomosha lawama kwa kiongozi basi tumia nguvu na muda huo kwenye kuonesha njia bora ya kufuatwa.
 
Wanashambuliwa kwa sbb walingia na gear ya kumkandya magufuri lakini mada mfupi wao ndo wamekuwa majipu makubwa sana.Tunawauliza yale waliokuwa wanatuahidi yamefikia wapi

Hii hupelekea hata viongozi wao washindwe kujua nini wawafanyie hawa binadamu hasa wa Kitanzania kuwaridhisha matokeo yake kila mmoja hufanya anachojua

Tokea kuzaliwa kwangu mpaka kufa kwangu sijawahi kuona

Rais au mtu yoyote akisifiwa akiwa ndani ya muhula wake zaidi ni vilevile "bora aliyepita"

Wananchi wenzangu hasa wa kitanzania siku zote unavyomkandia mtu au kumtwishwa lawama bila kumpa muongozo unamgeuza kuwa adui. Ndio maana tumekuwa na viongozi na watu wenye tabia za hovyo

Na wala sishangai maana hata ungekuwa wewe tusingefanya vizuri sehemu yenye kukatisha tamaa

Mfano nilitegemea kunapotokea tatizo fulani watu wakajitokeza kusema Mheshimiwa kwa tatizo hili fanya hili na hili

Lakini hakuna hayo zaid ni bora yule bora yule, je tutafika

Huwezi tatua tatizo kwa kulifanya halipo nchi ni yetu sote tusimtegee mtu

Huwezi panda maembe ukavuna nanasi tabia za viongozi wetu imeanzia huku kwetu ila kwa kuficha tatizo tunaona bora yulee

Kuna muda tujalibu kujivesha uhusika je ningekuwa mimi
 
Kukosoa bila solutions hakuhitaji akili wala kufikiri.Mjinga yeyote anaweza kukosoa tena kwa ultimatum na vitisho lakini muombe aseme kipi cha kufanya kurekebisha anachokosoa utaambulia matusi.
 
Hujawahi kuona au kusikia Marais wakisifiwa?
Unafahamu jina Mataga lilitoka wapi?

Back
Top Bottom