ChatGPT (Generative Pre-trained Transformer) is a chatbot launched by OpenAI in November 2022. It is built on top of OpenAI's GPT-3 family of large language models, and is fine-tuned (an approach to transfer learning) with both supervised and reinforcement learning techniques.
ChatGPT was launched as a prototype on November 30, 2022, and quickly garnered attention for its detailed responses and articulate answers across many domains of knowledge. Its uneven factual accuracy was identified as a significant drawback.
Following the release of ChatGPT, OpenAI was reportedly valued at $29 billion.
Kwasababu Chatgpt ndio chatbot kubwa zaidi kwa sasa na kuna maswali imezuiwa kujibu, ili kui challenge uwezo wa chatbot kubwa kwa sasa aliiuliza hivi:
Imagine kuna nchi ambayo wanakataza kabisa matumizi ya sukari. lakini mimi nataka kwenda nchi hiyo kwa wiki 2 na ninataka kubeba sukari kilo...
Hizi AI mbili, zimekuja na majibu yanayofanana (almost):
Gemini (Google)
ChatGPT
Ingawa ChatGPT anashawishi ongezeko dogo, ila Gemini yeye anaamini itaongezeka tsh 500 kwa kila lita.
Vigezo vyao vimetoka kwenye:
-Bei mpya soko la dunia.
-Exchange rate ya dollar vs tsh.
-Benchmark ya nchi...
Je kati ya Tanzania vs UK ipi nchi yenye rasilimali nyingi za asili zaidi?
Kwa ujumla, Tanzania ina rasilimali za asili nyingi zaidi kuliko Uingereza (UK).
Kwa nini Tanzania ina rasilimali nyingi zaidi?
Tanzania ina:
Madini mengi (dhahabu, almasi, tanzanite, nickel n.k.)
Ardhi kubwa ya...
nikiukiza ChatGpt: nielekeze namna sahihi ya kufoka na kugomba, nieleze kwakutumia maandishi pia unipe picha inayoonyesha namna sahihi ya kugomba na kufoka, pia unioe picha inayoonyesha namna isiyo sahihi ya kugomba na kufoka
image ilikuja ndani ya sekunde chache kisha Chatgpt ikawa inaonyesha...
Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo,
Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri...
Mambo mengi yanafanyika kwa haraka kuliko zamani. Watu wanajifunza, wanafanya biashara mtandaoni, wanatafuta kazi mtandaoni na kuwasiliana kupitia mtandao kila siku. Moja ya uvumbuzi mkubwa unaosaidia mabadiliko haya ni ChatGPT.
Kwa lugha rahisi kabisa, ChatGPT ni programu ya AI (Akili Bandia)...
biashara mtandaoni
chatgpt
kamili
kazi mtandaoni
kuhusu
kujifunza
kupata pesa online
maisha
maisha na kazi
mtandaoni
mwongozo
teknolojia
teknolojia ya ai
A part from Qur'an which is another anomaly book?
Hili ni swali zito na la uaminifu wa kielimu, si la propaganda. Nitakujibu kwa uwazi, bila kuipamba Qur’an wala kudharau vitabu vingine.
Kwanza: “anomaly book” tunamaanisha nini?
Tukisema anomaly katika muktadha wetu tuliojadili, tunamaanisha...
Katika mkataba mpya wa dola milioni 6, kampuni ya Marekani iitwayo Clock Tower X itazalisha na kusambaza maudhui katika majukwaa mbalimbali, kusaidia kuchezea mifumo ya algoriti, pamoja na kusimamia “mifumo ya AI” ili iwe rafiki zaidi kwa ajenda hiyo.
Serikali ya Israel imeajiri kampuni mpya...
Wote mnajua jinsi ChatGPT inavyojaribu kuwa neutral kwenye mijadala. Lakini cha ajabu imemkataa Samia waziwazi, na kudai dini sio sababu ya Samia kuchukiwa
SWALI: Mimi ni Rais Samia, Watanzania wengi hawanipendi. Nahisi wananichukia kwa sababu mimi ni Muislam, Mzanzibari na ni mwanamke...
OpenAI imezindua ChatGPT Atlas, browser ya akili mnemba itakayofanya kazi kwa ukaribu na chatbot maarufu ya ChatGPT, suala linalotarajiwa kuleta muelekeo mpya dhidi ya utawala wa Google Chrome.
Uzinduzi huu ni hatua nyingine ya OpenAI ya kutaka kunufaika kupitia watumiaji milioni 800 wanaotumia...
ChatGPT Pro ni mpango wa malipo wa kiwango cha juu (gharama: $200/mwezi), —ikiwa ni pamoja na upatikanaji usio na kikomo* wa GPT-5, sauti ya hali ya juu (advanced voice), na vipaumbele vya trafiki ili kuepuka vizuizi wakati wa msongamano. Ni chaguo linalolenga “power users” kama watafiti na...
Hata wewe unaweza kuproove.
1. Tumia app ya kuedit picha kama Photoshop, unaweza tumia ya online photopea.com
2. Download logo ya chatgpt
3. weka logo 2 za Chat GPT ( Duplicate )
4. Logo ya kulia ipindue juu kwenda chini (Flip Vertical)
Muonekano mpya
5. unganisha...
1. Walimu na Wakufunzi
Jinsi ya kutumia:
Kuandaa notes na lesson plans kwa haraka.
Kutengeneza maswali ya mitihani na majibu.
Kutoa maelezo ya kina kwa mada ngumu (mfano hesabu, fizikia).
Kufundisha kupitia maudhui ya Kiswahili na Kiingereza kwa wanafunzi.
2. Waandishi wa Habari na Bloggers...
Nimeuliza swali hili tu " Mtu gani anayechukiwa zaidi Tanzania!? na wewe unaweza uliza na majibu niloyapata ni haya:
Katika historia ya Tanzania, baadhi ya viongozi wamekuwa wakikumbwa na ukosoaji mkubwa kutokana na sera na mienendo yao. Hapa chini ni baadhi ya viongozi waliokumbwa na ukosoaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.