vimelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bryan2

    Ongezeko la wagonjwa wenye Vimelea vya Helicobacter Pylori nini Shida

    Helicobacter Pylori ni bacteria ambao wanasadikika kusababisha vidonda vya tumbo na pia Kansa ya utumbo/tumbo, njia zake za kuambukizwa ni kupitia matumizi ya vitu vyenye vya H-Pylori kama vile maji au vyakula na pia kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine. Helicobacter Pylori ni kati ya...
  2. JanguKamaJangu

    Abiria wa Treni ya TAZARA washushwa mpakani ili Treni Ipulizwe Dawa ya kuua vimelea vya Kipindupindu

    Abiria wa Treni ya TAZARA iliyotoka Zambia wameshushwa mpakani Tunduma ili Treni ipulizwe dawa ya kuua vimelea vya Ugonjwa wa Kipindupindu. Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Dr. Enock Mwambaraswa amesema hatua hiyo imekuja kutokana na taarifa za kuwepo kwa Ugonjwa wa Kipindupindu...
  3. Damaso

    Ifahamu Meguro Meguro Parasitological Museum: Makumbusho ya Vimelea.

    Habarini Wakuu! Pole kwa wagonjwa wote Mungu aendelee kuwapambania na mkapate afya njema! Kwa wale ambao wapo wazma basi Kazi iendelee. Japani ni mojawapo ya nchi zenye ustaarabu wa kale wa pekee sana na ina historia nzuri na tofauti na nchi zingine duniani. Mandhari ya kustaajabisha na...
  4. ronald swai

    Usugu wa vimelea dhidi ya madawa

    Upinzani wa antimicrobial unarejelea uwezo wa vijidudu, kama vile bakteria, virusi, kuvu, na vimelea, kuhimili athari za dawa za antimicrobial. Hii inaweza kufanya matibabu ya kawaida kutofaa, na kusababisha maambukizi ya kudumu na hatari kubwa ya kuenea kwa wengine. Inaleta tishio kubwa la afya...
  5. Mabula marko

    SoC02 Mabadiliko ya fikra za Vijana katika kujishughulisha na kilimo

    Picha na farming Africa. UTANGULIZI Nchi nyingi katika dunia ya leo hasa zile zinazoendelea zikiwemo nchi za AfriKa hasa katika ukanda wa Sahara ikiwemo Tanzania watu wake hutegemea sana kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wao kutokana na ukweli kwamba watu wake wanakaa katika maeneo ya...
  6. Mabula marko

    SoC02 Kuenea kwa usugu wa vimelea na vimelea sugu vya magonjwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu kupitia matumizi ya mbolea za wanyama katika kilimo

    DIBAJI Katika dunia ya leo ambayo muingiliano wa shughuli za kilimo na maisha ya binadamu vinaongeza utegemeano ongezeko la magonjwa sugu linaongezeka siku hadi siku kutokana na hali kwamba , matumizi ya mbolea kutoka kwa wanyama na biandamu katika kilimo hususani kilimo hai yanaongezeka na...
  7. Gama

    Vimelea vya Polio vyaonekana UK

    Mamlaka za afya nchini Uingeleza zimesema kuwa vimelea vinavyosababisha ugonjwa wa Polio vimeonekana katika maji taka nchini humo na kuashiria kuwa huenda watu wachache wanaweza kuwa wameambukizwa ugonjwa huo Kaskazini na Kusini mwa Mji wa Londoni. Mpaka sasa hakuna mtu aliyedhibitika kuwa na...
  8. chivala

    Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

    Wana JF nawasalimu, Wakuu nikiachana kwa upande wa dini zetu ISLAMIC na SABATO-CHRISTIAN uhalali na haramu wa NGURUWE, kuna mambo mengine yanayosemwa kuhusu nyama ya nguruwe. Mimi sijui kama ni uzushi au ni kweli kwa hivyo nawaomba wana jamvi watufafanulie sifa hizi nzuri na mbaya zinazo...
  9. Mshana Jr

    Manii huathiri kama vimelea vya kichaa cha mbwa

    Mungu ameumba jinsia mbili tofauti, ya kike na ya kiume. Hizi jinsia mbili hazifanani maumbile yake ya siri yaani vile via vya uzazi. Katika hilo kuna mtoaji na kuna mpokeaji. Huwezi kubadili huo mfumo hasa cha mtoaji umpelekee mtoaji mwingine. Ni kinyume na maumbile hivyo lazima adhurike! Manii...
Back
Top Bottom