Nyoka wana mfumo mkali sana wa kunusa (kupitia ulimi wao na kiungo kinachoitwa Jacobson's organ), hivyo huwa wanajiepusha na mimea yenye harufu kali au inayochoma.
Hapa kuna orodha ya mimea na maua ambayo nyoka hawayapendi:
Mkitza / Kitunguu Saumu (Garlic) na Kitunguu Maji: Mimea hii hutoa...
Glasi iliyopinduliwa chini juu inanasa utupu unaoficha kile ulichopoteza nyumbani kwako
Unapojua kuwa kipo mahali fulani ndani ya nyumba lakini umetafuta kila kona na bado hakionekani, ni kwa sababu utupu wa nishati unaficha ulichopoteza. Utupu huo unaweza kunaswa chini ya glasi.
1.Chukua glasi...
Jinsi ya kugandashia maziwa nunua maziwa fresh lita 2 au vile upendavyo yachemshe yapoe Kisha chukua vijiko 4 vya kulia chakula vya mtindi (culture) iwe asass, au Tanga fresh ambayo unapenda weka kwenye maziwa Yako ambayo yamepoa👌Kisha weka kwenye chombo kisichopitisha hewa funika kwa masaa 24...
1. Shughuli za Matibabu na Upasuaji
Upasuaji mkubwa: Huhitaji chumba maalum cha upasuaji chenye mazingira yasiyokusanya wadudu (sterile).
Vipimo vikubwa vya picha: Huwezi kuweka mashine za MRI au CT Scan kwa sababu ya mionzi na ukubwa wake.
Kuzalisha kibiashara: Uzalishaji wa dharura nje...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), kwa tuhuma za kupandisha bendera tano za Taifa la Tanzania kwenye shamba lake.
Atashitakiwa kwa kosa gani? Wanasheria, Wajuzi.
Pascal Mayalla
Nyumbani kwako ni muhimu uwe na vifaa hivi, kwani vinahitajika sana.
1.Star screw drivers kubwa na ndigo
2.Flatted screw drivers ndogo na kubwa
3.Tester ya umeme
4.Plier au plaiz
5.Nyundo
6.msumeno wa mbao
7.msumeno wa chuma
8.tupa inanolea vifaa vya chuma.
9.Futi
10.Jembe
11.Panga
12.Koleo...
Jengo la nyumba yako ni nyumba ya ibada ,Sebule yako sitting room ni madhabahu,
Bed room yako na kitanda chako ni madhabahu.
Wewe mwenyewe mwili wako ni nyumba ni hekalu na nafsi yako pua ni madhabahu.
MADHABAHU ndio kiti cha enzi cha kiroho kinachotoa chemi chemi za uhai, uzima ama kinyume...
Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu.
✅ Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu
✅ Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingi✅ Bei nafuu na makubaliano mazuri
✅ Tunazingatia viwango vya ujenzi na...
Tunawafikia popote ulipo Tanzania!
Unahitaji mwalimu wa nyumbani (home tuition) kwa mtoto wako au wewe binafsi?
Tunatoa huduma bora ya kufundisha masomo yote, ngazi zote na mitaala yote (NECTA, CAMBRIDGE, n.k)
Darasa la awali hadi sekondari
Masomo ya sayansi, arts na biashara
Mitihani ya...
Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
Ni mimi pekee yangu hili linanitokea au hata kwa wanaume wengine/wababa?
Utakuta kwa mfano kuna socket haifanyi kazi nyumbani, baiskeli ya mtoto, mlango au kifaa cha umeme,-kinapoharibika mara nyingi sitafuti fundi. Ninauhakika nitatengeneza kama sijui kutengeneza nitajifunza.
Kama ni...
Sio wote watakao kuja kuipenda compyuta au laptop kwenye matumizi wanayotaka ila inamchango mkubwa kama utajiwekea nyumbani kwako watoto wakitumia.
Naeleza ili sababu nimeshuhudia vipaji vingi ambavyo ukifatilia nyumbani kwao walikuwa wamewekewa mfano kama maproduza,wahandisi wa...
Habari wakuu,
Katika zama hizi ambapo ushindani wa kielimu ni mkubwa sana, wazazi wengi wamekua wakijitahidi kuwapatia watoto wao msaada wa ziada nje ya shule ili kuhakikisha wanafanikiwa kitaaluma. Ndio maana nawaletea huduma bora inayoitwa Best Home Tutoring – Elimu bora, nyumbani kwako.
✅...
Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?
Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
Wengi wetu ni wapenzi wa Movies na Series. Streaming services zililetwa kupambana na hali ya watu kutotaka kulipia cable services na pia watu kutumia piracy.
Mwanzoni ilikuwa idea nzuri, lakini baada ya streaming companies kuongezeka na bei zao kupanda, inakuwa ngumu sana (haswa kwa sisi wa 3rd...
Nani kawahi kukutwa na hili jambo kufukuzwa ama alimfukuza mwanamke nyumbani kwake baada ya kunyimwa ngono au wenyewe mnavyoita kizungu sex
Kisa changu mimi 👇👇
Kuna Kijana mmoja nimemuwekaga tu kama backup kipindi nikiachwa yeye yupo tu.. huyu nilisoma nae hivyo tulianzaga mahusiano tukiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.