bendi

The Bendi languages are a small group of languages spoken in Cross River State, southeastern Nigeria. Bokyi is one of the Bendi languages having some speakers in Cameroon. Once counted among the Cross River languages, they may be a branch of Southern Bantoid, with observed similarities especially with the Ekoid languages.Very little research has been conducted on the Bendi languages, and the modern work that does exist often remains either unpublished or inaccessible. The group is notable for having one language (Ubang) that has male and female forms.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Kwa wale Wapenzi wa Wenzangu wa Muziki wa Congo DR ( Bana Bandeko Nangai ) hivi Bendi ya Wenge Musica BCBG isingevunjika leo tungekuwa na huu Ubunifu?

    Kwa Maoni yangu GENTAMYCINE ( Rais wa Wapenzi wote wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JamiiForums nzima ) japo niliumia sana kwa Bendi hii Kuvunjika na kila Mtu Kuunda Wenge Musica yake yaani JB Mpiana akibakia na Wenge BCBG, Werrason akibakia na Wenge Musica Maison Mere, Adolphe Dominguez akibakia...
  2. Damaso

    Urithi wa Bendi ya Osibisa katika muziki wa Afrika

    Nikipata nafasi ya kufika Jiji la London kuna vitu lazma nivifanye kwa ukamilifu, mosi nitakwenda kutazama mechi za timu za Tottenham Hotspur pamoja na Arsenal, na baada ya hapo nitafanya kupitapita mitaa kuuliza kuhusu bendi za muziki ambazo zimepata kuwa maarufu kwa kuzunguzma ukuu wa...
  3. The Sheriff

    TANZIA Mwimbaji kiongozi wa bendi ya Reggae ya Morgan Heritage, Peter 'Peetah' Morgan, amefariki dunia akiwa na miaka 47

    Peetah Morgan enzi za uhai wake Mwimbaji kiongozi wa bendi ya Reggae ya Morgan Heritage, Peter 'Peetah' Morgan, amefariki. Bendi hiyo imetangaza kifo cha Peetah kupitia taarifa iliyopostiwa kwenye ukurasa wao wa Instagram jana Jumapili (Februari 25). Taarifa ya bendi haikuweka wazi sababu ya...
  4. Damaso

    Ifahamu Bendi ya Kassav

    Habari Wakuu, leo nimeona ni vyema nikawashirikisha kidogo kuhusu bendi moja ya zamani kidogo ambayo ilitupatia burudani sana miaka ya 1990 enzi hizo wakati ambao tulikuwa tunaonesha ujuzi wetu wa kusakata rhumba vyema ingawa hata mashairi tulikuwa hatuyafahamu. Karibu sana. Bendi ya Kassav...
  5. Damaso

    Urithi wa Bendi ya Soul Brothers katika Muziki wa Afrika

    Afrika imepata baraka kubwa ya kuwa na wanamuziki wengi, wapo watakaosema kuwa bendi bora ni Ladysmith Black Mambazo, au Mahotella Queens ya dada watatu Hilda Tloubatla, Nobesuthu Mbadu, pamoja na Amanda Nkosi. Au bendi ya Msondo Ngoma kutoka nyumbani Tanzania ya kina Marehemu TX Moshi. Msondo...
Back
Top Bottom