Gari za umeme ni nzuri na hazitumii mafuta ni kuchaji tu.
Kwa africa sio za kuzipokea haraka maana hatuna uwakika wa umeme,miundo mbinu ya vituo vya kuchaji,mifumo ya mazingira ya gari .
Hizi barabara zetu nikama unachezea pesa.
habari za siku nyingi wakuu!!
shamba la hekari 114.60(sqm463801)linauzwa…
shamba lipo ruvu kitonga ni km kadhaa kutoka ruvu
lipo pembeni ya mto ruvu
bei 1.5m kwa heka moja na lina document zote kwa mauziano
pia kwa anayehitaji heka chache chache anauza kuanzia heka 10
(hakuna dalali kaniomba...
Wakuu habari za wakati huu
Naombeni mnipe location ya vinyozi wazuri mtaani bei kitonga (achana na izi babershop unafutwa na mataulo ya maji bei juu😅
Kipindi nipo maeneo ya mikocheni nikuwa naenda kwa msela mmoja wakuitwa KATUNI alikuwa anapatikana kinondoni manyanya bei 3k jamaa alikuwa fundi...
Nimepita saa kumi na Moja asubuhi na usafiri binafsi hapo mlima kitonga nimeona Kuna watu hawaeleweki wamevaa kininja ni wengi halafu Wana silaha aisee mpaka nikataka kugeuza safari wakaniambia pita hakuna shida Kuna nini kinaendelea aisee hii nchi mbona ishakua shida.
Mnaopita kitonga...
Kutokana na uhaba wa madarasa pamoja na madawati, Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga iliyopo katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Ilala) wamekuwa wakilazimika kwenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia.
Kuna kipindi 'member' mmoja alileta uzi hapa jukwaani kuhusu miundombinu ya Shule...
Habari zenu jamani! Mimi kuna rafiki yangu kanipigia leo akilia sana kwa sababu katapeliwa na hii account inaitwa @unlimited_bundlez instagram. Namba yake ya simu ni 0698128458. Mkiiona hio account na namba nawaombeni msijaribu kufanya mawasiliano na hio namba. Ili kujihadhari na watu kama hawa...
Wataalamu wa Subaru.
Hii gari Subaru XV aka Subaru Crosstrek naiona BF kwa bei rafiki sana hadi $3500!
Ushuru ndio mchawi naona umesimama hadi Mil 13 ila nashangaa sana CIF ilivyo ndogo, especially kwa hii gen 1.
Kama kuna mtu amewahi kuimiliki ebu atoe ushirikiano, kuna mdau anaitaka.
Habari wakuu, nauza mfumo wa gas kwenye bajaj bei ni laki mbili..
Ila bado una deni la laki Saba na hamsini utaenda kumalizia mkopo wako.
Mazungumzo yapo
Wahi sasa
Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Oktoba 2024 imeshuka nchini, ikilinganishwa na Septemba, huku sababu kadhaa zikitajwa, ikiwamo kushuka kwa gharama za soko la Uarabuni.
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei za mafuta kuanzia leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.