bati

  1. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Kuna bank Amana mkombozi na maendeleo

    Hizi ni bank za taasisi za dini . Azania ni bank ya waislamu .. Maendeleo ni bank ya kkkt.(kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania) Na mkombozi ni bank ya Rc (roman katholic) Sasa hizi bank 2 yaani mkombozi na maendeleo ukoenda kukopa unakopeshwa bila kujali dinije!kwa nini hii ya azania y...
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Natoa hapa ushauri kuhusu misumari ya bati

    📌 𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐊𝐢𝐭𝐚𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮: 𝟏️⃣ 𝐔𝐤𝐢𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐠𝐨𝐧𝐠𝐨 𝐦𝐢𝐩𝐚𝐧𝐚 𝐚𝐮 𝐦𝐚𝐛𝐚𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐟𝐚𝐧𝐨 𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐠𝐚𝐞, 👉 𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐬𝐮𝐦𝐚𝐫𝐢 𝐲𝐚 𝐭𝐫𝐞𝐝𝐢 (𝐢𝐧𝐚𝐳𝐮𝐢𝐚 𝐤𝐮𝐯𝐮𝐣𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐬𝐡𝐢𝐤𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢). 𝟐️⃣ 𝐔𝐤𝐢𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐠𝐨𝐧𝐠𝐨 𝐦𝐢𝐝𝐨𝐠𝐨, 👉 𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐬𝐮𝐦𝐚𝐫𝐢 𝐢𝐬𝐢𝐲𝐨 𝐲𝐚 𝐭𝐫𝐞𝐝𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐨𝐤𝐞𝐨 𝐛𝐨𝐫𝐚. fundi kupaua 0 7 4 3 2 5 7 6 6 9 kama unataka mbao Za dawa nipigie...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii naweza kutumia bati na tofali ngapi. Nina Milioni 3 hapa

    Habari wakuu Hii ramani naweza kutumia bati ngapi na tofali ngapi? Kwa ujumla naweza kutumia tsh ngapi maana Nina million 3 hapa kibindoni
  4. mrKey Milly

    JamiiForums Tanzania Fahamu Zaidi Kuhusu BATI

    FAHAMU ZAIDI: Corrugated / Migongo Midogo rangi ya carrot ni nzuri sana hustahimili hali zote za hewa mvua na jua kwa ubora uleule huzalishwq kwa Geji30 ambazo zinakaa 16pcs kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando FAHAMU...
  5. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Nauza Bati zilizotumika (USED)

    Wakuu nina Bat ziko Karibu 100 nauza ni gauge 28 zimepigwa msumari mara moja tu hazina Kutu zinaonekana kama mpya kabisa. bei ni elfu nne, elfu tano na elfu kumi na nae na nyingine elfu ishirini. Zipo malamba mwisho Kituo cha Msikitini. Ukihitaji nicheki PM hapo kwa mawasiliano zaidi Mpigie...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Bati za Sundar ni bora? Kwa wenye uzoefu tafadhali

    Swali langu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Bati za ALAF

    Wakuu mambo vipi? Nina bati 8pcs za Alaf mgongo mpana (Chacoal grey) na mifuko 4 ya misumali (Kila mfuko una uzito wa 1Kg na misumali 100pcs). Material hizi zilibaki baada ya kupaua. Kwa ambaye anazihitaji ninaziuza. 1. Kila bati ninauza Tshs 34,000. Kwa bati zote bei yake ni Tshs. 272,000...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Bati gauge 26 inafaa kuezekea nyumba ya kuishi

    Wanabodi kama mada inavosema,nimepitia maoni mengi kuhusu uezekaji na gauge pendekezwa ni 28,lkn binafsi nataka kutumia gauge 26,naombeni ushauri wenu wa kitaalamu nipate elimu na kufanya maamuzi
  9. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya hizi nyumba zenye bati linaloonekana na zile ambazo bati halionekani

    Nyumba zinaweza kuwa na paa linaloonekana au paa lililofichwa (hidden roof), na kila aina ina faida na changamoto zake. 1. Nyumba zenye bati linaloonekana ✅ Muonekano wa kawaida – Hizi ni nyumba za jadi ambapo paa linaonekana wazi kutoka nje. ✅ Urahisi wa matengenezo – Ni rahisi kugundua na...
  10. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kwanini vituo vya mafuta vingi wanaezeka bati kwa style ya flat roof?

    Vituo vingi vya mafuta hutumia bati la paa bapa (flat roof) kwa sababu kadhaa za kiufundi na kiusalama: ✅ Usalama wa Moto – Paa bapa husaidia kudhibiti moto kwa urahisi ikiwa kuna dharura. Moto husambaa polepole kwenye paa bapa kuliko paa lenye mteremko⁽¹⁾. ✅ Udhibiti wa Joto – Flat roofs...
  11. BOFREE

    JamiiForums Tanzania natafuta fundi bati na fundi welding kwa aajili ya madilisha uwe unatokea bunju au tegeta

    habari mtaalam wa kupau na mtaalam wa kuchomelea unaitajika uwe na ofisi bunju au tegeta uwe na kazi ambazo uliishawai kufanya naitaji fundi maiko sio kampuni na pia usiwe dalali uwe fundi mwenyewe wa bei iwe rafiki
  12. T

    JamiiForums Tanzania Njiwa kukaa juu ya bati usiku kuna maana gani

    Habari zenu wanajukwaa, leo usiku hapa nyumbani kuna njiwa ametua juu ya bati na amekaa kwa muda mrefu almost masaa mawili sasa ningependa kujua hii ina maana gani, Natanguliza shukrani🙏🏽
  13. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Unakuta tunajenga nyumba bati imeenda juu kupita maelezo ila watoto wanafanyia homework dining room

    Hio bajeti ya Hizo bati zilizo kimbia juu kama mt. Kilimanjaro si ndio ungetengeneza ka-study room kakiaina kenye mini -library mshenzi. Ila nitaishia kuambiwa: " TAFUTA HELA WEWE MATEMBELE HAYANA LADHA YA NYAMA"
  14. Hharyson

    JamiiForums Tanzania KAMA UNATAMANI KUJENGA GOROFA YA BEI RAHISI BATI USIHANGAIKE HII HAPA INAKUFAA 3BEDROOMS DESIGNS PLOT SIZE 15X20M (WALE WENYE PLOT NDOGO PIA )

    LOOKING FOR GOOD HOUSE DESIGN CALL US +255624004650
  15. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya chumba, sebule, jiko, choo inaingia bati mita ngapi?

    Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee
  16. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Natoa somo hapa kuhusu misumari ya bati

    Habari fatilia hapa kuhusu misumari ya bati
  17. stabilityman

    JamiiForums Tanzania BATI PEKEE AMBALO HALIPAUKI KWA TZ HILI HAPA NA BEI YAKE KWA SASA 24 MARCH

    Bei ya sokoni saiz 24 march ni 37500 Gauge 30 kumbuka hili ndio bati pekee ambao halipauki kwa sasa Tz miaka mingi tupo buguruni 0743 257 669 Ukitaka fundi kupaua pia yupo
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kati ya bati za ALAF na ANDO zipi ni bora kuliko nyingine?

    Wataaalam wa uezekaji mnaweza kutusaidia Kwa hili. Na vigezo vya ubora ni vipi? Jee Gauge 28(Geji 28) ya Ando ndiyo geji hiyo hiyo Kwa ALAF. Yani kipimo cha geji ni kimoja kwa mabati yote? Kama kipimo cha geji kwa mabati yote ni kimoja, Sasa nini kinacholeta utofauti kwenye mabati toka kwenye...
  19. milele amina

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna haja ya kufanyika uchunguzi Kuhusu Hili Soko lenye paa mbili za bati, soko la Mbuyuni (Manispaa ya Moshi) kwa thamani ya Bilioni 2!

    Utangulizi Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha hizo zimeelekezwa, hasa kwa kuzingatia hali ya soko lenyewe. Kila mmoja ana mtazamo wake, lakini...
  20. long live my love

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya Kiwanda cha bati Kiboko:

    Wanajamvi habari. Naomba msaada wa mawasiliano ya Afisa masoko wa kiwanda cha mabati cha Kiboko. Lengo langu ni kwenda kununua bati mwezi huu. Thanks in advance 🙏🙏🙏
Back
Top Bottom