Just imagine unapata namba yake kwenye social, unamtext, halafu anaforce umpigie simu sasa hivi. Sasa unaanza kuwaza, “Tutaongea nini mbele ya watu?”
Unaanza kutafuta sehemu ya kujibanza ili mkutane na huyo escort sijui nini... eti anakutajia 50K! per bao 😭
Boss, 50K kwa kitendo cha dakika 1...
Kumekuwa na madai kwamba Bill Gates na baadhi ya mabilionea pamoja na wanasayansi wanaingiza kwa makusudi katika mfumo wa chakula matunda yasiyo na mbegu au yasiyoweza kuzaliana, kwa lengo la kuwafanya watu wategemee mbegu zinazodhibitiwa na makampuni yao.
Katika chapisho hilo, mdai anasema...
Kumekuwepo na changamoto nyingi za kifamilia, mojawapo ikiwa ni wanaume baadhi kujikuta wakitunza na kulea watoto ambao si wao.
Aliyeweka mimba ni mwingine na aliyerutubisha mimba mpaka kulea mtoto akawa mwingine pia.
Kati ya hawa wawili, ni yupi anastahili kuwa baba wa mtoto?
Guys ni wapi kwa hapa Tz nitapata sehemu wanapandikiza mbegu nimekaa nimetafakari kwa umri wangu huu miaka 23 sijawahi kuwa na demu wala wa kusingiziwa na sina mpango wa kuoa,ninachotaka kufanya ni kutafuta mwanamke mzuri mrefu namlipa akapandikizwe mbegu zangu alee mimba alafu nimchukuwe mtoto
Narudi bongo mwezi august natoa HUDUMA ya kuuza mbegu za kiume Kwa wanawake hii nimeikuta USA nakuja nayo Tanzania mloganzila wanapandikiza wanawake mbegu kama sikosei. Ila kutokana na mazingira ya Tanzania kutokuwa salama kiutekaji hii inakuwa changamoto.
Nilichoshuhudia leo parade ya Simba Sports nimejiuliza sana kwanini hamasa ya mashabiki wa Simba ni kubwa mno by far! Lakini nikamkumbuka yule mtu aliyeijenga hii na haya ni matunda yake! Haji Manara!
Hizi timu zina hamasa lakini Manara alipanda mbegu ya mashabiki vichaa wa Simba na zaidi...
Nimeona wauzaji wa mbegu kwa ajili ya chakula wakiuza hizi mbegu za maboga zenye rangi ya kijani zinazotoka India. Hizi mbegu wameziachakata hivyo hazifai kuotesha
Nani anajua wapi zinapatikana zinazofaa kuotesha. Soko lake baada ya mavuno liko vip, mje mtupe ABC
Habari za weekend ndugu zangu
Anayesumbuliwa na acid reflux atafute hizo mbegu kiswahil zinaitwa habat soda English zinaitwa black seeds....nimbegu ndogo ndogo nyeusi tii kama mkaa ukiziona haraka haraka utahis ni punje za mkaa....hiz mbegu nzur sana kwa acid reflux mimi binafsi zilinisaidia...
Good evening
Leo ninapenda tuandike kuhusu fursa ya kilimo cha papai. Na,hapa nitagusia zaidi kilimo cha papai hybrid.
Katika kilimo cha papai kuna hatua za kuzingatia ili mtu aweze kupata matokeo ya msingi.
Hatua ya kwanza ni maandalizi ya shamba na maandalizi ya mbegu ( east west red royale...
“Nilikuwa nafuga, lakini kuna vitu vya ziada nimejifunza — hasa tofauti kati ya kufuga nguruwe kwa ajili ya nyama 🥩 na kufuga kwa ajili ya uzalishaji 🐖📈.
Hilo limenifurahisha sana na nitaenda kulifanyia kazi mara moja.
Nilikuwa nafuga bila malengo mahsusi, lakini sasa nimepata mwanga 💡. Nina...
Hello habari. Kampuni ya KENI AGROPARK LIMITED inawakaribisha wote wenye maduka ya pembejeo(agrovets) pamoja na wakulima binafsi kuweza kujipatia mbegu bora za mbogamboga zilizothibitishwa ubora(certified seeds) katika kampuni yetu. Mbegu zetu ni OPVs zenye ubora wakuaminika na zikiwa katika...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana.
Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na...
Baada ya kuona Watanganyika hatukutaki, baada ya kuona Dunia imekukataa naona usivyo na akili umeamua kupandikiza mbegu ya udini ili ututoe Watanganyika kwenye mstari.
Usichokijua ni kwamba hukuwateka na kuwapoteza watu wa dini moja tu. Hujaua watu wa dini moja tu. Umeua, umeteka na kupoteza...
Tulikua vitani, tukipigania uhuru kwa amani.
Rafiki zangu waliuawa kikatili na askari.
Mikononi mwao hawakubeba hata jiwe la kupigania,
lakini walipigwa risasi viunoni, vifuani, na hata kichwani,
ili kututisha, ili kutunyamazisha, ili kutuvunja moyo.
Walio tangulia nawaombea mbele ya MUNGU...
kama inavyosomeka kwenye kichwa, Natafuta Mbegu za mlonge zikiwa kwenye tunda lake (drumstick)
nanunua kwa gunia kama una magunia kuanzia 50 ama unaweza kupata magunia 50 nicheki
0692594263
Hello JF Members,
Ujumbe wangu upo ndani ya hii story fupi.
Kulikuwa na mama mjane, maskini sana, aliyeishi na watoto wawili wadogo kijijini. Mama huyo alikuwa mchuuzi wa mbogamboga. Kila siku, alihangaika kupata angalau shilingi 500 ili apate unga wa jioni.
Siku moja, mama aliuza mboga zake...
Prime Mushrooms Tanzania ni kampuni inayoongoza katika uzalishaji wa mbegu bora za uyoga nchini. Tunajivunia kutumia sayansi na teknolojia ya kisasa kuhakikisha tunazlisha mbegu zenye kiwango cha juu, salama na zenye matokeo ya uhakika kwa wakulima wa uyoga.
kwanini uchague Prime Mushrooms...
Hello, guys. Tunacho kiwanda kidogo kinachozalisha mafuta yatokanayo na mbegu za michikichi ziitwazo mbosa/mise. Katika uzalishaji huu tunapata pia mashudu. Mashudu (palm kernel cakes - PKC) yanapatikana baada ya kukamua mbegu kupata mafuta.
Mashudu haya yanafaa kuchanganywa na malighafi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.