bei

Liu Bei (Chinese: 劉備, pronunciation ; Mandarin pronunciation: [ljǒu pêi]; 161 – 10 June 223), courtesy name Xuande (玄德), was a warlord in the late Eastern Han dynasty who founded the state of Shu Han in the Three Kingdoms period and became its first ruler. Though he was a distant relative of the imperial family, Liu Bei's father died when he was a child and left his family impoverished. To help his mother, he sold shoes and straw mats. When he reached the age of fifteen, his mother sent him to study under Lu Zhi. In his youth, Liu Bei was known as ambitious and charismatic. He gathered a militia army to fight the Yellow Turbans. Liu Bei fought bravely in many battles and started getting famous. Rather than join the coalition against Dong Zhuo, he joined his childhood friend Gongsun Zan and fought under him against Yuan Shao many times with recognition.
Later he was sent to help Tao Qian against Cao Cao. Thanks to the support of the influential Mi and Chen families along with Tao Qian's last will, Liu Bei inherited the Xu Province. After his defeat against Cao Cao, Lü Bu joined him and seized the province while Liu Bei was away fighting Yuan Shu. After many conflicts, he joined Cao Cao and they defeated Lü Bu at the Battle of Xiapi. Although he was treated well, Liu Bei received a secret edict from the emperor to kill Cao Cao and rebelled against him taking back Xu province. After a brief alliance with Yuan Shao, Liu Bei was quickly defeated by Cao Cao and had to flee to the warlord in the north. He was sent by Yuan Shao to raise uprisings behind Cao Cao's main base but he was ultimately defeated by Cao Cao and joined his kinsman Liu Biao. Liu Biao doubted his loyalty so he located him at Xinye to serve as a shield against Cao Cao. After Liu Biao's death, Liu Bei led many civilians to join Liu Qi to Xiakou where they allied with Sun Quan to oppose Cao Cao at the Battle of Red Cliffs.
After Cao Cao's defeat, Liu Bei quickly took control of the majority of Jing Province, then he married Sun Quan's sister who recognised his legitimacy over the province and agreed to "lend" him Nan Commandery. Liu Bei later led his army to join another kinsman, Liu Zhang in his war against the warlord Zhang Lu. Under the advices of his advisors, he betrayed Liu Zhang and seized the Yi Province from him. After some disputes and seeing Cao Cao growing closer to the Yi province. Liu Bei agreed to yield half of the Jing province to Sun Quan and led his army against Xiahou Yuan at Hanzhong and seized it. Liu Bei then declared himself "King of Hanzhong" and set up his headquarters in Chengdu. However soon after Guan Yu was killed by Liu Bei's "ally" Sun Quan who took the rest of Jing province for the "lending" of Nan commandery. Liu Bei was furious and after declaring himself emperor to challenge Cao Pi's authority, he led his army against his former "ally". Though some early success, his army was soon blocked into a stalemate against Lu Xun and was finally defeated. Ashamed by his failure, he never returned to Chengdu and settled in Baidicheng until his death one year later. Urging his heir to not emulate him and being as virtuous as possible he appointed to help him Zhuge Liang in charge of domestic matters and Li Yan for the military matters.
Despite early failings compared to his rivals and lacking both the material resources and social status they commanded, he gathered support among disheartened Han loyalists who opposed Cao Cao, the warlord who controlled the Han central government and the figurehead Emperor Xian, and led a popular movement to restore the Han dynasty through this support. Liu Bei overcame his defeats to carve out his own realm, which at its peak spanned present-day Sichuan, Chongqing, Guizhou, Hunan, and parts of Hubei and Gansu. Culturally, due to the popularity of the 14th-century historical novel Romance of the Three Kingdoms, Liu Bei is widely known as an ideal benevolent, humane ruler who cared for his people and selected good advisers for his government. His fictional counterpart in the novel was a salutary example of a ruler who adhered to the Confucian set of moral values, such as loyalty and compassion. Historically, Liu Bei, like many Han rulers, was greatly influenced by Laozi. He was a brilliant politician and leader whose skill was a remarkable demonstration of "Confucian in appearance but Legalist in substance" .

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Heche: Ma-cartel wamejimilikisha uchumi wa nchi yetu, kampuni moja ina ubia na watu walioko serikalini ilipewa tenda kuagiza mafuta na kusimamia bei

    Akizungumza na Vyombo vy habari leo Aprili 6, 2026 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokraisa na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema kuna ma- caretel (Kundi la wafanyabiashara) ambao wanajimilikisha uchumi wa Tanzania, akidai kuna taarifa wanazofuatilia kuwepo kwa kampuni moja yenye ukaribu...
  2. R

    Mbunge Jackson Kiswaga: Watanzania mkubali Serikali imeongeza bei za Mafuta kidogo. Punguzeni mambo ya Mitandao, hayana maana

    Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
  3. A

    Abood yapandisha bei ya nauli

    Wakuu twende katika hoja. Latra walisema asitokee mtu akapandisha bei ya nauli mpaka mamlaka ikae. Baadhi ya vyombo vya usafiri vimepandisha nauli. Kama vile bodaboda, bajaji na mabasi. Kabla ya kupanda kwa bei ya mafuta nchini Aprili 1, 2026, tayari Abood Bus imepandisha nauli. Mfano mdogo...
  4. mrangi

    Mwamba anakokotoa bei ya mafuta

    Hebu tumsikilize Mshana Jr RRONDO Extrovert King Kong III Ova
  5. Masalu Jacob

    Bei ya wese - Halmashauri toeni Ruzuku kwenye (Petrol & Diesel) kwenye Wilaya zenu

    Habari Tanzania !. Hii ni chemsha bongo. Naziomba Halmashauri zote hapa nchini wafanye maamuzi waonavyo kulingana na uwezo wao kuweka ruzuku kwenye (Petrol & Diesel) ili kuimudu mfumuko wa bidhaa hizo kwenye maeneo yao. Maana hatari kuu itawapa mtake msitake mtakapokuwa mnataka kukusanya...
  6. Ziroseventytwo

    Sakata la kupanda mafuta, kila kitu kitapanda bei. Isipokuwa kimoja

    Sakata la kupanda mafuta, kila kitu kitapanda bei. Isipokuwa kimoja, Mshahara tu ndio hautapanda.
  7. MamaSamia2025

    Kauli ya Mbunge wa Kalenga kuhusu bei ya mafuta kwa wananchi ni ya hovyo inayochonganisha CCM na wapiga kura

    Wakati mwingine mbunge ukikosa hoja ni bora ukakaa kimya. Kuwaambia wananchi wasiwe na mihemko ni tusi kubwa sana kwa wapiga kura. Mbunge ungetakiwa kuwafariji wananchi wakati huu serikali inapoumiza kichwa kuona tunavukaje hapa. Au huyu mbunge hajui kupanda bei ya mafuta ni mwanzo wa kupanda...
  8. M

    BoT yasitisha uuzaji wa dhahabu kufuatia kushuka kwa bei duniani

    BoT yasitisha uuzaji wa dhahabu kufuatia kushuka kwa bei duniani
  9. Parabolic

    Bei ya Mafuta Imepandaje wakati Serikali ilisema kuna akiba hadi Julai 2026

    Waati Serikali ya Tanzania ikitaja vita vinavyoendelea kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran kuwa ndiyo chanzo cha ongezeko la bei za mafuta kuanzia Aprili 1, 2026, utata umegubika suala hilo kutokana na kauli za viongozi wa Serikali waliowahakikishia Watanzania kuwa kuna mafuta ya kutosha...
  10. M

    DOKEZO Hapa Morogoro kuna baadhi ya maeneo bei ya nauli ya bajaji imepanda mara 2 na maeneo mengine kwa nusu bei

    Tanzania hii hasa Tanganyika hali ni tete kwa sasa nipo Morogoro, nashuhudia mashindan ya kupandisha nauli kwa vyombo vya usafirishaji huku wakida EWURA imepandisha bei ya mafuta, wapo waliopandisha hadi mara mbili ya bei ya zamani. Wapo ambao walikuwa wanabeba abiria kwa 500 leo ni 1000 kwa...
  11. K

    Ni juzi tu hapa TPDC walitangaza nchi Ina akiba ya kutosha ya mafuta inakuaje bei ipande marudufu ndani ya week wakati nchi ilikua na akiba ya kutosha

    Kama nchi ilikua na akiba ya kutosha ya mafuta inakua vip bei inapandishwa ghafla ina maana stock iliyokuepo imeisha ? au wameamua kupandisha bei ya mafuta kwa kutazama soko la Dunia wakati nchini tuna reserve ya kutosha kwa bei ya zamani!! Ikiwa nchi ilikua na akiba ya kutosha tulitegemea bei...
  12. C

    Hii bei ya mafuta wiki chache zijazo tutaiona ni bei ndogo

    Leo nimepita nimekuta wese linasima 3820, nikashangaa sana nikaamua tu nijaze full tank, kwasababu najua baada ya muda huenda yatafika 5700, kama hali itaendelea kua mbaya baada ya muda tutakutana na 6500 kisha hii bei ya leo itaanza kuonekana ilikua mteremko sana. chakuomba ni kwamba watu...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?

    Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta? Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na uchumi kwa ujumla. Ili kujinasua na hali hii, yafuatayo yanaweza kufanyika: 1. Kujenga viwanda vya...
  14. Wakusoma 12

    Serikali ifute mara moja tozo za mafuta ili kupunguza bei za mafuta ya petrol na disel

    Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali hiyo itaongezeka nafikiri tutanunua lita moja ya petroli kwa tshs 10000 ndani ya miezi 2 mbele...
  15. R

    Bei ya Mafuta imepanda kwa 65% Nigeria

    Nigeria inakabiliwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta, licha ya kuanza kazi kwa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, ambacho ni kikubwa zaidi barani Afrika. Bei zimepanda kwa takribani asilimia 65%, huku sehemu kubwa ya mafuta yake yenyewe imefungwa katika makubaliano ya kulipa madeni kwa...
  16. M

    Bei ya mafuta soko la Dunia yapanda

    Bei ya mafuta duniani imeripotiwa kupanda kufuatia tahadhari kali kutoka Iran dhidi ya uwezekano wa uvamizi wa kijeshi wa ardhini kutoka Marekani, licha ya Rais Donald Trump kusema kuwa mazungumzo bado yanaendelea ili kumaliza vita hiyo. Mafuta aina ya Brent, ambayo ni kipimo cha bei ya mafuta...
  17. msakhara

    Mfumuko wa bei ya magari Tanzania

    Habari zenu wakuu... Nimekua nikiperuzi websites maarufu kwa mauzo ya magari kutoka Japan yaani SBT na Be Forward... Naona gari zimekuwa na bei kubwa sana ukicompare na kipindi kifupi kilichopita. Yaani hizi ndogo mf. Allex, IST, Honda Fit, nk zote zinachezea kuanzia 17M hadi 22M wakati...
  18. darautobroker

    Car4Sale Mercedes benz s-class presidential naileta sokoni kwa bei ya maombolezo

    Bei/Price TSH 41M Call +255 747 999 927 MERCEDES BENZ S-CLASS(DY) Year: 2014 Engine: 4.7L Low Mileage Fuel Used: PETROL Transmission: AUTO Clean Interior Well-Maintained Swap Deals Allowed Attention Assist Heated-Massage Seats 4-Zone Climate Control
  19. B

    Kitchen cabinet za kisasa kwa bei chee

    kitchen cabinets za kisasa kwa bei chee.. maboss zangu ata ukiwa bado ujahamia tutakutengenezea kisha kuvifunga lailon ili kuzuia vumbi na michubuko ad utapako hamia unakuta kitchen cabinet yako bado mpyaaaaaa inang'aa🔥🔥.. gharama inategemea na ukubwa wa sehem yako ya kabati pia Aina ya material...
  20. T

    Car4Sale Higer bus. Bus la kifahari kwa bei nafuu

    Jipatie Bus kali lenye bei Nafuu Higer KLQ6136DF pamoja na Higer PF4 Lenye choo au bila choo Bei zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu Weka order yako sasa 📞 +255622726182 📍Magomeni Kanisani Stock ni limited
Back
Top Bottom