vitz

 1. M

  Natafuta IST au VITz ya kukodi kwa ajili ya uber

  Mwenye IST au VITz ya kukodi kwa ajili ya uber tuwasiliane! Nitamletea hesabu nzuri. Gari langu liko kwenye matengenezo makubwa! 0738969673
 2. B

  Ulaji wa mafuta Toyota Vitz

  Nina gari aina ya Toyota Vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 ulaji wake wa mafuta ni km 9 kwa litre 1. Wakati kwa wengine inakula 12km kwa litre. Kwangu tatizo litakuwa ni nini wadau.
 3. N

  Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

  Kupitia uzi huu tutakupa taarifa za magari mbalimbali yanayopatikana kwenye stock yetu kwa ajili ya kuuza Fuatana nasi kwenye comments hapo chini Ikiwa una gari unahitaji kuuza kwa haraka au kununua. Tufikie kwa namba 0719972458 Karibu sana Instagram @magari_aina_zote +++++++++++++++++++++...
 4. H

  Mwenye Suzuki Carry Family nabadilisha na Toyota Vitz 0767333440

  Nabadilisha Toyota Vitz kwa Suzuki Carry Family. Vitz ni kali sana piga 0767 333 440.
 5. Daisy Llilies

  Tuje kwenye elimu ya dunia, unapelekwa kwa mganga Kariakoo, mganga anaendesha Vitz amevaa raba mtoni

  Jamani pamoja na kuwa maendeleo sasa watu wameadvance lakini hii habari ya kwenda kwa mganga Kariakoo, kwanza unajua kodi ya Kariakoo ilivyo ghali, mganga anaendesha Vitz lazima safari yako ilipie mafuta. Mganga anakutuma ulete kilo mbili za mchele, nazi mbili na jogoo mweupe usafishwe nyota...
 6. K

  NATUFUTA VITZ, PASSO AU STARLET, BUDGET TSH4 MIL

  Habari zenu wananzengo, kama tangazo linavyosomeka hapo juu, natafuta gari ya kununua iwe TOYOTA Vitz old model, Passo Piston 4 au Starlet. Namba Ianzie B,C au D Iwe Kwenye hali nzuri nikiwa na maana Full Air Condition na Engine isiwe cherehani au inayopiga manyanga. Kwa walio serious wanicheki...
Top