inahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Kukata mnyonyoro wa umasikini kwenye familia za kiafrica inahitajika nguvu ya Ziada

    Kukata chain ya umasikini kwenye familia za kiafrica inahitajika nguvu ya Ziada. #first born hakikisheni mnajitahidi kukata chain ya umasikini kwa namna yoyote ile.
  2. Sonship

    JamiiForums Tanzania Inahitajika nyumba ya kununua kuanzia Mbezi, Kibamba na Kiluvya

    Location: Kuanzia Mbezi Mwisho, Kibamba hadi Kiluvya Budget: Isizidi Tsh Milioni 50 Mahitaji ya nyumba: • Vyumba 3 (kimoja kiwe Master Bedroom) • Sitting Room & Dining Room • Jiko kizuri • Public Toilet • Nyumba iwe imekamilika full tayari kwa kuhamia • Iwe na Tiles, Gypsum na Madirisha ya...
  3. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Kuwa member wa magroup ya wasapu ya walimu wasaka ajira inahitajika uwe na roho ya paka

    Kwani hii kada imelaaniwa? Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A. Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira...
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nyimbo za ushujaa wakati wa kuzika ni alama ya maumivu yasiyostahimilika, inahitajika dawa ya haraka

    Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia katika siasa za kimataifa. Na ninaamini wengi mnapenda kuja baadae kufanya siasa za kimataifa ili...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Toyota Passo piston 4, 1290cc, engine K3-VE

    Budget iliopo ni 4Milioni. Madalali naomba kuwaepuka katika hili.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Frame ya biashara inahitajika; Arusha

    Habarini za wakati huu ndugu,jamaa na marafiki[ japo sina rafiki humu ndani,kama upo Mbeya unaweza nicheki tuka bang]. Moja kwa moja kama maada inavyosoma hapo juu,kuna pacha yangu ambaye hayupo humu ameamua kuanzisha biashara ambayo anaona yeye itamfaa pande za kaskazini Arusha. Sisi nyumbani...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki used mkoani Kilimanjaro

    Kijana wangu anahitaji pikipiki used (iliyoko kwenye hali nzuri) cc150 ili iweze kupanda milima ya Rombo ikiwa imepakia mzigo (Isiwe Boxer) IWE NA UMILIKI HALALI.....Offer yake ni shs 1mil cash japo anakaribisha maongezi kulingana na ubora wa Chombo
  8. GwaB

    JamiiForums Tanzania HP Elitebook 840 G5 Touchscreen Inahitajika

    Nahitaji screen ya HP elitebook 840 G5 ... Kwa yeyote anayeweza kuipata na ana nia ya kuiuza tuwasiliane kupitia PM. 🙏
  9. D

    JamiiForums Tanzania Inahitajika nyumba ya Kupanga Kigamboni haraka.

    Habari wadau. Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni. Nyumba isiwe mbali na barabara ya lami inayotoka ferry , maji yawepo , tiles na aluminium muhimu pamoja na gypsum, bila kusahau Usalama na itapendeza kama kutakuwa na umeme wa kujitegemea. Nyumba iwe na Chumba master, sebule na...
  10. lwidia2k

    JamiiForums Tanzania Enjoctor pump inahitajika

    Habari wana JF, naamini mpo salama na mna Afya njema. Nakuja kwenu tena nikihitaji hiyo spare part (enjoctor pump) ya mashine yangu Air compressor Jenbacher JW223. Matatizo: inachelewa sana kuwaka, ni mpka ubust na moto mkubwa. Yaani uwe na battery 3 au 4 za kuanzia N70. Wakati stater yake ni...
  11. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Wadau, App Gani Mpya Inahitajika Bongo au ni wazo gani la App umewahi kuwa nalo? Shusha Idea Yako Hapa!

    Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa? Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!" Huu uzi ni wa kila mtu kushare ideas iwe ni kwa biashara, elimu, afya, usafiri, au burudani. Pengine idea...
  12. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

    Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda. Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha. Tena wanasema na kuongea hadharani.............
  13. vumiliag

    JamiiForums Tanzania inahitajika ist hata ikiwa no c bajeti 6.5

    habari zenu wakuu nahitaji gari aina ya ist bajeti yangu 6.5 nikipata direct kutoka kwa muuzaji itapendeza zaidi maana najua mambo ya ma dalali 0745906009
  14. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Laptop Inahitajika Haraka

    Nahitaji laptop, kwa matumizi ya kijana wangu kwa ajili ya masomo. Nipe sifa za pc yako na bei. Asante!
  15. man B'

    JamiiForums Tanzania Caustic soda inahitajika

    Ndugu wana wanajukwaa habari yenu. mimi mjasliliamali nahitaji CAUSTIC SODA kwa bei ya jumla, ya utengenezaji wa sabuni. Wauzaji wa jumla anichek 0758327174 chap ziite.
  16. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari ya toyota inahitajika!

    Mnunuzi anatafuta gari ya Toyota yenye sifa zifuatazo: Uwezo wa Injini: 1500cc au chini. Hali: Gari iwe katika hali nzuri, isiwe na matatizo makubwa. Historia: Haijawahi kuhusika na ajali. Bajeti: Hadi TZS 5,000,000 (Milioni 5). Ikiwa una gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali...
  17. yello masai

    JamiiForums Tanzania Freezer Inahitajika

    Nahitaji freezer iliyotumika, isizidi lita 200. Kama unayo nicheck chap.
  18. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mwambieni tundu lissu siasa ni kumfarakanisha adui ili umnase kwenye mtego wako ,ccm ya sasa imeungana sana inahitajika mkakati wa kuwafarakanisha.

    Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu...
  19. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Gear box ya Hyundai tucson inahitajika

    Natafuta gia box ya Hyundai tucson automatic mwenye nayo ani pm tafadhali
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna utofauti wa kuwa introvert na kuwa na social anxiety dis-order (social phobia)

    Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi. Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
Back
Top Bottom