Search results

  1. Marathon day

    Ushauri kwa Serikali jinsi ya kupunguza rushwa barabarani

    Police wetu wa usalama barabarani wangekua kama hivi, wanapiga picha na risiti dereva anapambana nayo kwenye system na kwenda kulipia kwa control number rushwa ingepungua sana na kuacha kujazana mabarabarani.
  2. Marathon day

    Hoja binafsi kwa Polisi Mikumi na unyanyasaji

    Nakuja kwenye hoja, nimeona na kusikia kuhusu unyanyasaji na ushamba wa madaraka kwa polisi wa Mikumi wakiongozwa na DTO wao. Nimefatilia na kupewa habari za pale mikumi, wanakama raia hovyo, kubambikiwa kesi na wengine kukaa / kulala vituona kwa zaidi ya siku 3 bila huduma muhimu kama...
  3. Marathon day

    Gari la Magereza lagonga treni ya abiria maeneo ya Ukonga, mtu 1 afariki dunia 10 wajeruhiwa

    BUS LA MAGEREZA LAGONGA TRAIN MAENEO YA UKONGA ===== Gari la magereza lagonga treni ya abiria maeeo ya Ukonga na kusababisha kifocha mtu 1 a majeruhi 10, wanawake 5 na wanaume 5.
  4. Marathon day

    Usumbufu wa TRA kwenye kufunga ving'amuzi

    Ndugu wahusika kumekua na usumbufu mkubwa kwa kampuni zilizopewa tenda ya kufunga ving'amuzi kwa magari ya Transit. Bei hazieleweki, mtu akiamka ataviuza kwa 60,000/ siku nyingine mpaka inafika 80,000/ system zake zinasumbua, mda mwingine havisomi kwenye system. Vinaleta usumbufu sana kwa...
  5. Marathon day

    DOKEZO Utajiri wa Koplo Adronis Mushi wa Kituo cha Polisi Kabuku uchunguzwe

    Ndg Wana jamvi, Kumekuwa na malalamiko mengi kwa mabasi na magari mengi yanayo pita njia hii ya SEGERA Chalinze kutokana usumbufu wa Polisi huyu. Anatuhumiwa kwa kulazimisha kupewa rushwa na kubambikia watu makosa hata kuwawekea madereva wa mafuso mirungi, na kudai rushwa kubwa. Watu...
  6. Marathon day

    Nichangie kuhusu DP World / sio mkataba

    Naomba nichangie machache kuhusu Bandar / DP would . hoja zimekua nyingi na serikali haijaelimisha wachangiaji wengi maana halisi ya ukodishwaji wa bandari. Naomba nieleweke Bandari haiwezi kuuzwa kwa maana yoyote ile, inakodiswa kwa msimamiaji. Bandari ni sehemu ya mipaka ya Inchi , huwezi...
  7. Marathon day

    Hoja kwa Polisi na TRA kuhusu kutoa mizigo bandarini

    HOJA na MALALAMIKO kwa POLICE na TRA kuhusu biashara ya kutoa mizigo Bandarini, Naanza kwa TRA unachangamoto kubwa kwenye kukokotoa malipo ya Wharfage , kunahaja gani kutumia custom value badala ya kutumia CBM kwa mizigo/ magari ya Zambia na Zimbabwe? Inaleta ukakasi Sana, mteja anakupa kazi...
  8. Marathon day

    Uhujumu wa Bandari yetu

    Kuna hujuma ya kupunguza mapato ya nchi dhidi ya sheria tata za pollice wetu, baada ya hizi ajali za mara kwa mara police wameweka sheria hizi gari za IT kutokubeba mtu zaidi ya dereva tu. Sasa unakuta mtu anakuja kuchukua gari yake, hapohapo afanye shopping, aje na mkewe au mtoto wake, atakua...
  9. Marathon day

    Hii sensa inatutoa jasho kwakweli!

    Yani sensa, nimeamka tangu saa 12 asubuhi najua watafika fasta nisepe zangu. Familia Iko mkoa na mimi nipo peke yangu home, kifatacho ikifika saa 6 kamili mchana nafunga mlango na mageti nasepa kwenye mishe zingine! Nawaza niandikie number za simu getini? Tatizo vishkwambi vyao vimewezeshwa na...
  10. Marathon day

    Huyo Kipemba anaechangishiwa Tsh 100 milioni ni nani?

    Huwa nasikia tumchangie sijui Jack Kipemba Yuko India, sijui ni nani mpaka kuchangiwa pesa yote hiyo na wananchi ambao ni masikini wa kutupwa. Badala ya Serekali kuchangia au taasisi nyingine za dini kuliko sisi wanachi walalahoi, nijuavyo Mimi wasikilizaji wa Radio wengi ni watu wa Hali ya...
  11. Marathon day

    Rais uendapo Tanga jaribu pia kufatilia shida ya maji Handeni hasa mji mdogo wa Kabuku

    Katika Wilaya ya HANDENI tatizo kubwa ni shida ya maji, niliwahi kununua shamba Kijiji cha KABUKU, Nimepitia sehemu nyingi za maeneo hayo, kwakweli watu wanaishi kama wanyama, huwa najiuliza mbunge wa pale hii kero haitambui? Sijawahi kusikia akiizungumzia bungeni, kule Kila mtu anaejenga...
  12. Marathon day

    Tatizo la kukatika umeme mara kwa mara ifikapo saa moja usiku mpaka saa nne

    Ndugu wahusika, Mimi ninatatizo la hizi aina ya MITA za TANESCO Mpya, Yaani maeneo yangu IFIKAPO jioni ya saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku ni shida Kila dakika Moja umeme unakatika na kuwaka mfululizo, cha ajabu majirani zangu umeme upo mda wote. Nilijaribu kuulizia Taneco wanasema aina ya MITA...
  13. Marathon day

    Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya ulianza vizuri ni nini kimeusibu?

    Mbona huu uchaguzi wa Kenya walianza vizuri, watu tukajua ndani ya siku Moja mbili tutamjua Rais , lakini sasa ni takribani siku ya nne mambo bado, kunani tena?
  14. Marathon day

    Ombi kwa Wizara ya Mambo ya Ndani

    Nauliza swali kwa wizara ya mambo ya ndani, ninandugu yangu wakati wa tuhuma y vyeti feki, ilimtokea yeye na aliomba kuacha kazi, na hakuwahi kujibiwa barua ya kuacha kazi, Tangia mwaka 2016. Hajapata haki zake zozote wakati halifanya kazi kwa muda mrefu, kwakua alilitumikia jeshi la polisi na...
  15. Marathon day

    Upi wakati sahihi wa kumsomesha mtoto english medium?

    Ndg wadau naomba ushauri mda sahihi WA mtoto kusoma English medium, nini mtoto wa ndg yangu anasoma English medium shule Fulani tangia chekechea hivi sasa yupo darasa la pili, bado lungha inamsumbua sana, pafomance yake Iko chini sana, nionavyo masomo mengi yatampita coz anayasoma kwa lungha...
  16. Marathon day

    Ushauri: TRA waweke tozo na kuruhusu magari ya IT (in-transit) kubeba abiria

    Ndugu zangu kutokana na wingi wa abiria wa usiku, na uchache wa mabasi yafanyayo safari mda wa usiku, kuepuka ajali kama ya Costa ya Morogoro jana, napendekeza TRA waweke tozo ya gari ndg (IT) kulipia tsh 30,000/; na gari Kama Noah tsh 50,000/ Costa tsh 80,000/; wapewe kibali kupakia abiria...
  17. Marathon day

    Pendekezo: Matibabu ya Malaria yawe bure

    Nashauri serikali yetu tukufu wafikirie Malaria tiba yake iwe Bure. Mfano Kenya matibabu na vipimo vya Malaria ni Bure Kama sijakoaea. Fikiria mtu kupima malaria ni Bure ila ukija upande wa tiba inakua mtihani. Maeto ambao unahati punguzo (nembo ya Jani) mahospitalini hazionekani, badala yake...
  18. Marathon day

    Ubaguzi kwenye usaili Dodoma standard gauge

    Usaili mradi wa reli ya mwndo kasi ni shida, wanaofanya usaili na wako vizuri wanaondolewa na wanaingizwa wenye pesa na wanojulikana tu. Bila kujali mtu amekaa hapo zaidi ya wiki ametoka mbali ngarama zote mpaka vipimo juu yako halafu mtu anaambiwa amefeli arudi nyumbani, Serikali ingilieni...
  19. Marathon day

    Tatizo la gonjwa la sukari Tanzania

    Kwa tatizo hili la ugonjwa wa kisukari hapa nzchini kwanini wanasiasa wanaotengeneza ilani ya vyama vyao asiwepo mmoja akaliona hili tatizo na kuja na sera ya matibabu yake yawe bure Kama magonjwa ya TB na Homa ya ini, hasa chanjo. Kwani kwa Sasa swala la chanjo ya Homa ya ini ni tatizo kuipata...
  20. Marathon day

    Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

    Mshahara wa mwezi huu vp jamani watoto wanahitajika kurudi toka mashuleni kwa likizo ya dharura.
Back
Top Bottom