shida ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yakaribia kumaliza adha ya maji Nzasa, Somelo na Zingiziwa

    Takribani wakazi 17,200 wa maeneo ya Nzasa, Somelo na Zingiziwa katika Wilaya ya Ilala wanatarajiwa kunufaika na huduma ya maji safi na salama baada ya Mradi wa Maji wa Nzasa–Somelo kufikia asilimia 95 ya utekelezaji. Mradi huo unahusisha uchimbaji wa kisima kipya cha maji katika eneo la Ofisi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya upatikanaji wa maji Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza

    Wakazi wa Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa muda mrefu. Wakati mwingine hupita wiki moja hadi mbili bila kupata maji, na mara nyingi hulazimika kumpigia simu mwenyekiti wa eneo ili awasiliane na mamlaka husika. Kinachoshangaza...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza kuna shida kubwa sana ya maji, na MWAUWASA hawafanyi kitu chochote

    Mwanza tuna shida kubwa ya maji ambayo imekuwa ikidumu kwa miaka mingi, lakini haiongelewi kabisa. Kwa mfano, maeneo ya Kirumba, maji hutoka mara moja tu kwa wiki, na mara nyingi hutoka usiku wa manane. Mbaya zaidi, bili za maji zinakuwa kubwa kwa sababu tunalazimika kuacha mabomba wazi kila...
  4. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iifunge ofisi ya DAWASA Mbagala Rangitatu, haina faida kwa wakazi. Imepita Nusu mwaka bila kupata maji

    Ofisi ya DAWASA Mbagala Rangitatu imeshindwa kwa makusudi kuwapatia maji wakazi wa Mbagala, ni nusu mwaka sasa wakazi wamekuwa katika mgao wa kupata maji mara moja kwa wiki! Mbagala inapata maji ya chumvi kupitia visima, wakati visima vya DAWASA havitoi maji! visima vya watu binafsi havikauki...
  5. J

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi Kimara Temboni (Mtakuja) tuna changamoto ya upatikanaji wa Maji. Yapata wiki ya tatu sasa hatuna maji

    Wakazi wa Eneo la Kimara Temboni mtakuja Tunapata shida ya Maji yapata sasa ni week ya tatu Maji hatuna .Ratiba ilikuwa kila jumamosi tena wanatoa Maji kuanzia saa kumi usiku na ikifika saa kumi na mbili maji yanakatika . Watu wanateseka sana. Tunaomba mamlaka husika itufikirie sisi wakazi wa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatuna maji mtaani mwezi mzima, idara ya maji Arusha (AUWSA) hawashughulikii

    Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa! Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane. Cha ajabu ni kwamba...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kongamano kubwa la PPP na Wizara ya Maji | Fuatilia ujue kwanini soon shida ya maji nchini itabaki historia

    Fuatilia mdahalo huu kwa faida yako na faida ya watoto wako. https://www.youtube.com/live/ns5m5m5-20o?si=hLRnoSO87jjQU2b0
  8. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Shida Sugu ya Maji Kimara Michungwani

    Watu wa Kimara Michungwani mtaa wa Mengeni tunapata sana shida ya maji ingawa mvua zinanyesha lakini tunakaa week 3 hadi mwezi bila maji na tunaona hali hii haitatuliwi maana ni muda mrefu sasa. Inabidi kununua maji kwenye magari ambayo tunauziwa kwa bei kubwa na sio kila mwananchi anauwezo wa...
  9. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ungekuwa Rais, ungeanzisha megaprojects gani kutatua shida ya maji kwa mamilioni ya watu wako ndani ya miaka 5 tu?

    Assume condition zifuatazo Wewe ni Rais wa nchi yenye watu milioni 68 na ukubwa wa 946,000 km² Umepewa nchi hiyo hapo, na hivi ndio vyanzo vikuu vya maji nchini kwako (Nchi yako ni hiyo iliyokuwa coloured green) Nchi yako ina uchumi wa around $90B na unakua kwa 4-5% kwa mwaka, na bado...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Changamoto Ya Maji maeneo ya Ubungo Msewe na Kimara Baruti

    Kwa kipindi cha Wiki 3 sasa Kumekuwa hatupati Huduma ya maji tulipiga simu kwa Dawasa namba ya huduma kwa wateja wanapokea na kusema watatuma mafundi imeishia hapo tukimpigia Meneja amekuwa hapokei simu, pia hakuna taharifa zozote. Pia soma ~ DAWASA: Pampu 8 zenye uwezo wa kuzalisha Lita 1,500...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba

    Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba tunaambiwa kuna mabomba yanatakiwa kubadilishwa lakini ni hadithi. Imagine tuko magomeni kwenye eneo la ofisi usika lakini maji ni mtihani, je hii ni haki hatupati huduma ya maji?
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi sasa

    Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi huu sasa, ukipiga simu kwa Wateja wanakuuliza maswali wanachukua na account number wanasema wanafanyia kazi ila hakuna chochote kinachofanyika na mwisho wa mwezi wanatuma bili kama kawaida.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tarimba: Miaka 60 ya uhuru Dar es Saalam bado kuna shida ya maji, tusichukulie poa

    Akizungumza katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili kikao cha saba leo Februari 4, 2026, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Tarimba Gulam Abbas amesema ni miaka sistini ya uhuru lakini jiji la Dar es Salaam bado inachangamoto ya maji, amesisitiza katika mpango wa maendele ya serikali kuweza kuzingatia...
  14. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Ukiishi jirani na mashia waislam wa imam Hussein shida ya maji utakuwa unaisikia mtandaon tu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hawa wahindi wa imam Hussein dhehebu ambalo kiongozi wake ni ayatollah wanajielewa sana hawa jamaa Kwanza hawakubali kujenga nyumba pasipo kuwawekea majiran zao Bomba la maji kwa nje Wanachimba kisima then wanatoa maji bure kabisa Mimi...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Masheikh huko wanasemaje kuhusu shida ya maji?

    GT Mwenye taarifa atupe hapa. Hawajatoa tamko huko?
  16. Foffana

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  17. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania KERO Shida ya maji Ruangwa imezidi sasa

    Ruangwa tuna shida kubwa ya maji. Mimi nimezaliwa hapa nimekulia hapa hadi leo hii nakaribia umri wa miaka 20 miaka yote hapa tuna shida ya maji tu, tangu niko mdogo tunateseka na shida ya maji hadi leo hii bado tunaendelea kuteseka. Nothing is getting better Huku maji yanatoka mara moja kwa...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Je, Mtaani kwako kuna shida ya maji?, Afisa mtendaji mkuu wa DAWASA anapita kukagua

    Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire, amefanya ziara ya kukagua upatikanaji wa maji katika maeneo ya Ubungo, Mburahati, Magomeni, Saranga na Kinyerezi. Ziara hiyo imelenga kubaini changamoto na kuhakikisha huduma inawafikia wananchi. Mhandisi Bwire amesema huduma ya maji katika...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilimanjaro: Changamoto ya Maji eneo la Kitefure, Longuo licha ya mvua kunyesha

    Changamoto ya upatikanaji wa maji katika eneo la Kitefure, Longuo, Kilimanjaro ni kubwa licha ya kipindi hiki cha mvua. Hata wakati wa mvua, tunapata shida kubwa ya maji, kwani maji yanapatikana mara moja tu kwa kipindi kirefuna eneo hili lina wakazi wengi sana jamii hii ni ya wanafunzi wa vyuo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche ashangazwa na wananchi kuwa na shida ya maji kwenye nchi yenye rasilimali nyingi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya. "Mbunge wako akiugua Mungu ametuweka Tanzania nchi yenye neema kuliko nchi nyingi, mimi nimezunguka duniani unakwenda nchi unakuta ina rasimali moja tu...
Back
Top Bottom