Kuna fumbo kuhusu maisha yetu ambalo sijui kama tutakuja kulielewa kikamilifu… 🤐
Wakuu, kuna mambo huwa nayatafakari kimya kimya na kila nikiyafikiria, najikuta na maswali mengi kuliko majibu.
Fikiria hivi…
Kuna kipindi ambacho hukuwa na kumbukumbu yoyote ya maisha yako. Leo upo hapa...
Jiulize:-
Mara ya mwisho kuoga pamoja na mpenzi wako ilikuwa lini?
Mara ya mwisho kukimbizana kama watoto wadogo wewe na mpenzi wako ilikuwa lini?
Mara ya mwisho kujambiana wewe na mpenzi wako ilikuwa lini?
Mara ya mwisho ya kumpiga kalio mpenzi wakoilikuwa lini?
Mara ya mwisho kukumbatiana...
Habari zenu wanajukwaa la MMU,
Kuna kitu nimekuwa nikikifanyia uchunguzi wa chini kwa chini kwa muda mrefu sana kwenye familia na mahusiano ya watu wengi wanaonizunguka, na leo nikaona si vibaya nikilete hapa jukwaani tukijadili kwa pamoja.
Kuna hii nadharia kwamba: Wapenzi au wanandoa ambao...
Kwa mfanyakazi anayeshinda ofisini akiwa ameketi kwa saa 8 au zaidi, maumivu ya tumbo mara kwa mara na mabadiliko ya ghafla ya kwenda chooni si tu kwamba yanapunguza ufanisi wa kazi bali yanatengeneza mazingira magumu ya kisaikolojia.
Makala hii imeandaliwa maalum kabisa ili kuelimisha jamii ya...
Tusiache kufanya check up
Miaka kadhaa nilipompokea Yesu Kristo kama Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, nakumbuka siku ile ilikuwa ni ya kipekee kiasi kwamba ndani yangu kuliingia pendo kubwa sana ambalo sikuwai kuwanalo. Sikujua kwamba kumbe Mungu anatupenda kiasi kile , upendo ule ulipoingia...
Habar za wikiend wanajamvi.
Poleni na pirika za wiki nzima na misukosuko ya kila aina. Haijalishi umeivuka kwa namna gani lkn upaswa kumshukuru alie juu.
Naandika bandiko hili kuomba ushauri wa dhati kabisa.
Ni muda mrefu sasa zaidi ya miaka minne, nimekuwa nikiota ndoto.
Ndoto hii mara zote...
Maoni ya mashabiki yamezuka tena yakimuhusisha muigizaji maarufu JASON STATHAM kuhusu kucheza nafasi ileile mara kwa mara kwenye muvi mbalimbali,miaka hadi miaka.
Hii si mara ya kwanza maoni kama haya kusambaa kwa kasi mtandaoni.
Mwezi Aprili 2017, Jason alionekana kwenye kipindi cha The Jim...
Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, March 2026 nilileta hoja hapa kuwa kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano.
Nikaeleza kuwa tumejaribu kuwasilisha kero zetu TANESCO wanasema wanakuja kuongeza transformer kwa...
Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya
Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana
Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana
Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe...
Kwenye nyumba za kupanga bana kuna Mengi unakutana na sheria mbalimbali ,kudeki vyoo na kufuagia uwanja ,mwisho wa kurejea nyumbani ,marufuku ya kubadilisha mabinti ,Sheria ya mziki ulipotiliza nk
Kwa upande wako ni sheria gani ngumu sana uliwahi kukutana nayo?
Habari wana jamvi
Duniani kumekuwa na kila aina ya mambo yanayo msonga mwanadamu.
Je ni Uraibu gani umekushinda kuacha licha ya kupambana?
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka
Habarini,
Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia “watumishi wa kujitolea” licha ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika.
Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakilalamikiwa wanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ambacho...
Anonymous (ffb0)
Thread
ardhi
jambo
kujitolea
manispaa
maramarakwamara
ofisi
sumbawanga
wananchi
watumishi
Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu?
Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa umeme ipo?
"Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga.
Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza.
Makamanda wenu wamewauza.
Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba, huku nyinyi na familia haziambulii chochote bali makaburi"
Castle_Lite
mcTobby
Naongea na wanaume tu Leo
Tabia ya kuomba ovyo haifai
Unajishushia brand
Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio kwamba uweZo wa kukupa anao
Mwanaume onesha kujiamini na kujitegemea hata kama unapitia hali ngumu...
WAZIRI MKUU Dkt. Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi na kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) pamoja na Menejimenti ya wakala huo kutokana na ubadhilifu wa zaidi ya shilingi bilioni 2.5.
Pia, Waziri Mkuu amemuagiza...
Adverts Applied 8
Shortlisted 8
Interview Attended 5
Oral Interview Attended 1
Hiyo ni status yangu ya Ajira portal baada ya kumaliza chuo 2021 hadi 2025 niliiaply jumla ya kazi 8 na nikaitwa kufanya 8 ila mi nikauzulia kufanya 5 na 1 nikaotea...
Nauliza tu kwa amani.
TEC ina combine wasomi haswa. Au tunaweza kusema TEC ni nyumbani kwa makachero, wanaweza kuwaimgiza watu mkatumukia agenda zao bila ninyi wenyewe kujijua.
2001 yalitokea haya ya 2025 kule Zanzibar, je, TEC ilichukulia serious kama ilivyo leo? au walitoa tamko la juu juu...
Kuna kundi la watu linalokua kwa kasi ya ajabu sana katika ulimwengu wa burudani – wale wanaopenda kutazama filamu na tamthilia za wauaji (serial killers). Wengine wanajitapa kwamba wameangalia na kupenda sana kutazama filamu kama Zodiac, Hannibal, Mindhunter, au I Saw the Devil mara kumi au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.