Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 573
- 893
Huwa nasikia tumchangie sijui Jack Kipemba Yuko India, sijui ni nani mpaka kuchangiwa pesa yote hiyo na wananchi ambao ni masikini wa kutupwa.
Badala ya Serekali kuchangia au taasisi nyingine za dini kuliko sisi wanachi walalahoi, nijuavyo Mimi wasikilizaji wa Radio wengi ni watu wa Hali ya chini, na kumuweka Dr Isaac Maro nadhani ni kuwachosha wachangiaji wadogo wadogo wa kipindi chake cha NJIA PANDA.
Itafijia hata watu wadogo wenye uhitaji wa Laki mpaka milioni watakosa kuchangiwa kwa watu kukata tamaa! Mawazo yangu tatizo lake lingegharamiwa na serikali, na sisi wachangiaji wadogo wadogo tuachiwe hawa wahitaji wa pesa hizi ndg ndg. Dr Isaac ustumike vibaya mpaka ukapoteza mvuto wako kwa wasikilizaji wako, matatizo ni mengi na TOZO zimeshatuchanganya ujue.
Hali ni mbaya