Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 581
- 903
Nauliza swali kwa wizara ya mambo ya ndani, ninandugu yangu wakati wa tuhuma y vyeti feki, ilimtokea yeye na aliomba kuacha kazi, na hakuwahi kujibiwa barua ya kuacha kazi, Tangia mwaka 2016.
Hajapata haki zake zozote wakati halifanya kazi kwa muda mrefu, kwakua alilitumikia jeshi la polisi na hajapata barua ya kukubaliwa kuacha kazi, je afanye nini either arudi kazini au alipwe stahiki zake za kuitumikia wizara kama askari mtuifu?
Naomba viongozi wa wizara walifanyie kazi ombi hili na kama kuna namna ya kufanya Ili apate stahiki zake au arudi kazini kama tamko la Muheshimiwa Rais wetu Mama Samia Salum Hasani alivyoagiza.
Nomba wajuzi wa kisheria wanidadavulie hatua za kufata Ili mlinzi wetu aweze kupata ushauri mzuri.na mustakabali wa swala lake, Kama muh Raisi, waziri wa mambo ya ndani na Muh IGP ataipata stori hii atusaidie japo kwa ushauri.
Ahsante, nawasilisha.