Search results

  1. D

    TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

    Vicky Kamata atangaza kuondokewa na mwenza wake Dkt. Servacius Beda Likwelile. Moja ya wahadhiri nguli na wanazuoni wa kitanzania Dkt. Servacius Likwelile hatunaye. Dkt. Likwelile amewahi kuhudumu katika Wizara ya Fedha na Mipango kama Katibu Mkuu kabla ya uteuzi wake kutenguliwa mwaka 2016...
  2. D

    TANZIA Mama mzazi wa Tuly Nasa (Kada wa Chadema aliyefariki wiki iliyopita) naye afariki dunia

    Chadema inatangaza msiba wa mama mzazi wa Tuly Nasa aliyekuwa kada wa Chadema ambaye kwa sasa ni marehemu aliyezikwa wiki iliyopita. Msiba umetokea leo alfajiri. Wiki iliyopita mama huyo alikuwa mzima na alishiriki mazishi ya mwanaye huyo wa kike. Picha mama mwenye nguo nyeupe (ambaye...
  3. D

    Balozi wa USA nchini amtaka Rais Magufuli achukue hatua zaidi ya kuwaachia Mbowe na wenzake

    Mbali na kuachiwa viongozi wa upinzani bado Marekani imetaka hatua za mapendekezo yake yote kuchukuliwa. Soma alichotoa Balozi wao nchini:
  4. D

    Uchaguzi 2020 Jumuiya ya Madola yatoa taarifa rasmi kusikitishwa na yaliyotokea Tanzania kipindi cha uchaguzi mkuu ikiwemo udanganyifu na mauaji

    The Commonwealth Secretary-General, The Rt Hon Patricia Scotland QC, has strongly urged authorities to investigate allegations regarding the recent general election in the United Republic of Tanzania of serious electoral irregularities, violence and of deaths, particularly in Zanzibar...
  5. D

    Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?

    Kiutaratibu naona jeshi la Polisi ni kama wamefanya uvamizi nje ya ubalozi wa Ujerumani na kukamata mtu akiwa kwenye ombi la kuonana na balozi husika. Mbaya zaidi balozi wa Ujerumani nchini hakuwa na taarifa hizo. Sijui sheria zinasemaje ila nahisi jambo hili litazua hisia sana kutoka kwa pande...
  6. D

    Uchaguzi 2020 Secretary Pompeo azungumzia kinachoendelea Tanzania kuhusu mambo ya Uchaguzi

    We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians. NB: Kwa wale...
  7. D

    Kwa mujibu wa cheo chake ndani ya CHADEMA, sasa Halima Mdee atakuwa Bungeni kama Mbunge Huru. Tutarajie nini?

    CHADEMA inakidhi vigezo vya kupata uwakilishi wa viti maalum maana imepata zaidi ya asilimia 5 ya kura za ubunge. Kutokana na muongozo liwake jua ama mvua Josephati Gwajima anaenda kukutana na Halima Mdee Bungeni kama Mwenyekiti wa BAWACHA. Mbaya zaidi atakuwa mbunge huru asiye na jimbo la...
  8. D

    Uchaguzi 2020 Kura zaidi ya laki mbili za Urais kuharibika ni jambo la ajabu sana na aibu kubwa kwa nchi

    Yani kuacha Magufuli na Lissu, unakuja kugundua kuwa mshindi aliyeshika nafasi ya tatu kati ya hao 15 ni kura zilizo haribika. Yani zaidi ya kura laki mbili ziliharibika. Ni kura nyingi kuliko za mgombea Ibrahim Lipumba ambaye alizunguka nchi nzima kuomba kura. Ni kura nyingi kuliko kura za...
  9. D

    Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

    Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni. Stay tuned!
  10. D

    Uchaguzi 2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

    Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita Kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
  11. D

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutua Singida Magharibi leo Oktoba 25

    Mh. Tundu Lissu leo atakuwa na Mikutano mitatu Jimbo la Singida Magharibi ambayo ni; 1: Sepuka, 2: Iglanson na 3: Ihanja. Wakati wa Mabadiliko ni sasa. Yani yule mwingine leo anafanya mkutano mmoja Babati na akitoka hapo imeisha hivyo. Sasa baada ya Lissu kumaliza Singida, kampeni inayofuata...
  12. D

    Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

    Kuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo: Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA.
  13. D

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

    Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani. Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia...
  14. D

    Mwibara: Baada ya Tundu Lissu kuzuia njia ili kivuko kisishushe magari na mizigo, azua tafrani baada ya maiti kukwama kwenda kuzikwa. Tazama video

    Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.
  15. D

    Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

    Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu) Tazama mbele ya kivuko yanaonekana magari...
  16. D

    Video: Huyu dada ambaye ni mlinzi binafsi wa Tundu Lissu nimetokea kumfikiria sana. Hapa ni Chato anataka kumkunja askari wa FFU

    Huyu dada nimekuwa namfuatilia kila alipo Tundu Lissu kwenye hii mikutano ya kampeni inayoendelea. 1. Anaonekana ni mtu jasiri sana kila anakopita. 2. Anaonekana ni mtu mwenye mafunzo hodari ya ukakamavu. 3. Anaonekana kuwa very loyal. Yeye ndiye anakaa upande wa kushoto wa Tundu Lissu pamoja...
  17. D

    CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

    Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha. Zaidi soma; Uchaguzi 2020 - Polisi waondoa kizuizi...
  18. D

    PICHA: Wananchi wengi wajitokeza kuomba ajira za muda za NEC. Kwa kweli kama nchi tumefika pabaya

    Polisi wamelazimika kutawanya umati mkubwa uliojitokeza jijini Dar es Salaam leo kuomba ajira za muda za NEC. Sisi kama taifa kusema kweli kuna mahali pakubwa mno tumeteleza. Hili sasa ni janga!
Back
Top Bottom