CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

dikteta2020

JF-Expert Member
Aug 14, 2018
595
3,990
Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.

Zaidi soma;
Uchaguzi 2020 - Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake




20201006_210504.jpg
20201006_210511.jpg
20201006_210555.jpg
 
Nimeamini kuwa safari ya ukombozi haijawahi kuwa kitu cha overnight, ni ndefu kweli kweli. Lissu atatuvusha Watanzania tusifanye Makosa trh 28.10

Kuzungumzia Amani bila kutanguliwa na Haki ni jambo lisilowezekana.
 
Ukiona hilo Jeshi la Polisi linatumia nguvu hivyo kumdhibiti huyo Tundu Lissu, ujue hao watawala wa CCM weshaona maji yako shingoni!

Hilo Jeshi la Polisi, kwa kujua au kutojua, wanampaisha mno huyo Tundu Lissu.

Ukombozi kamili tayari ushakaribia mno.

Tarehe 28/10/2020 twende tukamalize kazi.

Watanzania wana jambo lao kwenye sanduku la kura
 
Back
Top Bottom