halima mdee

Halima James Mdee (born 18 March 1978) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Kawe constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Heche: Halima Mdee si Mwanachama. Akitaka kuwa Mwanachama utaratibu anaujua

    Kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche alipoulizwa kuhusu status ya Halima Mdee ndani ya CHADEMA. "Sio mwanachama. Na hawezi kuwa mwanachama bila kufuata utaratibu ambao upo kikatiba, yeye anaujua. Akitaka kuwa mwanachama anajua hatua za...
  2. Q

    Halima Mdee arejea CHADEMA

    Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee, ambaye alifukuzwa uanachama wa chama hicho mwaka 2020 pamoja na wabunge wengine 18 wa Viti Maalum, amerejea rasmi ndani ya chama hicho baada ya takribani miaka sita tangu kuondoka kwake.
  3. Pascal Mayalla

    Tetesi: Good News. Yule Shujaa Mwanamke wa Shoka, Shupavu na Shujaa wa Chadema, Kamanda Halima Mdee, Iron Lady is Back Ndani ya Nyumba!.

    Wanabodi, Kama kawaida ya wewe mwana JF, pata ile the JF advantage, ya be the first to know!, Kuna breaking news ya good news Chadema, yule mwanamke wao wa shoka, shupavu, shujaa na chuma cha pua wa Chadema, Kamanda Halima James Mdee, is back ndani ya nyumba!, amerejea Chadema! Nitakupa zaidi...
  4. Idugunde

    Umuzi wa Heche kuanza kuwarudisha CHADEMA wasaliti kama Halima Mdee unaenda kuiondolea imani iliyokuwa imepanda kwa kasi CHADEMA

    Heche ameanza kuvuruga mambo maana Chadema ilishaanzaa kujenga imani kubwa sana kama chama ambacho hakinunuliki kama ilivyokuwa Wakati wa Mbowe. Lakini kitendo cha kuanza kuwarudisha wasaliti kama Halima Mdee na wenzake ambao baadhi yao walitimukia Chauma ni kitendo cha kuanza kuharibu imani...
  5. October 2pm

    Nikiwa kama MwanaCHADEMA Kanda ya Pwani. Nitapiga kampeni Halima Mdee arejeshwe. Tuanze na Kura humu mtandaoni

    Hehee! Kumekucha na Makucha yake. Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake. Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
  6. Mafyangula

    John Heche: Chadema tupo tayari kumpokea Halima Mdee

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche amesema wao kama CHADEMA wapo tayari kupokea Halima Mdee Heche ameyasema hayo kwenye kipindi cha Jana Na Leo kupitia Wasafi Fm Aprili 15, 2026
  7. Waufukweni

    PostGE2025 John Heche: Tupo tayari kumpokea Halima Mdee CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche amezungumzia kurejea kwa Halima Mdee ndani ya chama hicho wakati wa mahojiano kupitia Wasafi FM; "Kwanza niseme Halima ni rafiki yangu, na mimi nampenda na anajua. Tumekuwa naye kwenye chama... ni mtu nampenda, anajua...
  8. K

    Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19

    Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19. Amegoma kwenda CCM sasa atubu kwa uwazi kabisa kuhusu Covid 19 kabla hajakubaliwa kurudi kama mwanachama wa kawaida. Bila kutubu asiruhusiwe
  9. Doto12

    Halima Mdee huyu ni Binti niliyempenda katika maisha yangu.

    Halima Mdee nilimfahamu akiwa tayari amejiunga na CDM ni mwanamama nilimpenda sana japo hajui. Miaka flan huko nilijiunga na chuo flan dodoma lengo nimuone Kwa ukaribu. Kuna wakati alikuwa akinunua matunda sehemu flan Dodoma na mimi nikasogea kununua matunda wakati sikuwa na bajeti nayo...
  10. Mkalukungone Mwamba

    SI KWELI PreGE2025 Halima Mdee: Gwajima si Mtakatifu,2020 alibariki uhuni Kawe

    Halima James Mdee (@halimamdee) “Gwajima hapaswi kuonekana mtakatifu. Kwenye uchaguzi wa Kawe 2020 alibariki uhuni, ameawatukana viongozi na waumini wa Kanisa Katoliki hadharani, akawavunjia heshima Waislamu pia. Huyu ni mtu wa kutafuta umaarufu, si mkweli. Apuuzwe.”
  11. Waufukweni

    Halima Mdee: Ndugai alipigania Haki za Wabunge 19

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Ndugai alipigania haki za wabunge 19 waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
  12. A

    Tetesi: GE2025 Mbowe kugombea Urais, mgombea mwenza Halima Mdee

    Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali. Lakini cha kusikitisha ni kwamba yeye au Halima Mdee mmoja wao atagombea Urais...
  13. and 998 others

    Nape, January, Stergomena, Gwajima's & Halima Mdee sijawaona kuchukua Fomu CCM, tatizo nini?

    Pamoja na kulipwa MAFAO ya ubunge takribani 600m TZS kila Mheshimiwa iweje hamkuchukua tena Fomu za kuomba uteuzi wa Chama Chetu? Au mmeamua kustaafu na Dr Majaliwa?
  14. ngara23

    Urafiki wa damu wa Esta Bulaya na Halima Mdee

    Hawa mabinti ni marafiki hawana Iko hivi 1. Halima alikuwa chadema inasemekana akamshawishi Esta aliyekuwa CCM naye akahamia chadema 2 Safari ya kuitwa COVID 19 Ndugai alivotaka uwakilishi wa wanawake wa chadema hawakuachana, walikuwa wote kwenye genge la COVID 19 3 Kuhamia CCM tena Leo...
  15. GENTAMYCINE

    Haya chukueni hii mapema kwani ni ya uhakika 100% kuwa Halima Mdee Kumrithi Askofu Gwajima Kawe kupitia CCM

    Dotto kahamia CCM na anaenda kushinda Bunda na Kulwa nae atahamia CCM soon tu na kuchukua na kushinda Kawe.
  16. K

    Ushauri kwa Halima Mdee

    Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua...
  17. Erythrocyte

    PreGE2025 Ni lini Halima Mdee atachukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia Chama chake cha CCM?

    Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini? Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi. Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje
  18. The Watchman

    PreGE2025 Halima Mdee: Sitamani kuiacha CHADEMA. Kama itanifungia milango, basi nitaangalia mbadala mwingine

    "Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari na wakafikiria wamefika kama vile hakuna watu waliojenga kwahiyo mimi zile zote mbili ni familia...
  19. Waufukweni

    Halima Mdee: Si ungechangia, acha kunipotezea muda. Zungu ambana kwa Kanuni za Bunge

    Halima Mdee akichangia kwenye Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa malalamiko yake kwa Waziri Deogratius Ndejembi akisemea migogoro ya ardhi kwenye jimbo la Kawe.
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Halima Mdee: Kuchukulia kauli za Kisiasa kuwa ni uhaini basi wote tutakuwa Wahaini

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada. Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za...
Back
Top Bottom