Uchaguzi 2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

dikteta2020

JF-Expert Member
Aug 14, 2018
595
3,990
Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita Kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.

Screenshot_20201027-150016.png
 
Duh, CCM washaanza mauwaji tayari. Dalili za kushindwa ndiyo hizi.

Huyo jamaa achukuliwe hatua za kisheria za mauaji ya kukusudia haraka iwezekanavyo na si vinginevyo!
 
Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
View attachment 1613740
sasa hapo ccm inahusikaje yani mnyika akifumwa na mchepuko huko basi ni chadema ndio imechepuka
 
Haki... Haki... Itendeke kama tunavyoona Mwanasisiem hata akijikwaa tu damu ikitoka utembelewa na kupewa pole, huku macamera na video vikichukiliwa kuonyesha ameonewa..Basi Mtendeeni Haki huyu Muuwaji....
 
Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.


CCM mwaka huu mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Kijinai(ICC) hawataukwepa asilan!!
 
Jamani dah, ukweni kabisa hapo Nyamongo.

Hiki ni kipindi ambacho sitaki majibizano ya siasa ya ana kwa ana. Kuna watu wanatakaga wasikilizwe wao tuu na kueleweka ila hawawezi kukusikiliza unapokua na maoni tofauti.

Mungu tunusuru watanzania. Kuna maisha baada ya uchaguzi jamani
 
Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
ukiwa upande wa ccm mbona bundiki ni wewe tu kama unakazi nayo unapewa, hukumbuki yule mbunge wa CCM huko kanda ya ziwa alikutwa na silaha kibao na risasi na kesi ikaishia kusikojulikana
 
Back
Top Bottom