Search results

  1. JOHNGERVAS

    Fursa hiyo

    Kama tangazo linavyoonyesha
  2. JOHNGERVAS

    MWENYE ANAUZA HIVI NAHITAJI.

    Nahitaji viti kama hivyo mwenye anavyo vipya nataka saba aje PM na bei yake
  3. JOHNGERVAS

    Msaada kuhusu Bulk SMS

    Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na mm pia niweze kuzitumia kwenye BULK SMS kwa ajili ya baishara yangu. NB: Tayari nimeshapata sender...
  4. JOHNGERVAS

    Namna nzuri ya kutumia Marketing sms (bulk sms)

    SALAM WAKUU Naomba mwenye kufahamu mfumo unaoweza kutuma sms kwa kufuata Location. Mfano kama ilivyo BULK SMS unatuma sms kwa watu wengi kwa Pamoja ukiwa umeweka namba za watu unaotaka kuwatumia sms Sasa nauliza hivi hakuna Mfumo unowezesha kutuma sms kwa location Fulani tu, Yaani kama nataka...
  5. JOHNGERVAS

    Msaada: Mwili wangu umekuwa ukikonda sana

    Habari WAkuu bila shaka muko salama Moja kwa Moja kwenye mada kuna Ndugu yangu wa Karibu sana jana jioni wakati wa Mazungumzo alinishirika jambo lake akasema hivi "siku za Karibuni nimekuwa nakonda sana hadi nguo zangu zilizokuwa zinanibana zimeanza kuwa kubw atena Kwangu. Nakula vizuri sina...
  6. JOHNGERVAS

    Mtoto mdogo kuhisi kiu usiku ni tatizo?

    Wakuu Salaam Kwenu nyote Nina mtoto ana Miaka miwili na miezi kama minne siku za karibuni amekuwa na tatizo ambalo sijalielewa, Anakuwa na kiu sana usiku hasa majira ya saa tisa hadi 11 lazima aamke adai Mma(Maji) sijui hii itakuwa ni tatizo ama ni jambo la kawaida? Naomba mwenye ufahamu...
  7. JOHNGERVAS

    Miamala kwa njia ya simu inatufilisi bila kujua

    Kusaidiana ni njia mojawapo ya Kudumisha Upendo Baina yetu sisi na watu wengine ikiwemo ndugu zetu, jamaa na Marafiki. Kukua na kuongezea kwa matumizi ya Huduma za Kifedha kwa njia ya simu imesaidia na kurahisisha kwa kiwango Kikubwa sana ndugu, jamaa na marafiki kutumiana fedha pindi...
  8. JOHNGERVAS

    Usiogope wakiondoka na hata kama watakuachia maumivu, ipo siku watakuja tena wakidai wametoka mbali na wewe

    Nimesoma Kupitia Instagram ya Mtangazaji wa Star TV Alloyce Nyanda, nimeona pia niwashirikishe Je ni nani anayezungumziwa kwenye hiyo story? Je Nyanda alikuwa nabariki Jambazi Sabaya asifungwe na anataka kutuaminisha alimpigania kabisa, Ama je inaweza kuwa na yeye ni sehemu ya waliofaidi...
  9. JOHNGERVAS

    Katavi: RC Mwanamvua Mrindoko awataka walimu kuwapo shuleni saa 24

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka walimu kuwapo shuleni saa 24 kwa ajili ya kupokea wanafunzi watoto wanaoandikishwa kuanza darasa la kwanza na awali ili mzazi akifika asirudi na mtoto nyumbani kwa kukosa huduma.
  10. JOHNGERVAS

    JOSEPH SELASINI:MAISHA YANA SIRI KUBWA,TUSIMDHARAU TUMPE POLE

    Anaandika Mbunge mstaafu wa Jimbo la Rombo Eti kuna wanaomlaumu kwa kuwa hakujenga kwao. Kwao ni wapi? kwa baba yake ni kwao? Kwa wajomba ni kwao? Yaani awajengee kaka/ wifi zake? Mimi naona sio sawa. Lakini kuna anayejua maisha ya kwao? Kula kwao, elimu, matibabu nk? Kwani haiwezekani huyu...
  11. JOHNGERVAS

    Naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya bulks SMS

    Habari wakuu naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya bulks SMS. Nataka nijiunga na huduma hiyo. so natka kufahamu vigezo, Company nzuri zinazofanya pamoja na gharama zake. nitashukuru
  12. JOHNGERVAS

    Naomba kujuzwa dawa ya kuondoa usingizini

    SALAAM WAKUU. Mimi nimeajiriwa Kampuni X ambayo nafanya kazi kwa masaa nane saa 2-10 Jioni. Ila Kwa Neema ya Mungu nimepata kazi ya Online Kampuni Fulani kwa mkataba wa miezi Minne hivyo hii kampuni ya Online nafanya kazi kuanzia saa 5-12 asubuhi. Hivyo kutokana na Majukumu haya muda wangu wa...
  13. JOHNGERVAS

    Afrika Kusini: Mwanamke adaiwa kujipatia fedha kwa kuua ndugu

    Taifa la Afrika Kusini limetikiswa na habari ya Nomia Rosemary Ndlovu (46) baada ya kupanga njama na kuua ndugu zake sita, huku akiwa anaandaa vifo vya ndugu wengine, akiwemo mama yake mzazi. Swali likawa, Rosemary ni nani? Historia yake ikoje? Kwa nini aliua ndugu zake? Wakati viulizo vikiwa...
  14. JOHNGERVAS

    SoC01 Suluhisho kupunguza utapeli unaofanywa na madalali

    Salaam Wakuu. Kwanza kabisa kila mmoja anafahamu Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao wanazofanya kila siku. NAMNA WANAVYOFANYA KAZI Mara nyingi kazi za madali hawa hazina formula maalum...
  15. JOHNGERVAS

    Elisaria Pallangyo ni nani? Je, anafaa kuwa DC wa Arumeru?

    Habari Wakuu, Watu wa Arusha inaonekana bado wanamhitaji sana Jerry Muro. Nimepitia Kwenye blog moja hivi kuna habari nimesoma watu wa Arusha wanaomba Jerry Muro arudi Arusha awe Mkuu wa Mkoa. Lakin I piia nimeona Nina LA MTU mmoja anayefahamika kwa jina LA Elisaria Pallngyo ambaye watu Wa...
  16. JOHNGERVAS

    Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

    Habari wakuu, Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas. Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye...
  17. JOHNGERVAS

    Tasnia ya habari imejaa wafanyakazi wasio na weledi

    Hello Wakuu, Leo katika pita pita zangu Nimepita katika Page ya Kituo kimoja cha Radio huko mtwara. Nimekutana na hii Habari iliyoandikwa na kupostiwa kwenye page yao kama nilivyo ambatabisha picha hapo chini. Kwa kweli Uandishi wa aina hii ni Aibu kwa tasnia ya Habari.
  18. JOHNGERVAS

    Biashara ya Magazeti

    Wakuu habari za Leo. Nahitaji kununua magazeti Returns yaan Yale mabaki. Ninahitaji kuanzia kg 500 na kuendelea had tani 5. Kwa mwenye nayo please tufanye biashara. Namba yangu 0718378427
  19. JOHNGERVAS

    WIMBO MAALUMU WA IJUMAA KUU

  20. JOHNGERVAS

    Bunge la Ndugai limeuza madaraka yake mamlaka yake Ikulu

    Hivi karibuni niliandika makala nikijadili utendaji wa Spika wa Bunge, Job Ndugai. Nilisema katika makala hayo na naendelea kusisitiza kuwa Spika huyu ama ameshindwa kuyatambua mamlaka ya Bunge analoliongoza au anaogopa kuyatumia na kuishia kuiachia Serikali anayotakiwa kuisimamia. Madaraka ya...
Back
Top Bottom