Elisaria Pallangyo ni nani? Je, anafaa kuwa DC wa Arumeru?

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
470
597
Habari Wakuu,

Watu wa Arusha inaonekana bado wanamhitaji sana Jerry Muro. Nimepitia Kwenye blog moja hivi kuna habari nimesoma watu wa Arusha wanaomba Jerry Muro arudi Arusha awe Mkuu wa Mkoa.

Lakin I piia nimeona Nina LA MTU mmoja anayefahamika kwa jina LA Elisaria Pallngyo ambaye watu Wa Arusha wanaomba awe Mkuu wa wilaya ya Arumeru.

Sina Kipingamizi kwa hilo ila naomba kumfahamu vizuri huyu Mtu anayeitwa Elisaria Pallangyo ni nani? Je anafaa kuwa DC wa Arumeru? Kwa anayemfahamu ni huyu naomba CV yake

IMG-20210621-WA0038.jpg
 
Umechemka, Muro hata hapo alipo amekalia kuti kavu. Na huyo pallangyo mmeru mwenzao itakuwa ndio wewe. Nayo umechemka.
 
Habari Wakuu,

Watu wa Arusha inaonekana bado wanamhitaji sana Jerry Muro. Nimepitia Kwenye blog moja hivi kuna habari nimesoma watu wa Arusha wanaomba Jerry Muro arudi Arusha awe Mkuu wa Mkoa.

Lakin I piia nimeona Nina LA MTU mmoja anayefahamika kwa jina LA Elisaria Pallngyo ambaye watu Wa Arusha wanaomba awe Mkuu wa wilaya ya Arumeru.

Sina Kipingamizi kwa hilo ila naomba kumfahamu vizuri huyu Mtu anayeitwa Elisaria Pallangyo ni nani? Je anafaa kuwa DC wa Arumeru? Kwa anayemfahamu ni huyu naomba CV yake

View attachment 1825349
Yaani elisaria pallagyo mmeru awe mkuu wa wilaya ya meru?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom