Naomba kujuzwa dawa ya kuondoa usingizini

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
470
597
SALAAM WAKUU.

Mimi nimeajiriwa Kampuni X ambayo nafanya kazi kwa masaa nane saa 2-10 Jioni. Ila Kwa Neema ya Mungu nimepata kazi ya Online Kampuni Fulani kwa mkataba wa miezi Minne hivyo hii kampuni ya Online nafanya kazi kuanzia saa 5-12 asubuhi. Hivyo kutokana na Majukumu haya muda wangu wa kulala kwa siku hauzidi masaa matatu.

Kilichofanya nije kwenu ni kwamba Muda wa mchana ninapokuwa kazini Napata sana usingizi, Naomba mwenye kujua Dawa au aina ya vitu ambavyo havina madhara ninavyoweza kutumia ili nisipate usingizi hasa wakati wa Mchana ndio shida inakuwa kubwa.

Asanteni.

NB hii kazi ya usiku ni ya mkataba wa miezi minne sio ya Kudumu.
 
A6FBA12A-06C2-4945-85AA-45623523DC0C.jpeg
 
Ukifika tu asubuhi kunywa kahawa asubuhi, mchana saa 3 ukimaliza kula piga energy drink yako moja, but pia kumbuka kukaa na usingizi bila kulala mda mrefu inapelekea ugonjwa ikiwemo msongo wa mawazo pia kichwa kuuma, hapo cha kufanya day unazopata nafasi za weekends zitumie vizuri kwa kulala sana mpaka ufanane na kitanda ili jumatatu uanze na nguvu mpya
 
Shukrani Mkuu
 
Back
Top Bottom