jerry muro

  1. raakha

    Yuko wapi Jerry Muro?

    Ndg wadau, YUPO WAPI aliekua DC machachari ikungi bwana Jerry MURO. Nakumbuka kijana huyu aliyavaa madaraka mpaka akasahau kwamba cheo ni dhamana tu. Leo hii kapotea kabisa Wala hasikiki, si ni Bora angebakia msemaji wa Yanga kipaji CHAKE kingekua na asingalipotea kirahisi hivi.
  2. GENTAMYCINE

    Rais Samia ungemteua Jerry Muro kuwa Mwenezi wa CCM Taifa ungekuwa Umeupiga Mwingi zaidi

    Ana kila Kitu tena huyu ni zaidi hata ya alivyokuwa Nape Nnauye na alivyo huyu Uliyemteua sasa Dada Sofia Mjema ambaye kwa Uzito wa hiyo nafasi sioni kama ana amsha amsha na Ubavu wa Kutema Cheche. Mtu mwingine ambaye nafasi hii ingemfaa sema tu kwa sasa ni Mbunge ni Livingston Lusinde Mtoto wa...
  3. MAHANJU

    Jerry Muro tulikuambia ubadhirifu wa miradi ya umma Ikungi utakuondoa, pole sana

    Katika wakuu wa wilaya waliokua wabishi majeuri hawataki kuambilika ni pamoja na DC Mstaafu halmashauri ya wilaya ya Ikungi ndg Jerry Muro. Huyu kila alipoambiwa amezungukwa na mchwa waliokua wanatafuna pesa za umma alijifanya mkali akidai anachafuliwa kisiasa. Sasa ajifunze. Twende hatua kwa...
  4. B

    DC Muro aongoza timu kumaliza mgogoro wa ardhi wa miaka 18 Ikungi

    DC Muro aongoza timu kumaliza mgogoro wa ardhi wa miaka 18 Ikungi. Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro pamoja na viongozi wa kata ya Irisya wakiongozwa na mwenyekiti wa halmashauri ya ikungi Mhe. Ali juma mwanga ambae ni diwani wa irisya wamefanikiwa kuumaliza mgogoro wa ardhi baina ya...
  5. B

    Ikungi Walipwa Fidia na Jeshi Milioni 243.7

    IKUNGI WALIPWA FIDIA NA JESHI MILIONI 243.7 Serikali kupitia wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa imetoa fidia ya fedha kiasi cha shilingi milioni 243.7 kwa ajili ya wananchi 160 wa vijiji vya choda na mkiwa wilaya ya Ikungi Akizungumza wakati wa kikao cha utoaji wa taarifa za mapokezi...
  6. B

    DC Muro na ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo wilayani Ikungi

    DC MURO NA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO- IKUNGI. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Muro pamoja na Kamati ya Usalama ya Wilaya wataanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Wilayani Ikungi kuanzia tarehe 01 hadi 04 Novemba, 2022. Ufuatiliaji na Utekelezaji wa Ilani ya...
  7. B

    Uwekezaji Ikungi washika kasi, DC Muro atembelea uwekezaji wa alizeti

    Mkuu wa wilaya ya Ikungi Jerry C. Muro leo tarehe 21/10/2022 akiambatana na viongozi wa kamati ya usalama ya wilaya pamoja na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wilaya wamefanya ziara ya kutembelea shamba la mwekezaji kampuni ya Alfadaws Investment Company kutoka Jordan ambao wamewekeza kwenye...
  8. B

    DC Jerry Muro ashinda kwa kishindo kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM- Taifa

    DC JERRY MURO ASHINDA KWA KISHINDO KUWA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM- TAIFA. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Cornel Muro anawashukuru sana Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ikungi kwa kumchagua kwa kishindo cha kura 648 kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa...
  9. B

    Ikungi tunasema asante Waziri Mkuu Kasim Majaliwa

    IKUNGI TUNASEMA ASANTE WAZIRI MKUU MHE. KASIM MAJALIWA MAJALIWA. Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro amemshukuru waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kasim Majaliwa Majaliwa kwa kufanya ziara ya ukaguzi na kisha kuweka mawe ya msingi ya chuo cha mafunzo ya ufundi...
  10. GENTAMYCINE

    Tukisema Haji Manara ni Simba SC 'lia lia' mnatukatalia, haya 'mbishieni' na huyu mwenye Yanga SC yake DC wa Ikungi Jerry Muro kwa huu 'Ukweli' wake

    "Ninachojua tu ni kwamba Rafiki yangu Haji Manara ni Mwanachama Hai wa Simba SC na anaipenda Klabu ya Simba kuliko Kitu kingine chochote isipokuwa ujio wake huku Kwetu Yanga SC ni kutokana tu Hasira pamoja na kutafuta Ridhiki ila nina uhakika Siku isiyo na Jina Hasira zake zikiisha au Yanga SC...
  11. T

    Chini ya DC Jerry Muro, Ikungi kazi inaendelea

    Tumeona busara kuongeza thamani ya kile lilichopo kwa makundi ya vijana, wanawake na wenyewe ulemavu kupitia maelekezo ya utoaji wa fedha asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri ya ikungi ili miradi inayobuniwa iweze kuunganisha mnyororo wa thamani katika maeneo yao Tunataka kutabadilisha...
  12. MAHANJU

    Jerry Muro ndiye DC pekee ambaye bado ana U-Sabaya USabaya?

    Mimi ni kada kindakindaki wa Chama cha mapinduzi lakini ningeomba katika andiko langu nichukuliwe kama mzalendo anayependa maadili ndani ya chama na serikali ya Mama yetu mpendwa. Kama DC Muro ana wapambe wake humu na itawagusa basi wacha iwaume lakini wajifunze. Jerry Muro binafsi nimekua...
  13. Cannabis

    DC Jerry Muro apiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya ya Ikungi

    DC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara.DC huyo amesema wilaya hiyo haihitaji katiba bali inahitaji huduma kama maji,shule.
  14. JOHNGERVAS

    Elisaria Pallangyo ni nani? Je, anafaa kuwa DC wa Arumeru?

    Habari Wakuu, Watu wa Arusha inaonekana bado wanamhitaji sana Jerry Muro. Nimepitia Kwenye blog moja hivi kuna habari nimesoma watu wa Arusha wanaomba Jerry Muro arudi Arusha awe Mkuu wa Mkoa. Lakin I piia nimeona Nina LA MTU mmoja anayefahamika kwa jina LA Elisaria Pallngyo ambaye watu Wa...
  15. B

    Jerry Muro: Kichwa kinachohitajika katika ujenzi wa Yanga mpya

    Soka la bongo ni moja katika ya vitu vyenye mvuto zaid hapa Tanzania. Mpira umekuwa ni trending kwasasa bongo na bongo kama wew sio simba basi ni yanga.yani kwakifupi huwez kuruka apo. Kwa sasa Simba ndio team yenye ushawishi mkubwa zaid Tanzania. Kuanzia kwa wawekezaji, wadhamini mpaka kwenye...
  16. B

    DC Jerry Muro umeusoma ujumbe huu na ukalinganisha na majukumu yako? Jiandae

    Naomba tusome hii story ya Jerry Muro akijitetea baada ya kumkamatwa wakili nakumweka ndani kinyume kabisha na sheria. DC anadai alifanyiwa vurugu, kwa Jerry Muro huyu afanyiwe vurugu tusione clip mtaani? Hata Wananchi anaowasingizia wasipige hata picha? Vijana mnapewa madaraka kwanini...
  17. M

    Tusizinguane na tusichoshane Yanga SC haina Wachezaji wenye Hadhi, Simba SC itakuwa Bingwa tu, DC Jerry Muro

    Generalist nikiwa ' nawachana ' Yanga SC hapa JamiiForums huwa mnasema ' nawachukia ' kwakuwa Mimi ni Simba SC sasa leo kupitia Wasafi FM mwana Yanga SC Mwenzenu na Msemaji wenu wa zamani DC wa Arumeru Jerry Muro ' kawachana ' makavu kabisa. Mkiambiwa Yanga SC kuna shida muwe mnatuelewa sawa...
  18. Ileje

    Kilio cha Jerry Muro kinatafakarisha

    Jerry Muro amekiri kuwa kati ya wamachame wachache waliotoboa katika utawala wa Magufuli ambaye ni msukuma na yeye yumo. Hana hakika kama ataendelea kuwa mkuu wa wilaya chini ya Rais mpya Mama Samia. Sasa anajiuliza arudi Yanga ambako alikuwa msemaji wa club au vipi kwani nako Yanga haifanyi...
  19. jingalao

    DC Jerry Muro hongera kwa kuanzisha English Medium School Arumeru

    DC Jerry Muro ni DC kijana na mchapa kazi kwani katika wilaya yake anewezesha uanzishwaji wa Shule ya mchepuo wa kingereza yaani English Medium. Katika mkoa wa Arusha kuliwahi kuwa na Shule ya English Medium ijulikanayo kama Arusha School ambayo mfadhili wa Simba Mo Dweji alipata kusoma hapo...
Back
Top Bottom