Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
249
250
Habari wakuu,

Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas.

Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye wafuasi wengi angetumia hiyo nafasi kupaisha Mkoa husika kama alivyoipaisha Kisarawe.

Kwa muda wote aliokaaa Kisarawe amefanya makubwa mno kuitangaza Kisarawe na kuinua kiwango cha elimu, hasa katika wilaya ambayo aakazi wake wengi hawakuwa wanaipa thamani Elimu lakin tumeona ameweza kufanya mabadiliko makubwa sana.

Hivyo naona katika Eneo ambalo Rais wetu amekosea ama ameshauriwa vibaya na wasaidizi wake ni katika uhamisho wa Jokate.

Shaloom!
 

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
3,753
2,000
1624171617797.png
ALITAKIWA APISHE WENGINE NAYEYE AKAJIAJIRI!
 

IFRS

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
2,631
2,000
Ingependeza zaidi na ningemuona ana werevu kama angesema mchakato ubadilishwe wananchi wachague Mkuu wa Wilaya.

Siyo sasa hivi, rais kapewa nguvu za kikatiba na kisheria kuteua na kutengua yeyote, halafu akizitumia, wananchi wanampangia afanye nini.
Ni kweli kabisa
 

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
11,902
2,000
Ingependeza zaidi na ningemuona ana werevu kama angesema mchakato ubadilishwe wananchi wachague Mkuu wa Wilaya.

Siyo sasa hivi, rais kapewa nguvu za kikatiba na kisheria kuteua na kutengua yeyote, halafu akizitumia, wananchi wanampangia afanye nini.
In fact vyeo vya wakuu wa wilaya vifutwe kabisa kwenye katiba abaki mkurugenzi na DAS tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom