Naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya bulks SMS

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
470
597
Habari wakuu naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya bulks SMS. Nataka nijiunga na huduma hiyo. so natka kufahamu vigezo, Company nzuri zinazofanya pamoja na gharama zake. nitashukuru
 
Wacheki Data vision Ltd wenye MLIPA wanachaji 30 kwa kila message...utaratibu ni mpaka uwape Sender ID waitume TCRA kui verify kwa gharama ya 3000 then unaanza kutumia bulk sms.

Kuverify sender ID TCRA wanachukua si chini ya week 2

Imail yao https://www.google.com/url?sa=t&sou...4QFnoECA8QAQ&usg=AOvVaw2qovunUMBm3I48UXu2KPy1
 
Ninahudumiwa nahawa wapo ITV mwenge.
0687457652 nilipia 25,000 sms 1000.
 
Kuelekea msimu wa sikukuu

Screenshot_20211128-031514_Messages.jpg
 
Bulk sms ni messages ambazo Unatumia wewe mfanyabiaashara/kampuni kujitangaza au kuwatumia taarifa wateja wako..Unatumia mteja txts automatically au manually insyosomeka jina la kampuni
Kwa mfano hii txt chini...

Hizi bulk msg kampuni/mfanyabiashara anaweza kununua Kwenye makampuni yanayotoa hizo huduma na anapewa platform kuanza kuwatumia wateja

Huu mfumo ni mzuri kama unawateja wengi uwezi kuitumia Mteja mmoja mmoja txt..unaweza kutengeza kugroup la wateja wako flan ata 1000 ukawatumia txt moja wote automatically wakazopkea zikiwa na user ID ya kampuni yako
 
Kama hizi
Screenshot_20211128-090612_Messages.jpg
 
Aaaaaaaa...kuna baaz ya matapeli yalipita kwenye mfumo huu.....kipind kile cha umepokea pesa kutoka NMB wanakupa na neno la siri wanakwambia utoe ndan ya saba.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom