Namna nzuri ya kutumia Marketing sms (bulk sms)

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
470
597
SALAM WAKUU

Naomba mwenye kufahamu mfumo unaoweza kutuma sms kwa kufuata Location. Mfano kama ilivyo BULK SMS unatuma sms kwa watu wengi kwa Pamoja ukiwa umeweka namba za watu unaotaka kuwatumia sms

Sasa nauliza hivi hakuna Mfumo unowezesha kutuma sms kwa location Fulani tu, Yaani kama nataka kutuma sms kwa wakzi wa Kinondoni ama Temeke tu peke yao, bila kuwa na namba zao? Inawezekana je ni mfumo upi na kwa namna gani

Nataka kujua huo mfumo kwa ajili ya Kutuma sms za Marketing Team labda leo tukiwa Ubungo watu wa Ubungo wafahamu tupo Ubungo n.k
 
Back
Top Bottom