Msaada kuhusu Bulk SMS

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
470
597
Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na mm pia niweze kuzitumia kwenye BULK SMS kwa ajili ya baishara yangu.

NB: Tayari nimeshapata sender ID ninachohitaji nipate namba mfano nikitaka kutuma sms kwa wakazi wa Dar es salaam juu ya offer zetu mbalimbali
 
namba lazima uwe nazo... wateja wakija kununua kwako ukiwaandikia risiti unaweza waomba namba pia.
 
Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na mm pia niweze kuzitumia kwenye BULK SMS kwa ajili ya baishara yangu.

NB: Tayari nimeshapata sender ID ninachohitaji nipate namba mfano nikitaka kutuma sms kwa wakazi wa Dar es salaam juu ya offer zetu mbalimbali
Namba za simu unakuwa nazo kwenye list yako mara nyingi watoa huduma za bulk SMS wanakuwa na space kwenye portal zao ambapo utaweza kuifadhi number za wateja wako pale na unaweza watumia sms wote kwa pamoja inategemea na muundo na option zilizopo kwenye portal husika .

Hata hivyo unaweza unda web application na ukafanya Integration ya bulk SMS API kwa kuweka option mbalimbali na database kwa ajili ya kuchambua location za wateja wako.

Mfano ;

.kama unataka kuwatumia wateja wa Dar pekee utachagua option ya Dar Kisha web app itafetch number za wateja wa Dar TU na kutuma ujumbe moja kwa moja na utaona feedback kwenye hiyo custom web app na kule kwenye portal.

Ni hivyo tu.
 
sasa wale watu wa tatu mzuka, au sijui bahati nasibu huwa wanazipata wapi namba zetu?
 
Nje ya mada mkuu na wadau wengine, hiv kuna sms vendors wengine ambao wako cheap mbali na beem africa/ bongolive hapa tanzania? maana hawa jamaa ni wadau wangu ila kwa jinsi navyotumia sms service kwa kiwango kikubwa kwenye system zangu nahis kama bei yao inani gharim sanaa ...package ya sms 5000 simaliz nayo miezi miwili.
Kama kuna vendors wengine please guys naomba nijuzwe
 
Kwa Bongo sidhani, labda uwe kama Infobib na Beem!
 
Dah mkuu bado majibu hayajaja.
Dah tunabahati mbaya kwel pia na shule inachewaaa. Wakuu njoon wengne tupate darasa
 
Nje ya mada mkuu na wadau wengine, hiv kuna sms vendors wengine ambao wako cheap mbali na beem africa/ bongolive hapa tanzania? maana hawa jamaa ni wadau wangu ila kwa jinsi navyotumia sms service kwa kiwango kikubwa kwenye system zangu nahis kama bei yao inani gharim sanaa ...package ya sms 5000 simaliz nayo miezi miwili.
Kama kuna vendors wengine please guys naomba nijuzwe

Kuna Sema Communications. Cheap kuliko beam. Suppirt ipo nzuri sana na pia wanakusaidia na extra work kama vile ku prune contact list zako kama kuna namba ambazo hazipokei sms unazotumia ili kuokoa cost etc. Pia hawabani mtu kwa packages
 
Ahsante sana mkuu
 
Sikia namba wanazipata pale unapojisajili mzee namba wanankua nazo mfano hata benki si huwa unaweka namba zako pale ili hela ikiingia wanakutumia cha kwanz tengenez database
Customers alaafuw uweke uko namba zao na location
2. Lazima uwe na moderm kwa ajili ya api
 
Mkuu hao jamaa kuoata namba zetu ni rahisi tu mfano wakichukuwa mahudhurio yetu kwenye mikutano mbalimbali, pia wanaweza pata kwenye majini ya saili mbalimbali za kazi N. K
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom