Kwa mtu anayehitaji kufanya kazi eneo kama mgodi anahitaji nini, vyeti au matibabu yapi kutokea taasisi ya OSHA na gharama zake zikoje.
Natanguliza shukrani
Akili ndogo ya tafakari kama mwanazuoni wa siasa za kikanda au kiuchumi na kiulinzi na kiusalama inakupeleka kwenye hitimisho moja muhimu sana.
Tanzania imekuwa "under attack" kwa muda mrefu sana ...rejea kwa nini tulimpoteza JMP baada ya kuanza kupambana na wafaidika wa makinikia????
Toka enzi...
Kuna watu wanajitoa kwa asilimia 100, wanatoa muda, upendo, na juhudi zote wakiamini siku moja watathaminiwa. Lakini ukweli ni kwamba si kila anayepokea juhudi zako anazithamini.
Mahusiano mazuri hayahitaji ujipoteze ili ukubalike. Mtu anayekupenda kwa dhati atakuheshimu, atathamini uwepo wako...
Katika kuonyesha ukosefu wa ubunifu na uzwazwa, serikali imeleta sheria inayowataka watanzania kutoa risiti kwa kila malipo wanayopokea.
Je, na akian dada na mama poa nao huwa wanazo EDFs na huwa wanatoa risiti? Je, serikali nayo inatoa risiti pale inapopokea fedha toka kwa wafadhili na...
Wakazi wa Eneo la Kimara Temboni mtakuja Tunapata shida ya Maji yapata sasa ni week ya tatu Maji hatuna .Ratiba ilikuwa kila jumamosi tena wanatoa Maji kuanzia saa kumi usiku na ikifika saa kumi na mbili maji yanakatika .
Watu wanateseka sana.
Tunaomba mamlaka husika itufikirie sisi wakazi wa...
Nadhani hizi stori sio ngeni kwetu! Mbaya zaidi hata baadhi ya staff wa NMB hawajui uhalisia wa jambo hili!!
Hebu angalia hiki kisa changu!
Mwaka huu mwezi wa pili nilifiwa na baba Yangu mzazi..
Na huyu mzee alikuwa mteja wa NMB tuseme kuanzia anaajiriwa akiwa kijana hadi akastaafu zaidi ya...
wiki iliyopita nilienda kufanya service kwenye gereji ya kituo cha mafuta
gari ilikuwa na tatizo la mafuta, fundi ali drain mafuta yote kwenye gari,
sasa wakati wa kujaza upya mafuta nilishuhudia mchezo huu.
nilikuwa na kidumu changu kwenye buti nikampa fundi ajaza mafuta ya elf 10.
nimempa...
Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa
1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi.
1. Assad
2. Maduro
3. Khamenei
Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa...
Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo.
Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS
Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
https://www.youtube.com/live/EJPutwDEwWI
MAAZIMIO YA MAZUNGUMZO YAWAZEE KUHUSU UJENZI WA AMANI, UMOJA NA HAKI NCHINI
TAREHE: 22 JANUARI 2026
MAHALI: DARES ES SALAAM, UKUMBI WA
MWALIMU NYERERE FOUNDATION
Imewasilishwa na:
Mzee Joseph W. Butiku, M/Kiti Bodi ya Wadhamini,Mwalimu Nyerere...
Hapa Tanzania ukisema kuna ng’ombe wanaoweza kutoa lita 40 za maziwa kwa siku, wengi watakushangaa—wengine hata watakupinga kabisa.
Lakini ukweli ni huu: ng’ombe hao wapo. Ukienda nchi jirani kama Kenya, ufugaji wa ng’ombe wa maziwa unachukuliwa kama BIASHARA, si mazoea. Ni jambo la kawaida...
Inatia hasira. TEC wanadharau sana. Serikali iangalie jambo hili kwa ukaribu sana. Hawa TEC wakitoa tamko kisha wakaja jibiwa wala hawahangaiki kufafanua au kujibishana.
Hiyo ni dharau na kiburi kuonesha wao hawajibishani na vilaza au wasiojielewa. Hili jambo linanikwaza. Serikali imejaribu...
Jeshi la Polisi mkoani Lindi limetolea ufafanuzi madai ya mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombare Mwiru ambaye alisema vurugu zilizotokea jana kwenye eneo Kilwa Masoko zilisababisha ashindwe kufanya mkutano.
Soma Pia: Chama cha AAFP yaahirisha mkutano wa kampeni...
Naomba mbinu takatifu nje na pesa , kwanini mademu wanatoa namba kirahisi sana ila wagumu kuingia box, wanaboa mimi nawatukana nawauliza ulidhani mimi mjomba wako.
Pesa ni ngumu utawala huu wa Hassan, kutoa advance mtihani.
Leteni code mkwamo uko wapi baharia wa Malawi nakwama
Je M-beti na Simba walitudanganya? Inakuwaje Simba wakubali pesa ndogo (bilioni 20) wakati mkataba ulioisha ulikuwa bilioni 26?
Je club hiyo inaporomoka thamani? Kwanini wasingekomaa wapate angalau Bilioni 30? Au hata bilioni 27?
Habari jamani
Naomba muongozo wa kuuza vinywaji vikali kwa bei ya jumla mtaji wangu ni 20m wapi wanatoa mzigo na muongozo wa biashara kwa ujumla nami nianze biashara ningependa kupata mawazo yenu kwa wenye ufahamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.