umoja wa afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Chromium

    Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Ethiopia inataka kujiunga na EAC? Nini madhara na faida? Je Tanzania na Kenya zitakua bado na sauti ndani ya EAC au ndio mvurugano utaongezeka?
  2. M

    Gaddafi amesahaulika Umoja wa Afrika haraka mno!

    Huyu Mwamba hakupaswa kusahaulika Kwa haraka African Union. Huyu alihimiza taifa moja Afrika (badala ya nchi vipande-vipande 53). Tafadhali AU anzisheni Gaddafi day au Gaddafi Scholarship tumkumbe Kamanda wa Afrika. **Ikiwa mlishindwa kumlinda basi hata kumkumbuka tu kinawashinda nn?
  3. R

    Matapeli watumia Akili Bandia kujifanya Mkuu wa Umoja wa Afrika Moussa Faki, wapiga simu kadhaa kwenda Miji Mikuu Nchi za Ulaya

    Tume ya Umoja wa Afrika imekuwa muhanga wa uhalifu wa mtandaoni baada ya matapeli kutumia akili bandia ili kumuiga mkuu wa tume hiyo Moussa Faki na kuilenga miji mikuu ya nchi za Ulaya. Huu unaweza kuwa upungufu wa kwanza wa kidiplomasia kwa teknolojia mpya. Moussa Faki ambaye ni Mwenyekiti wa...
  4. Msanii

    India yapendekeza Umoja wa Afrika kuwa mwanachama wa kudumu wa G20....

    Pendekezo hilo limetolewa na waziri Mkuu wa India Je hii ni janja ya mabeberu kuizuia Aftica kujiunga na BRICS? Pitia hapa G20 set to grant membership to African Union, sources say - Reuters https://www.reuters.com/world/g20-agrees-membership-african-union-par-with-eu-bloomberg-news-2023-09-07/
  5. BARD AI

    Viongozi wa Nchi za G20 waridhia Umoja wa Afrika kuwa Mjumbe wa Kudumu wa Jukwaa hilo

    Mkutano wa Jukwaa Kuu la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa la Group of Twenty (G20) limetoa baraka za kuupa Umoja wa Afrika Ujumbe wa Kudumu katika Jukwaa hilo ambapo sasa AU itakuwa na hadhi sawa na Umoja wa Ulaya (EU). Kwa uamuzi huo, AU itakua na sauti kwenye Kura za Maamuzi yatakayogusa...
  6. Suley2019

    UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki shughuli zote za muungano

    UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki katika shughuli zote zinazohusiana na muungano huo kutokana na mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa mwezi uliopita. Kitengo cha amani na usamala katika umoja huo kimetoa wito kwa nchi wanachama wa AU kujiepusha na masuala yoyote yanayoweza...
  7. political monger senior

    Umoja wa Nchi za Afrika (AU) umepinga kuiingilia Niger kijeshi mpango ambao ECOWAS uliuwakilisha kwenye kikao hicho

    Umoja wa Afrika umekataa mpango ya ECOWAS wa kuingilia kijeshi nchi ya Niger, na hivyo kuonyesha kutokubaliana na msimamo wa ECOWAS, kama ilivyoripotiwa na Le Monde. Kwa mujibu wa chapisho hilo, wakati wa mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika tarehe 14 Agosti, iliamuliwa...
  8. benzemah

    Umoja wa Afrika (AU) Waridhia kumuunga mkono Dkt. Tulia kuwa mgombea pekee kutoka Afrika nafasi ya Urais wa Jumuiya ya Mabunge Duniani

    Umoja wa Afrika (AU) umeridhia kumuunga mkono Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) kuwa Mgombea pekee kutoka Bara la Afrika wa nafasi ya Urais wa Jumuiya ya Mabunge Duniani (Inter-Parliamentary Union-IPU). Uamuzi huo ulifikiwa katika Mkutano wa 43...
  9. Zaitun kessy

    SoC03 Matumizi ya sarafu moja kama njia ya kuleta mabadiliko katika uwajibikaji na utawala bora katika nchi za Afrika

    Wazo la kuwa na sarafu moja ya Afrika limekuwa likijadiliwa tangu mwanzoni mwa miaka ya 1980, na jitihada zimefanywa katika miongo iliyofuata kuelekea lengo hilo. Matumizi ya sarafu moja katika bara la Afrika yanaweza kuwa na athari kubwa katika kukuza uwajibikaji na utawala bora. Hapa kuna...
  10. L

    Huu ni wakati wa Umoja wa Afrika kujiunga na G20

    Katika Mkutano wa 17 wa Kilele wa Viongozi wa Kundi la Nchi 20 (G20) uliomalizika hivi karibuni nchini Indonesia, Rais Xi Jinping wa China, kwa niaba ya China, kwa mara nyingine tena, alieleza kuunga mkono Umoja wa Afrika kujiunga na G20. Kama taasisi ya kikanda inayowakilisha idadi kubwa zaidi...
  11. JumaKilumbi

    Mgogoro wa Morocco 🇲🇦 na Sahara Magharibi, kisa na mkasa

    Na Jumaa Kilumbi 10.11.2022 KaskazIni Magharibi mwa Afrika kuna mzozo kati ya nchi ya Morocco na nchi ya Jamhuri ya Waarabu ya Kidemokrasia ya Sahara (Sahrawi Arab Democratic Republic, SADR, Sahara Magharibi). Morocco inadai kuwa Jamhuri ya Sahara Magharibi ni sehemu ya nchi yake huku Jamhuri...
  12. HIMARS

    Kwanini Umoja wa Afrika hautoi neno kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Urusi?

    Kwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia? Je, haisikilizwi? Je, haioni umuhimu? Je, hayawahusu? Je, ni kawaida kwao? Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  13. L

    Umoja wa Afrika unaweza kuendelea kuitegemea China kujipatia maendeleo na ustawi

    Ni miaka 20 sasa imetimia tangu Umoja wa Afrika uanzishwe, lengo kuu likiwa ni kuhimiza mafungamano ya kisiasa, kiuchumi, kiusalama, kiutamaduni na hata kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Katika kipindi hicho, kuna mambo mengi yamepata mafanikio makubwa. Kwa mujibu wa takwimu za Benki ya...
  14. L

    Miaka 20 ya Umoja wa Afrika na ushirikiano kati yake na China

    Ni miaka 20 sasa imetimia tangu Umoja wa Afrika uanzishwe, lengo kuu likiwa ni kuhimiza mafungamano ya kisiasa, kiuchumi, kiusalama, kiutamaduni na hata kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Katika kipindi hicho, kuna mambo mengi yameonesha kupatikana kwa mafanikio makubwa, lakini pia kuna baadhi...
  15. beth

    #COVID19 Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika: Fedha zinazolenga kukabiliana na athari za COVID-19 zinawanufaisha Wananchi?

    Julai 11 ilipitishwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani humo. Kwa mwaka 2022, Maadhimisho yanafanyika Zanzibar leo Julai 12 yakiwa na Kaulimbiu "Mikakati na Mifumo ya Wazi ya Usimamizi ya Fedha za UVIKO-19" Tangu kuanza kwa janga la COVID19 kumekuwa na taarifa...
  16. Lady Whistledown

    #COVID19 Umoja wa Afrika wazindua Pasi ya Kielektroniki ya Chanjo ya Covid-19

    Umoja wa Africa umezindua pasi ya kielektroniki ya chanjo ya #COVID19 , itakayoonesha uthibitisho wa mhusika kupatiwa aina fulani ya Chanjo, ambayo inanuiwa kuwezesha usafiri rahisi ndani na nje ya Afrika. Inaelezwa kuwa pasi hiyo itakuwa katika muundo wa kidijitali, ambapo “QR Code” itaskaniwa...
  17. beth

    Rais Zelensky aomba mazungumzo na Umoja wa Afrika (AU)

    Rais wa Senegal ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Macky Sall amesema Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelenksy ameomba kuzungumza na Umoja huo. Wito huo unakuja kukiwa na mgawanyiko kuhusu uvamizi wa Urusi. Nchi nyingi za Afrika zimeonesha kutofungamana na upande wowote katika vita ya...
  18. Analogia Malenga

    Kiswahili chatambulika kama Lugha rasmi ya Kikazi ndani ya Umoja wa Afrika

    Muungano wa Afrika (African Union) umeipitisha lugha ya Kiswahili, kuwa lugha rasmi ya kikazi ndani ya Umoja huo. Lugha hiyo huzungumzwa katika nchi kadhaa za Mashariki mwa Afrika pamoja na jamii za Waswahili katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu na Oman. Huu ni uamuzi ambao umekuwa...
  19. L

    Viongozi wa AU wapongeza China kwa kuibadilisha vizuri Afrika

    Na Kelly Ogome Umoja wa Afrika AU umeipongeza China kwa mchango wake mkubwa katika kuleta maendeleo barani Afrika. Amani Abou-Zeid, kamishina wa miundombinu na nishati wa Umoja wa Afrika amesema, China ni mshirika mkubwa katika kufanikisha maendeleo barani Afrika kupitia ujenzi wa miradi ya...
  20. Miss Zomboko

    Kiswahili kutumika kama Lugha ya Kazi Umoja wa Afrika

    Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali umeridhia na kupitisha ombi la Tanzania la kutaka Kiswahili kuwa lugha ya kazi katika Umoja huo, Dkt. Mpango amewasilisha ombi hilo la lugha ya Kiswahili kuwa miongoni mwa lugha za kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika. Dkt. Mpango ameongeza kuwa...
Back
Top Bottom