Viongozi wa Nchi za G20 waridhia Umoja wa Afrika kuwa Mjumbe wa Kudumu wa Jukwaa hilo

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1694157859834.png

Mkutano wa Jukwaa Kuu la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa la Group of Twenty (G20) limetoa baraka za kuupa Umoja wa Afrika Ujumbe wa Kudumu katika Jukwaa hilo ambapo sasa AU itakuwa na hadhi sawa na Umoja wa Ulaya (EU).

Kwa uamuzi huo, AU itakua na sauti kwenye Kura za Maamuzi yatakayogusa Nchi 54 za Afrika, Nchi 19 za Mataifa yaliyoendelea Kiviwanda na Umoja wa Ulaya.

G20 ni Muunganiko wa Kiserikali unaojumuisha Nchi 19 pamoja na Umoja wa Ulaya. Majukumu yake ni kushughulikia masuala ya Uchumi wa Dunia ikiwemo Utulivu wa Kifedha, Kukabiliana na Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Maendeleo Endelevu.

================

G20 member states have agreed to grant permanent membership to the African Union (AU), the news agency Bloomberg reported on Thursday (September 7) citing sources privy to the developments. This move would give the AU the same status as the European Union (EU) from its current designation of "invited international organisation." In June, Indian Prime Minister Narendra Modi wrote to the G20 member states proposing the African Union be given full, permanent membership of the bloc at the upcoming summit in India's capital city New Delhi.

The G20 leaders are expected to announce the decision during the summit, the Bloomberg report said. This time, the G20 summit in New Delhi also invited nine non-member states, including Bangladesh, Singapore, Spain and Nigeria, besides international organisations such as the United Nations (UN), World Health Organization (WHO), the World Bank and the International Monetary Fund (IMF).

The Bloomberg report said that countries like Germany, Brazil, and Canada also expressed their support for AU's membership to the G20.

G20 final preparations done; summit begins on Saturday
On Wednesday, New Delhi made final preparations ahead of the G20 summit with the national capital's residents saying the weekend summit and the opportunity it brings on the global stage would be a proud moment for Indian citizens. New Delhi has undergone a makeover ahead of the summit set to be held at the sprawling, refurbished Pragati Maidan.

Prime Minister Modi has sought to wield leadership of the G20 grouping of the world's most powerful economies to promote India as a destination for trade and investment, particularly as China's economy has slowed down.

During the summit which begins on Saturday, the Indian government said that it would push for a resolution on climate change, multilateral bank reforms and technological transformation.

BLOOMBERG

===
Soma Huu ni wakati wa Umoja wa Afrika kujiunga na G20
 
View attachment 2742970

BRICS ni tiahio nawaambia
 
Hiyo ni rushwa mpya kwa Viongozi wa Afrika ili wakae tayari kupokea mitumba. Mitumba inayochangia uchafu wa Tabia nchi nchini mwao.
Nchi hizo zinatafuta njia ya kumwaga uchafu Afrika wakati wakisafisha Nchi zao.
 
Sera na Mipango ya BRICS haifanani na G20 kwahiyo sidhani kama wao wataliangalia hili kwa kununa kama unavyosema, na BRICS kwangu naona inaichachafya zaidi EU na G7 kuliko G20.
Kwa sababu iyo BRICS haipo kwy nchi za mabepari. Lakini siku zote mwenye nguvu uogopa baada ya kuona wanyonge wakiungana. Wanyonge wanatakiwa wawe mbali wasiungane maana wakiungana hawatahiaji msaada kutoka kwa wazungu wa ulaya na marekani
 
Umoja wa Afrika (AU) umekabidhiwa rasmi kiti cha uanachama wa kudumu ndani ya G20 leo Septemba 09, 2023 kufuatia mwaliko wa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi, hatua inayotajwa kama ushindi wa kidiplomasia kwa Modi anayejiandaa na uchaguzi wa kitaifa mwakani
 
Africa is neither an economic nor political union of countries. AU has consistently behaved as a social club of African leaders who don't share anything but their love for corruption and lust to remain in power at any price.

Kuingia G20 itakuwa slogan kama nyingine nyingi tunazozisikia bila matokeo ya maana. Viongozi wa Afrika wanaichukulia G20 kama social club.

VIJANA WA AFRIKA WANAPASWA KUANZISHA MAPINDUZI MAPYA NA KUIUNGANISHA AFRIKA KWA NGUVU. TUACHANE NA HAWA TULIONAO TUANZE UPYA NA AJENDA YA AFRIKA MOJA.
 
Umoja wa Afrika (AU) umekabidhiwa rasmi kiti cha uanachama wa kudumu ndani ya G20 leo Septemba 09, 2023 kufuatia mwaliko wa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi, hatua inayotajwa kama ushindi wa kidiplomasia kwa Modi anayejiandaa na uchaguzi wa kitaifa mwakani
Hv braza huwa inashindikanaga kuedit hedin eee???
 
#MULTPOLAR WORLD#
Baada ya mbinyo kutoka RUSSIA na BRICS hatimaye G20 inaenda kuwa G21 ikiingiza AU kama mwanachama mpya.
 
Umoja wa Afrika (AU) umekabidhiwa rasmi kiti cha uanachama wa kudumu ndani ya G20 leo Septemba 09, 2023 kufuatia mwaliko wa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi, hatua inayotajwa kama ushindi wa kidiplomasia kwa Modi anayejiandaa na uchaguzi wa kitaifa mwakani
Bora wamekumbukwa...
 
View attachment 2742970
Mkutano wa Jukwaa Kuu la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa la Group of Twenty (G20) limetoa baraka za kuupa Umoja wa Afrika Ujumbe wa Kudumu katika Jukwaa hilo ambapo sasa AU itakuwa na hadhi sawa na Umoja wa Ulaya (EU).

Kwa uamuzi huo, AU itakua na sauti kwenye Kura za Maamuzi yatakayogusa Nchi 54 za Afrika, Nchi 19 za Mataifa yaliyoendelea Kiviwanda na Umoja wa Ulaya.

G20 ni Muunganiko wa Kiserikali unaojumuisha Nchi 19 pamoja na Umoja wa Ulaya. Majukumu yake ni kushughulikia masuala ya Uchumi wa Dunia ikiwemo Utulivu wa Kifedha, Kukabiliana na Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Maendeleo Endelevu.

================

G20 member states have agreed to grant permanent membership to the African Union (AU), the news agency Bloomberg reported on Thursday (September 7) citing sources privy to the developments. This move would give the AU the same status as the European Union (EU) from its current designation of "invited international organisation." In June, Indian Prime Minister Narendra Modi wrote to the G20 member states proposing the African Union be given full, permanent membership of the bloc at the upcoming summit in India's capital city New Delhi.

The G20 leaders are expected to announce the decision during the summit, the Bloomberg report said. This time, the G20 summit in New Delhi also invited nine non-member states, including Bangladesh, Singapore, Spain and Nigeria, besides international organisations such as the United Nations (UN), World Health Organization (WHO), the World Bank and the International Monetary Fund (IMF).

The Bloomberg report said that countries like Germany, Brazil, and Canada also expressed their support for AU's membership to the G20.

G20 final preparations done; summit begins on Saturday
On Wednesday, New Delhi made final preparations ahead of the G20 summit with the national capital's residents saying the weekend summit and the opportunity it brings on the global stage would be a proud moment for Indian citizens. New Delhi has undergone a makeover ahead of the summit set to be held at the sprawling, refurbished Pragati Maidan.

Prime Minister Modi has sought to wield leadership of the G20 grouping of the world's most powerful economies to promote India as a destination for trade and investment, particularly as China's economy has slowed down.

During the summit which begins on Saturday, the Indian government said that it would push for a resolution on climate change, multilateral bank reforms and technological transformation.

BLOOMBERG
UN imeshishindwa kusimamia majukumu yake kama vile ilivyokuwa kwa League of Nations. Sasa unatafutwa mpango mpya, NWO ambao ndiyo kwa sasa unapigiwa debe.

"Order out of chaos" ndiyo njia pekee pekee ya kufanikisha mpango huu. Angalia na chunguza kwa makini sana matukio yatayojili na kuitikisa dunia kati ya 2023 - 2039. Ukiona hekalu la tatu la Wayahudi likijengwa mjini Yerusalem, basi tambua ya kwamba yote yamekwisha
 
Back
Top Bottom