#COVID19 Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika: Fedha zinazolenga kukabiliana na athari za COVID-19 zinawanufaisha Wananchi?

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Julai 11 ilipitishwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani humo. Kwa mwaka 2022, Maadhimisho yanafanyika Zanzibar leo Julai 12 yakiwa na Kaulimbiu "Mikakati na Mifumo ya Wazi ya Usimamizi ya Fedha za UVIKO-19"

Tangu kuanza kwa janga la COVID19 kumekuwa na taarifa nyingi za Rushwa, wizi na matumizi mabaya ya fedha wakati Serikali zikikabiliana na Mlipuko huo. kwa kiasi kikubwa, vitendo hivyo vimehusishwa na kukosekana kwa Uwazi na Uwajibikaji

Kumekuwepo upotoshaji mkubwa wa Taarifa na ukosefu wa Uwazi katika jinsi Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) zimetumia Rasilimali Fedha za COVID-19

Nchi Wanachama zimeshauriwa kuhamasisha Uwazi na Uwajibikaji katika Michakato ya Manunuzi na kuchapisha Taarifa ili kurejesha Imani kwa Wananchi

Fedha zilizotengwa kukabiliana na athari za CoronaVirus katika Mataifa mbalimbali ya Barani Afrika zinawanufaisha Wananchi na kuwapa ahueni?

Rushwa inaendelea kuwa kikwazo kikubwa kwa Mataifa ya Afrika kutimiza Ajenda 2063 na Malengo ya Maendeleo Endelevu

Bado jitihada kubwa zinahitajika kupambana na Rushwa katika utoaji wa Huduma za Msingi ambazo huathiri zaidi wananchi walio katika mazingira magumu, na hutegemea zaidi Huduma za Umma

Mlipuko wa COVID-19 uliathiri maisha ya Waafrika kwa kiasi kikubwa, lakini Rushwa inatishia kuondoa Fedha katika sekta muhimu ikiwemo Afya na Chakula

=======

About the African Anti-Corruption Day
In recognition of the vast progress that has been made and cognizant of the need to continually reflect on approaches to end corruption, the African Union designated 11 July as the African Anti-Corruption Day.

This year will mark the sixth edition of the African Anti-Corruption Day which will be commemorated under the theme “Strategies and Mechanisms for the Transparent Management of Covid-19 Funds”.

The day shall serve as a basis for all anti-corruption stakeholders to reflect and dialogue on the strategies and mechanisms taken on the transparency in management of Covid-19 funds.

Since the pandemic started, media has been awash with news of corruption, theft and mismanagement of funds as governments responded to Covid-19

These were related to lack of adherence to transparency and accountability measures in procurement processes, instances of waste, mismanagement in procurement of Covid-19 supplies and other reliefs such as safety nets and cash transfers. The neglect of transparency and accountability norms may have impacted on countries that were already facing governance challenges thereby contributing to the further weakening of the fight against corruption

This will also focus on the implementation of the African Union Convention on Preventing and Combating Corruption (AUCPCC) that was adopted in Maputo, Mozambique on 11 July 2003 and came into force in 2006. To date, the Convention has been ratified by 47 Member States of the African Union. Since adoption of the Convention, African states have made significant strides in the fight against corruption including the enactment of national laws and the creation of anti-corruption agencies.

The proceedings of the day will therefore set the stage for what should be a great discussion on why it is important for Member States to get back to the drawing board – and work towards restoring public trust with efficient and effective evaluation mechanisms of Covid-19 Funds. They will lead to a reflection of the role of youth, women, RECS, NACAs and the general public in the anti- corruption crusade especially in the wake of emergencies such as the pandemic.

There was and continues to be widespread corruption in Covid-19 related procurement and contracting.

Member States needs to do more to regain the trust of the Public;
• There has been widespread data manipulation and lack of transparency in how Member States have dealt with resources for Covid-19 funds. Opening up and publishing data going forward would work towards governments regaining public trust
• Many African young peoples’ livelihood and education were affected by the Covid-19 Pandemic. Tailored approaches are needed to inform the youth of the dangers of corruption but also most importantly, their role in fighting corruption
• Member states need to promote accountability and transparency measures in procurement
• RECs play an important role in working to reverse the impact of the Covid-19 Pandemic on health and development of Member States
• Endemic corruption happening before Covid-19 set in endangered a lot of African livelihoods and continues to do so
• There is need to work with the Civil Society and to support their work in monitoring Member States spending and delivery of health services to citizens and
• Technology is a very important tool that should be harnessed to improve transparency and help reduce opportunities for corruption. E- procurement systems, digitized budgets go a long way in building the citizens trust

Source: African Union
 
Julai 11 ilipitishwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani humo. Kwa mwaka 2022, Maadhimisho yanafanyika Zanzibar leo Julai 12 yakiwa na Kaulimbiu "Mikakati na Mifumo ya Wazi ya Usimamizi ya Fedha za UVIKO-19"...
Kwa upande wa Tanzania,hizi pesa zimesimamiwa vizuri na zimewanufaisha Wananchi kwenye maji,elimu,afya upande wa majengo,vifaa tiba nk..

Sijui kwa Nchi zingine kama Kenya nimesikia wanasiasa wamezipiga..

Serikali isiishie kusimamia pesa za uviko tuu bali kila shilingi ya Kodi ifanye kazi inayoonekana.
 
Kwa upande wa Tanzania,hizi pesa zimesimamiwa vizuri na zimewanufaisha Wananchi kwenye maji,elimu,afya upande wa majengo,vifaa tiba nk..

Sijui kwa Nchi zingine kama Kenya nimesikia wanasiasa wamezipiga..

Serikali isiishie kusimamia pesa za uviko tuu bali kila shilingi ya Kodi ifanye kazi inayoonekana.
Leta ushahidi hapa...acha porojo
 
Leta ushahidi hapa...acha porojo
Unaishi Nchi gani wewe? Baadhi ya miradi sekta ya Afya 👇

Screenshot_20220705-210953.png
Screenshot_20220703-181556.png
Screenshot_20220703-173946.png
Screenshot_20220703-162234.png
Screenshot_20220703-162242.png
Screenshot_20220711-140329.png
Screenshot_20220711-115842.png
Screenshot_20220710-193713.png
Screenshot_20220710-193003.png
Screenshot_20220710-192651.png
 
Back
Top Bottom