Inawezekana unatamani sana kutumia simu yako ku scan kwenye mashine mbalimbali za ku scan Kadi ili kupunguza kutembea tembea na Kadi kwenye wallet yako sio 👋.
Kadi yako inaweza kuwa na mfumo wa NFC na Simu yako Ina support lakini bado huwezi kuhamisha kadi ya Mwendokasi kwenda Google Wallet...
Connecting East Africa: The Infrastructure That Binds the Region
• Standard Gauge Railway (SGR) — Tanzania’s SGR is being developed toward the western corridor, connecting Dar es Salaam with the interior and ultimately linking into the wider East African rail network toward Burundi, Rwanda and...
Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani 😁 nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio 👋.
Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa 😀.
Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...
Nchi za East africa zingekuwa na akili mpaka ile Sudani ya Kaskazini nayo kuwa na mafuta .Umoja huu ungekuwa nchi zenye nguvu na matajiri wa kutisha kwa kila rasilimali.
Leo Libya iliyochukua miaka 15 vita inaanza kuwa Dubai mpya ya watu wenye kujiwekea maisha mazuri na nguvu kubwa 2026.
MILENIA ya tatu ilikuwa inausabahi ulimwengu. Ni mwanzo wa Karne ya 21, hii ni kwa mujibu wa Gregorian Calendar. Mwaka ni 2000, Joseph Kibweteere alishazingua kinoma Uganda, alisababisha vifo vya watu 778. Kipindi hichohicho, Joseph mwingine alikuwa Kenya akitengeneza heshima ya Uganda.
Ndani...
Hatimaye imewezekana bhana! program ya DuckDuck Go Sasa inaweza kuzuia Matangazo Ya YouTube bila kutumia Extension yoyote kama ilivyo Ublock origin.
Ukifungua YouTube kupitia DuckDuckGo Browser, unaweza kutazama video nyingi bila matangazo ya kuudhi yanayokatiza kila dakika.
Bila kuhitaji...
Wakuu Niko serious naomba nielekezwe Kwa wale ambayo wamefanikiwa kutembea nchi mbalimbali, nilifanikiwa kufika Nairobi miaka Fulani nyuma, lakini lifestyle Yao sikuipenda ni nchi ambayo vurugu na Fujo ziko juu sana, kiasi kwamba mbeleni wanaweza kuwa kama AFRICA KUSINI TU,
Nimefikiria hovyo...
Bien kutoka Kenya ameendelea kuthibitisha ubora wake katika muziki wa Afrika Mashariki kwa kutawala kwa takriban miaka sita mfululizo. Tatizo ni kwamba baadhi ya mashabiki wa Nasibu Abdul (Diamond Platnumz) na kundi lenu bado ni wabishi kukubali ukweli huo licha ya mafanikio yanayoonekana wazi.
Tanzanians are united in defending their country’s dignity, sovereignty, and peace. External campaigns built on misinformation will never define Tanzania’s identity or future
Hapa Afrika Mashariki watu wengi uangalia skendo na vitu visivyokuwa na umuhimu hili kumuweka mtu pale kileleni.
Diamond Platinumz ni msanii mkubwa tu Afrika Mashariki, lakini soko la dunia la muziki limekuwa likimsumbua sana na ujikuta akitumia nguvu sana kufanya collaboration na A-list wa...
One thing many people in East Africa can agree on is this:
Planning weddings and events is exciting… until the stress begins.
From managing guest lists on WhatsApp, chasing RSVPs manually, tracking budgets in notebooks or Excel sheets, coordinating vendors through calls, and sending updates...
Kenya is weighing the use of public funds, including pension savings, to help finance a proposed East Africa oil refinery backed by Nigerian billionaire Aliko Dangote, as the project shifts from Tanzania's Tanga port to Mombasa as the preferred site.
Dangote told the Financial Times he favours...
Rais Samia amesema Tuhakikishe East Africa inasimama tunavyotaka sisi na sio wanaotaka wale tunamengi yakufanya East Africa Community ni Community kubwa ya kiuchumi inajilewa, inayoweza kusimama yenyewe Tuna mengi ya kufanya.
Soma Pia: Samia: Neno “Demokrasi” lisituchafulie nchi zetu, mila na...
Bilionea Aliko Dangote ametangaza mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Afrika Mashariki.Tanga, Tanzania
Akizungumza katika mkutano wa Africa We Build Summit 2026 uliofanyika Nairobi siku ya Alhamisi, Dangote alisema kuwa kiwanda kinachopendekezwa kitakuwa na uwezo wa...
Mambo imechemka East Africa baada ya William Ruto kulinganisha Kenya na majirani wake kuhusu barabara na bei ya mafuta. Akiongea church service April 19, Ruto alisema Kenya iko na about 20,000km za tarmac roads akidai ni zaidi ya nchi zingine zote za East Africa combined.
Lakini serikali ya...
A special invitation to all Diaspora members.
H.E. Robert Kyagulanyi Ssentamu (@HEBobiwine) will be Live in Boston
Zoom: zoom.us/j/4643499663
Space : x.com/i/spaces/1rkzz… @DiasporNup
TikTok: vm.tiktok.com/ZSH5QEED4/
Date: 18th April 2026.
To meet the general public and engage with you...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.