mkasa

Adolphus Ludigo-Mkasa, also known as Adolofu Mukasa Ludigo (c. 1861 – June 3, 1886), was a Ugandan Catholic martyr killed for his faith. He was born in the kingdom of Toro in the western part of the country, and became a companion of Charles Lwanga at the court of King Mwanga II.He was one of many Christians put to death by the king between 1885 and 1887; his day of martyrdom, June 3, is remembered as the feast day of the Uganda Martyrs.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu.

    . Naomba niwasimulie tuu, Leo nimepatwa na jaribu gumu sana kwa mara yangu ya kwanza katika maisha yangu. Nimekuwa nikisoma thread nyingi tu humu JF kuhusu vijana kuacha masuala mazima ya tamaa, pamoja na mikasa ya watu iliyowapata kama story ya yule jamaa aliyekuwa wakimwita Apostle...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Joseph Kasella Bantu na Picha ya Waasisi wa TANU

    Miongo minne iliyopita... Hiyo makala "Now You See Him Now You Don't," yenye jina True Muslim huyo ni Mohamed Said. Baada ya makala hii sikuficha tena jina langu. Hii makala Ally Sykes aliisoma na ilimgusa sana moyo wake. Nilikuwa nimemueleza mwanae mmoja kuwa nimeandika makala hiyo na yeye...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania "Now You See Him Now You Don't": Mkasa wa Picha ya Waasisi wa TANU 1954

    NOW YOU SEE HIM NOW YOU DON'T: MKASA WA PICHA YA WAASISI WA TANU 1954 Miongo minne iliyopita... Hiyo makala "Now You See Him Now You Don't," yenye jina True Muslim huyo ni Mohamed Said. Baada ya makala hii sikuficha tena jina langu. Hii makala Ally Sykes aliisoma na ilimgusa sana moyo wake...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Huu mkasa nilishuhudia; mahusiano na hekaheka zake

    Wasalaam; Miaka hiyo nikiwa mwaka wa pili chuoni. Dada ambaye tulikuwa naye kwenye group moja akanitumia meseji ni sms haya mambo ya whatsapp hayakuwepo). Meseji fupi tu ''njoo hapa room kwangu, uje na Eddy''. Kwa kuwa alikuwa kama dada kwangu na vile tulikuwa kwenye group moja la assigmnet...
  5. bless on

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Jirani: Mwanaume Asiyeonekana

    Hii Dunia Kuna watu wanapitia matatizo makubwa sana hasa wanawake. Kuna jirani yangu mmoja aliwahi kunihadithia mkasa mmoja hivi.. Yeye alikutana na mwanaume wa kiarabu akatongozwa akamkubali, Sasa Yule mwanaume akamwambia atakuwa anakwenda kumtembelea kwake Ila asimwambie mtu yeyote yule...
  6. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

    Wasalaam Hii ni story ya kweli ambayo imetokea kwenye maisha yangu napenda nishare nanyi kisa hiki kifupi ili tujifunze na tuburudike. Mnamo mwaka 2019 nilimaliza elimu ya digrii katika chuo maarufu hapa daslam. Kutokana na hurka yangu ya kupenda kujumuika na watoto kwenye mambo mbalimbali...
  7. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Daniel Amokachi alivyojifanyia sub kwenye mchezo wa Kombe la F.A na kwenda kuweka goli mbili

    Waafrika huwa tuna mikasa na matukio ya aina yake sana. Leo, nimemkumbuka straika wa boli Daniel Amokachi wenyewe wanaigeria wakimuita “The Bull” straika wa zamani wa vilabu vya Club Brugge, Everton na Bakistas pamoja na timu ya taifa ya Nigeria. Amokachi ana mkasa wake maarufu uliotokea...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli wa yaliyonikuta. Sumbawanga siwezi sahau maisha yangu yongu yote

    Wadau huu ni mkasa wa kweli kabisa miaka kumi na nne imeisha lakini Bado majeraha hayakauka. KISA kinaendelea;Miaka hiyo nilipewa uhamisho kikazi Mkoani rukwa nikiwa Sina mke. wala Mwana. Nilipoambiwa naenda kwanza niliogopa kwenda lakini wenzangu walinambia...
  9. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mwanamitindo Chelsea Robinson aliamua kufanyiwa upasuaji wa kuongeza makalioLakini mambo hayakwenda kama alivyotarajia

    Mwanamitindo na influencer mmoja maarufu Chelsea Robinson aliamua kufanyiwa upasuaji wa kuongeza makalio (bum implants). Lengo lake lilikuwa kupata umbo la kuvutia zaidi ambalo lingeendana na maisha yake ya mitandaoni, na kuvutia followers wengi. Lakini mambo hayakwenda kama alivyotarajia…...
  10. co fm

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa jamaa yangu kuhusu mtoto

    Habarini wadau, ningependa kushare na nyinyi humu jf kuhusiana na mkasa wa rafiki yangu ambaye sasa hivi yupo kama haelewi.Alikuwa na mahusiano na binti mmoja hivi kwa miaka kama miwili iliyopita, baadae mahusiano yakawa yameisha. Amekaa baada ya miezi 8 ya mahusiano yao kuisha, yule mwanamke...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Thomas Ogle Kilikuwa tishio kwa watawala wa makampuni

    Kifo cha Thomas Ogle, mvumbuzi wa mfumo wa kipekee wa kutumia mvuke wa mafuta badala ya njia ya kawaida ya kuchoma mafuta kwenye injini (vapor fuel system), kimezungukwa na utata mkubwa na nadharia nyingi za njama. Mnamo miaka ya 1970, Thomas Ogle alitengeneza mfumo ambao uliwezesha gari...
  12. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Mke wa jamaa angu na kijeba kingine wanatoka guest.

    Nipo hapa nje ya guest nimesimama kwakujifucha, mke wa jamaa angu aliingia ndani humu mda mrefu Sana . Saiv ndo anatoka Ila sijui nifanyaje. Ipo hivi ... Toka zamani Sana Me nilikua nimesha amua kuokoka, Yan in short niliamua kua sintokua mtu wa toto's siku zote tukiwa tunakua... Ila jamaa...
  13. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli kabisa maisha ya ujana wa mapenzi

    Mkasa ni wa kweli kabisa Mnamo mwaka 2024 mwezi 7 niliapata kujuana na bint tumuite rose alikua muuza duka la nguo mimi nikiwa msimamizi wa eneo hilo lote. Huyu bint rose ni bint wa kinyakyusa huko kwao TUKUYU, mfupi mweusi ana kwa mwanya fulani amaizing ni mcheshi sana Basi siku moja...
  14. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi

    Nyieee.... mnapoambiwa kataa ndoa (hasa kwa kijana unaejitafuta) muwe munaelewa. Kuna mwamba kaja kwa bimkubwa wake (jirani yangu) hapa sasa hivi kumsimulia kwamba kamshika ugoni mkewe na muhuni flani hivi hana hili wala lile, kawakuta laivuuu bila chenga. Kasimulia kwa uchungu sana hadi...
  15. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Huu ni mkasa wa kweli

    1.RAFIKI YANGU,ULIMI WA SUMU Ni Mkonze wilayani Nzega ni miaka zaidi ya 30 iliyopita. Mimi nilikuwa na rafiki yangu ambae tulianza kidato cha kwanza pamoja,yupo hai hadi sasa na tunaendeleza urafiki. Wazazi wangu walijenga nyumba mtaa mmoja,ambao hapa nauita mtaa wa katani,ambapo vyumba vya...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

    Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano! Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli. Basi baada ya maofisa wa juu kutonywa kuwa Rais angeweza kufika pale...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mkasa wakutisha katika Taifa la Zambia na kwanini kama Taifa yatupasa kujifunza kwao kuepuka laana

    Leo nimependa kuwasimulia mkasa wakutisha ulio likumba Taifa la Zambia na kwanini kama Taifa na idara za usalama yatupasa kujifunza kwa Zambia nakuliepusha Taifa ktk mkwamo. Ktk Taifa la Zambia ambalo lilikuwa na urafiki na Tz palikuwa na Rais wao wa kwanza alie itwa Kenneth Kaunda. Kiongozi...
  18. Roca fella

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kufumaniwa au kufumania tupe mkasa wako

    As salaam alaikhum ndugu Wana familia wa JamiForums Katika maisha Kuna visa vingi hutokea na kila mwanadamu huwa ana kisa au stori ambayo katika maisha yake au mazingira anayo ishi humtokea Siku hizi tumeona ukatili kisa fumanizi la mke wa mtu au mume wagoni wamekuwa wakifanyiwa ukatili...
  19. je parle

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa wewe ungefanya nini kwenye huu mkasa?

    Moja kwa moja kwenye kiini. Jana nimepokea simu kutoka kwa jiran yangu mahali nilipokuwa naishi.Jamaa ni mtu mzima anakaribia 47 ni vile tu anajitunza na hela ya kula haimsumbui kwa hiyo anaonekana kijana ila ni old school na pia alichelewa kuoa kutokana maisha yalimchelewesha. Ana mtoto wa...
  20. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Kuna mkasa ulitokea nikaamini Tanzania hii bado Kuna watu waaminifu

    Huu mkasa ulitokea kama miaka miwili imepita, dogo wangu alivyomaliza chuo akapata kazi shirika Moja binafsi, akafanya huko kama miaka minne akaanza mazoea ya kunipiga vizinga Tabia ambayo alikua Hana, nikapigwa vizinga weeee mpaka nikachoka, mawazo yakanijia huyu dogo kaajiriwa na Kuna kipindi...
Back
Top Bottom