maxence melo

Maxence M. Melo
Maxence Melo is a Tanzanian Building Economist turned Digital Innovator and “Information Architect”.

He leads JamiiAfrica, a dynamic regional non-profit entity on a mission to create a well-informed citizenry, promote responsive governance, and encourage active citizen participation.

He has played an enormous role in revolutionising digital democracy while promoting Transparency & Accountability.

Maxence was recognised by the African Union as one of the top 3 Leading African Innovators for Change in 2018 for strengthening the viability of Whistleblowing Policy tools in Africa.

Maxence is a recipient of various awards, including the 2019 International Press Freedom Award by the Committee to Protect Journalists (CPJ)

Between December 2016 and November 2020, he appeared before the court 159 times on three charges related to protecting his clients' personal data in Tanzania.

In 2023, he was appointed as a Board Member of Tanzania’s Personal Data Protection Commission, representing CSOs, the Media, and the Private Sector.

Other local Awards

He is a recipient of various Human Rights Defenders awards, including the Online Freedom of Speech Champion in Tanzania 2018 by Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) and the Daudi Mwangosi Award (2019) by the Union of Tanzania Press Clubs - an award for Promotion of Media Freedom in Tanzania.
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Serikali ijibu Hoja kwa Wakati, na pale panapokuwa na upotoshaji itoe ukweli, isikimbilie kusema Mtu Kapotosha

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo, akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM, amesema Serikali inapaswa kujibu hoja kwa wakati, na pale panapokuwa na upotoshaji, itoe ukweli kwa wakati badala ya kukimbilia kusema mtu kapotosha, kwani hali hiyo haisaidii na badala yake...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Hali ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana "Waandishi wetu wamefika wakati ambapo uchawa umepitiliza yani kuna Mwandishi mkongwe unatarajia awe wa mfano kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa JamiiForums Maxence Melo Akutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera

    "Nilipata mwaliko wa kukutana na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, ambaye pia ni Rais wa zamani wa Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na kufanya mazungumzo naye jijini Dar Nimetekeleza wajibu wangu kuongelea eneo la digitali, uhuru wa maoni na hali wanayokumbana nayo...
  4. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Kumbe JF inapatikana na hatuambiani jamani!!

    Hakika sikuwa na raha kwa kipindi chote hicho JF ilipokuwa banned!! Jana kwa bahati mbaya? Nikabonyeza app ya JF, haaa!! Nikashangaa threads za kutosha!! Katika ku peruzi peruzi nikagundua thread ya tangu Octoba mosi... Kumbe kipindi chote hicho nipo gizani wakati JF iko hewani! Kongole sana...
  5. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Maxence Melo kwa umakini utaelewa kwanini wasanii wetu wako jinsi walivo

    Wiki iliyopita ya mwezi huu wa September, ndugu Max Melo alitoa public lecture kwa watu wa TLS. Alielezea kwa ufasaha sana madhira aliyoyapata kwa kusimamia uhuru wa private information na JF kwa ujumla. Pamoja na kupewa kesi kama ugaidi 😆 na nyingine, his banking accounts were frozen...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuijadili sana interview ya Maxence Melo kuhusu sababu ya kufungia JF, The Chanzo walazimishwa kufuta Hiyo interview Mara moja

    Nchi hii ni ya maajabu sana , Nimekuwapo wakati wa Tawala zote ila sasa hii imekuwa ya maajabu mno! Katika interview ile aligusia: 1. Kuhusu mtu mzito kumpigia simu kuhusu kwamba atapotezwa na watanzania watapiga kelele miezi kadhaa na kusahau 2. Akagusia kwanini JF imefungiwa Sasa baada ya...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kusema - watawala kinachowapa nguvu ni kitu kimoja tu, Aina ya watu wanaowaongoza

    Niliwahi kusema watawala kinacho wapa nguvu ni kitu kimoja tu, AINA YA WATU WANAO WAONGOZA. Watawala sio wajinga, sio wendawazimu, wanajua wanaongoza aina ipi ya raia,na wanajua pia Keybord movement hazina impact yoyote kwao. Ukiona wanafungia makanisa, wanafunga kiongozi mkuu wa Chama kikuu...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Mamlaka za Serikali na zenyewe zifuate sheria

    Mamlaka za Serikali na zenyewe zifuate sheria,' anasema Maxence Melo Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Africa
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais, kama umetoka kwenye kampeni, fuatilia haya mahojiano ya Maxence Melo na The Chanzo

    Wapo wajinga wanaodhania yakuwa kila mtu wanaemuona anatokea MLANGO wa IKULU ni usalama wa taifa na ndio maana wanaogopa kumbe wengine ni "majwakwama" Niyaache haya, Mh Rais Mimi ni raia wako, mwema ninae ipenda nchi yangu kwa moyo wangu wa dhati, nimefatilia mahojiano yaliyofanyika MASAA...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Huu ni uonevu ambao haupaswi kuvumiliwa

    Maxence Melo: Huu ni uonevu ambao haupaswi kuvumiliwa. Tunajenga hofu kwa vijana wa Kitanzania kuwa na udhubutu kufanya vitu kama hivi, tunatamani watu wenye uwezo wa kufanya vitu kama hivi kikakua nje ya mipanga ya Tanzania na kikaweza kufanya zaidi na zaidi. Kimsingi kinauwa local content...
  11. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu...
  12. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

  13. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Uvamizi uliofanywa ofisi za JamiiForums haujaathiri Shughuli, Miundombinu na wafanyakazi

    Napenda kuwajulisha kuwa hali iliyotokea katika ofisi zetu mchana wa leo imesharipotiwa, na mamlaka husika zinachukua hatua stahiki. Nitaendelea kuwataarifu kwa hatua zitakazofuata. Hali hii haijaathiri shughuli zetu, miundombinu, wafanyakazi wala mali za taasisi. Nawashukuru wadau wote...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kuivamia JF kwa kusudi la kumkamta Maxence Melo halikubaliki na tunawaonya watu wanaoshiriki vitendo kama hivyo

    Nimepata taarifa za uhakika kutoka kwenye account rasmi ya Maxence Melo kuwa JamiiForums imevamiwa siku ya leo. Tunaungana na JamiiForums tunasimama imara kupiga kelele kulaani vikali sisi wanachama katika tukio la aibu la uvamizi uliofanyika kinyume cha sheria kwenye ofisi za JamiiForums...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Kuna ‘uvamizi’ usio rafiki uliofanyika muda sio mrefu katika ofisi za JamiiForums, Mikocheni jijini Dar wakinitafuta mimi .. Nalaani vitendo kama hivi, ila umma utaujua ukweli hivi karibuni UPDATE: Maxence Melo: Uvamizi uliofanywa kwenye ofisi za JamiiForums haujaathiri Shughuli, Miundombinu...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Founder Maxence Melo huu nawe ni wakati wako sasa Kugombea Ubunge kwenu Kagera au njoo kwetu Mara tukupe Jimbo utuwakilishe Bungeni

    Na majimbo ambayo ukija Mkoani Mara tutakupa Ugombee ni ya Tarime Mjini, Serengeti na Mwibara kwa Watu waliopinda. Cc: Maxence Melo
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Adam Mchomvu afunguka alivyopikwa humu Jukwaani akimtambulisha Mkurugenzi wa JamiiForums Jahazini

    Wakuu 🤣 Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu asimulia alivyopikwa humu Jukwaani (JamiiForums) wakati akimtambulisha Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo kwenye kipindi chao cha Jahazi
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtani wangu Mkubwa na Kaka yangu Maxence Melo ana Undugu wowote na Mwanasiasa Boby Wine wa Uganda kwani wamefanana sana

    Na ukizingatia Watani zangu Wahaya kwa 99% ni Waganda na Boby Wine nae ni Mganda nahisi labda ni Ndugu kwa jinsi walivyofanana. Ni kama hata Mimi pia Watu wengi wanavyosema kuwa nafanana mno na yule 'Mjanja Mjanja' wa 'Kiimani' Tanganyika Packers Kawe. ANGALIZO Hili ni Jukwaa la CHATS and...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mfano mimi nianze kutaka Ukurugenzi JamiiForums Maxence Melo atakubali?

    Mara nyingi Max huwa anadai JamiiForums sio mali yake ni mali yetu. Sasa nikianza kufanya harakati za kutaka ukurugenzi mnadhani Max atakubali? Sasa jiongezeni na kule kwa yule kamanda. HALAFU MODS HUU UZI SIO WA KUFUTA, BORA UENDE HATA CHIT-CHATS.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tutaendelea kutengeneza mazingira ya kuwezesha ustawi wa vyombo vya habari

    Serikali itaendelea kutengeneza Mazingira Akishiriki Mkutano wa 14 wa Chama cha Mawasiliano cha Afrika Mashariki (EACA), Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba amesema Serikali itaendelea kutengeneza Mazingira yanayowezesha vyombo vya habari kustawi Amesema hiyo inajumuisha kushughulikia...
Back
Top Bottom