vpn

  1. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa JF unapatikana bila VPN?

    Nashindwa kuingia mpaka niwashe VPN au ni wenge langu tu?
  2. n00b

    JamiiForums Tanzania Wanajaribu kushindana na Teknolojia, wataweza? Hotuba ya Pavel Durov na Somo kwa Tanzania yetu ya VPN!

    Wakuu kwema? Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao hapa nchini, basi huna budi kutenga dakika 5 kusikiliza au kusoma uchambuzi wa hotuba ya hivi karibuni ya Pavel Durov (Mwanzilishi na CEO wa Telegram) kwenye mkutano wa Oslo Freedom Forum https://youtu.be/1Yq_5aDdJ24 Durov ametoa hotuba ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania JF ina raha yake! Unapata habari yoyote unayoihitaki duniani hasa baada ya kifunguliwa/ kuifungua, maana vpn kilikuwa ni kipengere

    ASANTE Maxence Melo and Team! Raha tupu!
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni muda nazama JF bila VPN. Kelele za US zimefanywa iachiwe nini?

    Zaidi ya wiki nateleza tu. Tumeachiwa?
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rasmi Unatiririka JF bila VPN

    Tangu JF ifungiwe kupatikana bila VPN ilipoteza members wengi huku watu wakiogopa kuingia via VPN. Sasa ni kutiririka bila vpn
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mnaounga mkono CCM huwa mnatumia VPN?

    Mnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN? Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na kupata taarifa?
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kuhusu VPN

    Ni VPN gani ambayo ni inaweza kutumia kwenye Desktop computer? Ambayo ni Free!
  8. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UCC Blocks 500 Porn Sites, Admits VPN Challenge

    The Uganda Communications Commission says it has blocked at least 500 pornographic websites, including foreign platforms, but acknowledges that users can still bypass restrictions using VPNs. The Uganda Communications Commission (UCC) has directed telecommunications operators to block at least...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamlaka Urusi kuongeza hatua kali zaidi kuzuia matumizi ya VPN

    Urusi inapanga kuongeza hatua kali zaidi dhidi ya matumizi ya Virtual Private Networks (VPNs), ambazo hutumiwa na mamilioni ya Warusi kukwepa udhibiti na vikwazo vya mtandao, amesema waziri wa masuala ya kidijitali wa nchi hiyo. Hatua hii inayoelezwa na baadhi ya wanadiplomasia kama “msako...
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums.com Inapatikana Bila VPN kwakutumia Operamini

    Wakuu kama heading inavyojileza nimejaribu kuingia JF.com, kupitia app ya Operamini naona inakubali vyema kabisa. Hivyo basi Kwa wale wenzangu wasiotumia VPN na wenye limited bundles tutumie Operamini
  11. Foffana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusaidiane VPN ya Halotel wakuu

    Wakuu habari zenu Mwenye nayo Naomba tusaidiane VPN ya halotel kwa ajili ya free Internet
  12. R

    JamiiForums Tanzania Akili matope ni hii, unaifungia JF halafu wewe mwenyewe unaingia kwa VPN

    Kama siyo akili matope ni nini? Afadhali matope hii ni akili mavi ya mkorogo na mkojo
  13. Club Mate

    JamiiForums Tanzania Tuisaidie JF yetu, tusambaze elimu ya matumizi ya VPN

    Wakuu, Inaonekana platform yetu pendwa bado imezuiliwa ingawa kifungo hicho kiliondolewa rasmi zaidi ya mwezi mmoja sasa. Bila VPN hutoboi... Tuunganishe nguvu zetu ili kuwafahamisha watu wengi zaidi jinsi ya kuingia JF, kama jinsi akina Erythrocyte walivyopotea mwanzoni, yaani tuhakikishe...
  14. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tiktok umefunguliwa, sasa unaweza kuperuzi Bila VPN

    Baada ya kifungo cha zaidi ya mwezi moja, Mtandoo wa Tiktok umefunguliwa rasmi na mtumiaji anweza kutumia bila kutumia njia mbadala kama matumizi ya VPN. https://www.jamiiforums.com/threads/tiktok-yafungiwa-tanzania-bila-vpn-uwezi-kutumia.2398433/
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum ukweli usemwe kufuta matukio sio kwamba serikali inawepanda mbona mumerudishwa kwenye VPN.

    Jana kuanzia saa 2 mbili usiku tarehee 8 December kuna mambo ya ajabu yalikuwepo ila tunajua ukiona sehemu moja jua na kote si mnasema watanzania ni wa moja. Vituo vya polisi kuanzia vidogo na vikubwa kila napo pita vilikuwa vimezimwa taa na wamjiweka gizani usiwaone na maarufu ya bangi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Figusi tayari: TikTok haipatikani Tanzania hata uweke VPN

    Naona figusi Tayari. TikTok Haipatikani Tanzania bado Instagram, X, Thread na Facebook. Tanzania yangu nakupenda
  18. Think2

    JamiiForums Tanzania Naombeni VPN za uhakika

    Kuelekea kesho huenda huduma za internet nchi zikazimwa hivyo wadau naombeni VPN ya uhakika mapema kabisa.
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hello JF! Siku 90 za kifungo kutoka TCRA zimeisha rasmi, Karibuni wote tuendelee kuenjoy zaidi na zaidi

    Rasmi leo Disemba 6 adhabu ya kufungiwa kwa jukwaa letu pendwa la JamiiForums imemalizika JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni Soma Pia: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia...
  20. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Bila VPN JF inashindwa kufunguka. Je, imefungiwa tena?

    Wakuu, Mchana nilikuwa naingia bila kutumia VPN lakini muda huu nashindwa kuingia. Shetani gani tena huyu? Binti wa zamani
Back
Top Bottom