uhuru wa habari

Uhuru Stadium (formerly known as the Tanzania National Stadium) is adjacent to the National Stadium in Dar es Salaam, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania JAB Yasema Uhuru wa Habari Uende na Uwajibikaji

    Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM — Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema uhuru wa uhariri ni nguzo muhimu katika taaluma ya habari na unapaswa kulindwa ili vyombo vya habari viweze kutekeleza majukumu yake kwa weledi...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashuka nafasi 22 kwenye Viwango vya Uhuru wa Habari Duniani. Hali ni mbaya!

    Ripoti mpya ya mwaka 2026 kutoka shirika la kimataifa la Reporters Without Borders (RSF) imetoa takwimu za zinazoonyesha kudorora kwa kiwango cha uhuru wa habari nchini Tanzania, huku nchi hiyo ikiporomoka kutoka nafasi ya 95 hadi nafasi ya 117 duniani. Mporomoko huo wa nafasi 22 ni moja ya...
  3. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania LHRC: Bila uhuru wa habari, sauti ya Wananchi hupotea

    Tanzania imeshuka katika viwango vya uhuru wa habari kwa mwaka 2025, hali ambayo imeelezwa kuwa inatokana na matukio mbalimbali yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu. Akizungumza jijini Arusha katika kongamano la waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makonda: Ni ngumu sana kupata Uhuru wa Habari kama Wanahabari ni masikini

    Wakati akizungumza katika maandimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari dunia Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema Ni ngumu sana kupata Uhuru wa Habari kama Wanahabari wenyewe ni masikini Freedom tunayopigania ni lazima iendane sambamba na mapambano ya kujenga uchumi...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Media, Tukiendelea Kunyamazia Unyanyasaji wa Uhuru wa Habari Unaofanywa na JAB na TCRA, Mwisho wa Siku, Ama Tutanyamazishwa Jumla Ama Tuwe Machawa?.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu gazeti la mwananchi la leo https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/kwa-nini-tunahitaji-kuulinda-uhuru-wa-vyombo-vya-habari-5417540 Hili ni Swali: Media tukiendelea kuunyamazia unyanyasaji huu wa uhuru wa habari na uhuru wa maoni kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba...
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi

    Sasa ni rasmi uhuru wa habari na uandishi wa habari zenye tija umefika tamati. Tajiri na kada maarufu wa CCM, ambaye ni mfuasi wa siasa za mrengo wa kushoto, amelinunua gazeti la Mwananchi. Hapa nchini tulikuwa tumebakiwa na gazeti moja tu linaloandika habari zenye tija. Sasa gazeti hilo...
  7. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheria Kandamizi zilivyominya Uhuru wa Habari na Wanahabari wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 nchini Tanzania uliingia kwenye vitabu vya historia si kwa wingi wa Wapiga Kura bali kwa mazingira magumu yaliyozunguka uhuru habari na uhuru wa maoni. Ibara za 18 na 19 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinatoa uhuru wa wa maoni na habari, lakini...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanasheria: Nataka kuishtaki TCRA kwa kuendelea kuifungia Jamii Forums

    Ndugu wanasheria wote mlioko humu naomba mnipe muongozo juu ya jambo hili kwani kila kitu kipo wazi toka September jukwaa hili lilifungwa na December hii ilitakiwa lifunguliwe lakini bado. Sasa kama JamiiForums ilitimiza hukumu na sisi Wanajamiiforums, TCRA haijatimiza wajibu wake hvyo kuna...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wamiliki wa "Online TV" zilizorusha maudhui ya Polepole wakamatwa na Polisi

    Wakuu, Watu wanne waliokuwa wanamiliki akaunti za mtandao wa Youtube za Wispoti TV, T.Media Two na Costa Tv wamekamatwa kwa madai ya kuendesha akaunti hizo bila ya kuwa na leseni. Akaunti hizo ni kati ya zile zilikokuwa zikirusha press za Polepole kila alipokuwa akizitoa. Kumbuka Polepole...
  11. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uhuru wa Habari upo shakani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Malalamiko kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania yameongezeka tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 28, 2025. Vyombo vya habari vimekuwa vikikabiliwa na vikwazo vingi, ikiwamo kupewa maonyo, kuamriwa kushusha maudhui yasiyoifurahisha Serikali, na hata kufungiwa. Mfano...
  12. La Roche

    JamiiForums Tanzania Mamlaka acheni kufungia uhuru wa habari

    Suppression of free opinion (media, control, including restriction of social media)... Ni uonevu wa hali ya juu kwa wananchi ambao ni haki yetu kupata habari lakini mamlaka kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi kufungia na kutoheshimu wananchi wake. Mnapofungia vyombo vya habari na majukwaa...
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume ya Afrika yalaani vikali unyanyasaji wa wapinzani na Wanaharakati Tanzania, yataka haki za binadamu uhuru wa Habari na Mitandao kipindi Uchaguzi

    Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), imeeleza wasiwasi wake kwa Tanzania kuhusu kukiuka haki za binadamu, hususani uzimaji wa intaneti wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2025. Azimio kuhusu Hali ya Haki za Binadamu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Neno 'Mizani' linatumika kuminya media na kuibeba Serikali na CCM kukimbia kuwajibika kuwajibu wananchi kwenye maswali magumu

    Leo asubuhi The Chanzo wameondoa press ya Gwajima YouTube wakiweka wazi kuwa wametakiwa kuondoa story hiyo na TCRA sababu press hiyo imekosa 'Mizania', hawakulance kwenye namba ya watu waliotekwa nchini kwa kwenda kuihoji mamlaka serikali na hivyo kusababisha wananchi kuichukia serikali yake!🤣🤣...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 The Chanzo yaondoa Maudhui ya Askofu Gwajima YouTube Kufuatia wito wa TCRA

    Leo Mei 27, 2025, The Chanzo imepokea wito kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuhusu maudhui ya video tuliyochapisha katika chaneli yetu ya Youtube, ambayo ni mkutano na waandishi wa habari mazungumzo aliyoyafanya Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe (Chama cha Mapinduzi -...
  16. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza Kina Maulid Kitenge kwenye hii Morning Show ya Wasafi Utaelewa kwanini wananchi wana hulka ya Mazombie

    Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa? Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuzo za Samia Kalamu zinafanya kazi, hakuna gazeti lililothubutu kuweka habari ya Askofu Gwajima

    Nimepita kuangalia vichwa vya habari vya leo kuona kama kuna aliyeweka habari ya Gwajiboy Askofu Gwajima kujilipua jana, kama nilivyotarajia hakuna aliyefanya hivyo. Magazeti yamejaa habari za Rais Samia kuchafuka na wavujisha siri, Fainali ya Simba na Berkene, na tuvitu vitu vingine. Watu...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

    Wanabodi Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/tumpongeze-rais-samia-sambamba-na-wanahabari-ila-tukaze-uzi-5030938 Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa wiki nzima, iliyopita, nimekuwa jijini Arusha kwenye hoteli...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Habari Zanzibar: Ahadi mdomoni utekelezaji mashakani

    Na: Nihifadhi Abdulla. Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imeridhia mikataba mbalimbali ya kimataifa na kikanda inayolinda haki ya uhuru wa habari. Hata hivyo, hali halisi inaonesha kuwa utekelezaji wa mikataba hiyo uko mbali na matarajio. Vikwazo vya kisheria...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Democrasia iliopo Kenya hasa uhuru wa habari sio wa levo hizi za Africa ni beyond Africa labda Ulaya huko nako pia nina wasiwasi.

    Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu. Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru. Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii. Hii je? Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari...
Back
Top Bottom