https://www.youtube.com/live/3r1VM5Popbw?si=5ngxqgUwSDdRvH2z
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, leo Julai 22, 2026, jijini Dodoma amefanya ziara na waandishi wa habari katika eneo la Soko la Machinga kuhusu jitihada za...
Wakuu,
Msemaji Mkuu wa Serikali anatarajia kufanya mkutano rasmi na waandishi wa habari siku ya leo, Juni 28, 2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mkutano huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 7:30 mchana...
Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa amewahakikishia Watanzania kuwa mkataba ambao Tanzania na Zambia zimeingia na China wa uboreshaji wa reli ya TAZARA utakuwa na manufaa makubwa kwa Tanzania kiuchumi na kijamii.Msigwa aliyekuwa akitoa ufafanuzi kufuatia baadhi ya watumiaji...
Huwezi kusema umebinya uhuru halafu mpaka nyumba yako unayotumia dishi la tv kuangalia tv kusema umebinya.
Msigwa najua upo hapa JF ila kumbuka kwa sasa kuna vifaa vinatumia hata TCRA wako na miradi wako wana habari tunazipata,
Wakuu mimi natumia hiki kifaa hapa Tanzania malipo nalipa ya...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.
SWALI KWENU
HAYA YANAYOFANYWA NA CCM HAMYAONI.
ACHA KUCHEZEA AKILI ZA WATU
Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, ameeleza kuwa dawa za Virusi vya Ukimwi (VVU) zipo na zinatolewa bure nchini.
Soma pia: Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu
Leo, Juni 29, 2025, Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, atafanya mkutano muhimu na waandishi wa habari.
Mkutano huo utafanyika katika viwanja vya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba, jijini Dar es Salaam...
Moja kwa moja.
Juzi juzi nilikuja na mada chini hapo kuhusiana na tukio la IDF kuua watu wanaotoa Huduma za kitabibu Gaza wakiwa kwenye ambulance na kueleza uongo wao katika taarifa ya awali waliyotoa kuhusiana na tukio hilo amabalo sasa hivi limezidi kuchafua taswira mbaya ya IDF baada ya...
MSEMAJI mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameyaomba makampuni ya utengenezaji wa mabasi kutoka nchini China kuja kuwekeza kiwanda Cha utengenezaji wa mabasi hayo na vifaa vyake Ili Watanzania wajifunze Teknolojia na kupata ajira.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa toleo jipya la mabasi ya kampuni...
https://www.youtube.com/watch?v=Oasgj4g9Yvc
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa anazungumza na Waandishi wa Habari kutoka Bandari Kavu ya Kwala, Mkoani Pwani
Akizungumzia miradi iliyosajiliwa kati ya mwaka 2021 Machi hadi Februari 2025...
https://www.youtube.com/watch?v=VJmfnduWSJk
The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa inazozitoa kwa wananchi, Sakata la bandari Bagamoyo, matukio ya utekaji, utekelezaji wa miradi ya...
Wakuu,
Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, akihojiwa kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoruka hewani kupitia E-FM amenukuliwa akisema:
“Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja, uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na...
Wanabodi,
Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF
Karibuni.
Paskali
https://www.youtube.com/live/P1Wh1QZrawc
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali atakuwa akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro na Dodoma kutoa Taarifa ya Serikali kwa Wanainchi Kupitia vyombo vya Habari .
Mkuu,
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Thobiasi Makoba akitoa ujumbe kwa wanahabari na Watanzania kuhakikisha wanajitokeza kupiga kura kesho, Jumatano Novemba 27.2024 ili kuchagua viongozi wanaowataka
Soma pia: Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia mafuriko nchini, miaka 60 ya muungano na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Albert Chalamila, amesema kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atatoa taarifa rasmi kuhusu mwenendo wa zoezi la uokoaji katika eneo la Kariakoo, ambapo maafa yalitokea hivi karibuni.
Chalamila ameeleza kuwa zoezi la uokoaji linaendelea na taarifa kamili kuhusu hali ya...
Wakuu,
Hivi karibuni Msemaji mkuu wa Serikali amejitokeza kuzungmzia uwepo wa taarifa potofu na za uwongo katika kipindi hiki cha Uchaguzi kwa kusema kuwa historia inaonesha kuwa katika kipindi cha Uchaguzi ndipo upotoshaji unakuwa mkubwa mno.
My take
Hivi Msemaji Mkuu anajua kuwa hamna kundi...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba ametembelea ofisi za Mwananchi Communications Limited (MCL) zilizopo Relini Jijini Dar es Salaam, leo Agosti 16, 2024.
Makoba amepokewa na Mkurugenzi Mtendaji wa MCL, Bakari Machumu ambapo wamezungumzia mambo...
Naomba uongozi wa JamiiForums umualike Msemaji Mkuu wa Serikali tumuulize maswali ya moja kwa moja.
Aa serikali ifungue akaunti yake rasmi humu JamiiForums ili madukuduku yetu yafike moja kwa moja ikulu.
Akhsante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.