Maxence Melo aeleza safari yake katika kutetea Uhuru wa Kujieleza na Haki ya Faragha

Glenn

JF-Expert Member
May 23, 2015
65,814
156,950
Habari Wakuu,

Maxence Melo akiwa studio za Wasafi FM ameelezea jinsi Serikali ilimhenyesha akiupigania Uhuru wa Habari Tanzania.

Katika mapambano hayo amepitia changamoto mbalimbali ni pamoja na;

1. Pasi zake ya kusafiria kuzuliwa
2. Amehudhuria Mahakamani mara 159

Unaweza kumsikiliza hapo chini

Habari wakuu.
Ndg. Maxence Melo akiwa studio za Wasafi FM ameelezea jinsi serikali ilimhenyesha akiupigania uhuru wa habari Tanzania.

Katika mapambano hayo amepitia changamoto mbalimbali ni pamoja na;

1. Pasi vyake ya kusafiria kuzuliwa
2. Amehudhuria mahakamani mara 159

Unaweza kumsikiliza hapo chini

View: https://www.instagram.com/reel/C1EbLPiIL-V/?igshid=NjZiM2M3MzIxNA==

Pole Kwake kwa aliyoyapitia na Hongera Kwake kwa kuwa Champion of Freedom of Speech kupitia huu Mtandao wake mkubwa, mzuri, elimishi na burudishi wa JamiiForums, ila je, JamiiForums Founder Maxence Melo nae ana maoni gani ya Machungu ambayo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" napitia kwa Kufungiwa kwa muda usiojulikana ( tena bila ya Kutaarifiwa lolote ) kuchangia Jukwaa la Michezo, kupigwa Kwake BAN za Kimkakati, Wivu na Chuki huku wale ambao Kutwa tu Wanaonichokoza, Wananitukana, Wananidhalilisha, Wananishambulia na Wananichafua hapa JamiiForums?
 
Maxence Melo msikilize kijana wako.
Kama ana makosa mwambie dhsmbi zake kama biblia isemavyo tuwaonye watu makosa yao
 
Hii nchi ni ngumu sana
Sio nchi hii tu ni dunia nzima,ukishaamua kuwa mwana habari serious ujuwe kuwa unaingia kwenye vita ya moja kwa moja na serikali,na wakati mwingine ni life and death,kwahiyo maisha ya uandishi wa habari sio rahisi kihivyo...
 
Maxence Melo post hii ikuimarishe mkuu
 
Ila jf kama si mungu , ungekuwa umepigwa ban tz kama mtandao unaohatarisha usalama wa nchi kwa mujibu wa ccm! Sema naye Mungu sio lucas mwanshambwa au faiza.
 
Hahaha hao magaidi uliwataja sasa😂
 
Back
Top Bottom