Serikali ya Tanzania imezungumzia suala la utapeli mitandaoni kwamba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaendelea kudhibiti usajili wa laini za simu kwa umakini mkubwa.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Septemba 2, 2024 na Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Hili linafanyika katika nchi nyingi huko ulimwenguni.
Serikali yetu tukufu tuwekeeni kodi kwenye kila laini ya simu shs 300/-kwa mwezi, iwe absorbed kila mwezi, ili tuboreshe uchumi wetu, lakini fedha mtakazozikata serikali yetu isizitumie kwa anasa bali iboreshe huduma za kimsingi hasa...
Mara ya kwanza mbunge wa Gairo alishauri laini zitozwe TSh 200 kila mwezi. Na sasa huyu mwingine ameshauri laini itozwe Tsh 50. Kwanini wanaona ni muhimu kutoza laini za simu? Ni rahisi lakini je kitendo hiki ni halali kwa watanzania ambao wanahangaika kumiliki simu nk. Je hatuoni kuwa...
Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa robo ya mwaka 2024, imeonesha katika kipindi cha Januari hadi Machi 2024 kulikuwa na ongezeko la Usajiili wa Laini za Simu kwa 1.3%
Mtandao wa Vodacom unaendelea kuongoza kwa idadi kubwa ya Watumiaji wa...
Kama unasoma uzi huu basi u buheri, pole kwa wenye changamoto.
Hawa vijana wanaosajili laini za simu mitaani wamekuja na mbinu mpya kukuibia pesa.
Wanatumia app za kampuni husika, TIGO PESA APP AU MPESA APP n.k. Wanawahadaa wateja kuwaunga 5G wapate intaneti yenye kasi bure kama ofa...
Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Sh2,000 kila mwezi kwenye laini za simu huku wabunge, wafanyabiashara na wafanyakazi wakikatwa Sh10,000 ili fedha hizo ziwe chanzo cha mapato kwa Bima ya Afya kwa wote.
Amesema kuna wamiliki wa laini za simu milioni 72 nchini ambao...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime
Akitoa darasa kwa Maafisa Polisi Jamii na Polisi Kata kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam pamoja na wengine kutoka Kibaha na Mkuranga, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime amezungumzia utapeli wa mitandao unaofanyika...
Kwa mujibu wa ripoti ya TCRA ya robo ya nne ya mwaka, hadi Desemba 2022 mitandao ya simu nchini ilikuwa imesajili jumla ya laini milioni 60.277.
Laini hizo ni sawa na ongezeko la asilimia 4 ikilinganishwa na zile milioni 58.1 waliokuwapo mwisho war obo ya tatu ya mwaka 2022 yaani Septemba...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hadi kufikia Jumanne, Februari 14, 2023, Jumla ya laini za simu 900,000 ambazo hazikuwa na Usajili Rasmi wa Alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa, zilikuwa zimefungiwa mawasiliano.
Uzimaji unazihusu Laini zote ambazo watumiaji wake hawajakamilisha Usajili kwa Alama za Vidole na Ktambulisho cha Taifa ambapo hadi kufikia Februari 5, 2023, Laini Milioni 1.92 hazikuwa na Usajili rasmi.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA), Laini za Simu zenye Usajili rasmi...
Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeongeza Siku 14 kutoka Januari 31, 2023 iliyopangwa kufungia Mawasiliano ya Laini za Simu mbazo hazijakamilisha usajili wa alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, #NapeNnauye...
Mwigulu Nchemba na tozo nyingine tena.
Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT.
Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge...
Karanja Matindi, raia wa Kenya, Eliud anayeishi Uingereza ameifungulia mashitaka Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kwa kuagiza watumiaji wote wa laini za simu kujisajili upya, akitaka Mahakama ipinge maamuzi hayo kuwa ni kinyume cha katiba.
Mamlaka ilitoa tangazo kuwa laini ambazo...
WAZIRI MASAUNI AWAITA VIONGOZI POLISI KUJADILI MATUKIO YA MAUAJI NCHINI, AAGIZA WANAOCHAFUA VIONGOZI MITANDAONI, WANAOSAJILIA WATU LAINI ZA SIMU, WANAOSAMBAZA PICHA CHAFU WASAKWE
Na WMNN, Dar es Salaam
KUTOKANA na mauaji ya kijamii yanayoendelea nchini, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
Laini za Simu zimedaiwa kufungwa kabla ya Maandamano yaliyopangwa kufanyika katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Khartoum kupinga Utawala wa Kijeshi.
Huduma za Intaneti zimeendelea kuminywa tangu Oktoba 25 licha ya kuwepo maagizo ya kuzirejesha, hali ambayo imeweka ugumu kwa Wanaharakati kuandaa...
Dodoma. Serikali ya Tanzania imefungia laini za simu 18,622 baada ya kubainika kufanya matukio ya uhalifu nchini.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndungulile leo Jumatano Julai 28 2021 wakati akifungua mkutano wa mapato na matumizi wa wizara na...
MONDAY JULY 19 2021
Wakati kelele za tozo ya miamala ya simu zikiendelea kuanzia Agosti mwaka huu, watumiaji wa simu nchini wataanza kuchangia bajeti kuu ya Serikali kupitia tozo ya laini za simu kwa kila anayeongeza salio la maongezi.
Dar es Salaam. Wakati kelele za tozo ya miamala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.