Naibu Waziri wa Fedha, Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) ameiagiza Menejiment ya Hazina Saccos kuhakikisha fedha za wanachama zinalindwa kwa kiwango cha juu, huku akiwataka kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji, ukaguzi wa ndani na udhibiti wa mikopo pamoja na urejeshaji wake.
Munde aliyasema hayo...
Nimekuwa nikiona changamoto moja kwa baadhi ya biashara za manufacturing.
Mmiliki anaweza kujua amenunua raw materials kwa kiasi gani mwezi huu, lakini akija kuuliza:
Gharama halisi ya kuzalisha bidhaa moja ni kiasi gani?
Batch hii imetumia materials kiasi gani?
Wastage ilikuwa asilimia ngapi...
Katika historia ya nchi nyingi duniani, tatizo kubwa zaidi la vyombo vya usalama halijawahi kuwa ukosefu wa uwezo, ni swali la uwajibikaji, Yaani vinawajibika kwa nani. Hatari ni Pale inapokuwa Vinapokuwa chini ya mtu mmoja pekee, bila usimamizi wa nje, vinaweza kutumika kwa urahisi kulinda...
MANZINI, Eswatini. Shirika la African Forum and Network on Debt and Development (AFRODAD) na Jumuiya ya Mashirika ya Kamati za Hesabu za Umma ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADCOPAC) zimeingia rasmi katika ushirikiano unaolenga kuimarisha usimamizi wa Bunge, kuhamasisha...
Serikali inaendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za dijitali, mifumo ya kisasa ya usimamizi wa bandari na biashara, pamoja na matumizi ya taarifa za kisayansi katika kufanya maamuzi ya kutambua kuwa Uchumi wa Buluu wa kisasa unahitaji wataalamu wenye ujuzi, ubunifu na uwezo wa kutumia...
Kuna malalamiko yanayojirudia kutoka kwa wanafunzi, hasa katika ngazi ya Master’s, kuhusu namna baadhi ya mambo yanavyosimamiwa chuoni. Hili si suala la mwanafunzi mmoja; ni jambo ambalo wanafunzi wengi wamekuwa wakilizungumzia na kujaribu kulifuatilia bila kupata majibu au suluhisho la...
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzingatia usawa wa kijinsia, hatua inayolenga kuhakikisha rasilimali za Serikali zinatumika kwa ufanisi katika kuchochea maendeleo jumuishi.
Mhe...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwa Ofisi yake itatekeleza kikamilifu jukumu la kuisimamia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)...
Vyuo vya kati vya afya havina usimamizi wa kutosha kutoka taasisi husika kama NACTVET na mabaraza ya taaluma ikiwemo TNMC, MCT na Pharmacy Council.
Miongozo ya elimu inaelekeza kuwa wanafunzi wa ngazi ya diploma wanapaswa kufundishwa na wakufunzi wenye elimu ya kuanzia shahada (Bachelor...
Katika makala iliyopita, uchunguzi huu uliibua hatari inayolikabili eneo la Tanganyika mkoani Katavi, ukataji wa miti ovyo unaotishia si mazingira pekee, bali pia mapato ya zaidi ya shilingi bilioni 29 yatokanayo na biashara ya kaboni.
Lakini nyuma ya miti inayokatwa na mashamba yanayopanuka...
Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime
Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara.
Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
Anonymous
Thread
afya
binafsi
makini
mamlaka
mara
mjini
mkoa
mkoa wa mara
mwenendo
sauti
tarime
tarime mjini
usimamizi
vituo
vituo vya afya
wadau
wamiliki
wilaya
KARIBU KWA HUDUMA BORA ZA UJENZI
Huduma zetu ni kama zifuatazo
1.Ramani za nyumba aina zote
2.Kuanda makàdirio ya ujenzi Yani B.O.Q
3.Ufatiliaji wa vibari vya ujenzi na Mabango
4.Ujenzi na usimamizi.
5.Uhuishaji majengo(Renovation)
5.Ushauri wa kitaalamu wa Ujenzi.
Karibu tukuhudumie,,huduma...
This critique originates from the deeply frustrated perspective of an ordinary citizen—a passionate observer who is tired of watching immense intellectual talent and public influence squandered on sports debates while vital national assets are bargained away in silence. Day after day, Tanzanians...
Uwanja huu ni uwanja bora sana hauna hata miaka 6 lakini tayari haufanyiwi marekebisho ,napenda wajuzwe huu ni 5 star level airport hatutarajii rangi ya jengo izidi 3 years isibadilishwe ,vyoo vyake vinatumiwa na watu si chini ya 2000 kwa siku tunatarajia kila mwaka chooni sink zibadilishwe mpya...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuimarisha zaidi ushirikiano wa kikanda katika kulinda na kusimamizi endelevu wa mazingira na maliasili, ikisisitiza umuhimu wa jitihada za pamoja katika kukabiliana na changamoto zinazoendelea...
Uongozi wa Chuo Kikuu cha UDOM uongeze umakini mkubwa katika usimamizi wa masomo ya postgraduate.
Wanafunzi wengi wa postgraduate wanacheleweshwa kimaksudi na kulazimishwa kulipa pesa nyingi za ziada (extension fees) licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujitahidi sana.
Mfano halisi:
Kuna...
Anonymous
Thread
chuo kikuu
postgraduate
tafiti
udom
uongozi
usimamizi
wanafunzi wengi
Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma.
Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali Serikalini naona wanafuata zaidi wanasema uwe umesomea Utawala (Public Administration), je sisi...
Anonymous (ca61)
Thread
ajira
ajira serikalini
mitaa
nafasi
serikali
serikali za mitaa
serikalini
usimamiziusimamizi wa serikali
wahitimu
za ajira
Kumekuwepo na machapisho kadhaa yanayosambazwa kwenye kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii hususani facebook kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, alipozungumza na vyombo vya habari. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa amesema:
Habari ndugu zangu wa Tanzania.
Kwa jina la Hifadhi au Kificho naitwa Mr. X, na napenda kujitambulisha kwa jina hilo huku nikificha taarifa zangu zote za elimu, umri, na anuani ya makazi. Hata hivyo, niweke wazi tu kwamba mimi ni Mtanzania mwenye asili ya Tanganyika.
Nina jambo muhimu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.