Wakazi wa wilaya ya Temeke ni waathirika wakubwa wa msongamano unaosababishwa na malori ya bandari kavu zilizozagaa mitaani wilaya ya Temeke.
Barabara za Temeke na Mbagala hazipitiki kutokana na malori ambayo unasita kuamuru yaende Kwala Kibaha, huu ni uhujumu uchumi. Serikali imejenga reli ya...
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine.
Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama...
Kiongozi wa Wiper Patriotic Front, Kalonzo Musyoka, ameweka mezani ajenda yake ya vipengele 13 anayoita “People’s Budget”, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027.
Kalonzo amesema mpango huo ni mbadala wa Vision 2026 ya Rais William Ruto, akisisitiza kuwa Kenya haihitaji “kubadilisha jina”...
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo amesema "Siwezi kwenda CCM, Haina jipya. Miaka 65 tangu tumecha kutaliwa ajenda ni Barabara, maji umeme. Hawana jipya, kuna muda naona bora tungeendelea kutawaliwa ma Wazungu, hawa Waafrika wenzetu wanatuchelewesha."
"Mimi mdogo wangu, nitaenda...
Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hilo kama taifa.
Ushindi wa kishindo cha zaidi ya 90% alioupata mgombea ubunge wa CCM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Isimani, mkoani Iringa, ni uthibitisho tosha wa mapenzi mazito sana ya waTanzania kwa ccm, na imani kubwa sana walioyonayo kwa wagombea...
Kijana mmoja mtumishi wa serikalini, avamiwa na vibaka, maeneo ya kijangwani na kumpandikizia eti kamshika mtu bega kumbe ni mkakati wa kumpora, kapewa kichapo, na pesa milioni tano wamesepa nazo wahuni.
Ni wiki kadhaa tu tangu tukio la mimi kutolewa visu mchana kweupe na kunipora pesa na...
Kuna wale vijana waliotoka chadema kwa ridhaa yao na kuhamia chauma baada ya ajenda yao kujulikana.
Hawa vijana wanatafta attention kupitia kuitukana chadema na maneno yasiyo na tija mtandaoni!
Watu hao wanaotumia kurasa za mitandao ya kijamii kuishambulia zaidi chadema.
Wana ajenda kuu...
Huu mtandao wa propaganda ambao unatumika sana CCM ulipoona delta force imemkamata raisi wa Venezuela nao wakaja kwa njia hii .
Kama walikuwa wameona hiyo ndo habari mbona ya Venezuela wajaweka.
Hili group la CCM lina amrisha sana .
Wanaukumbi.
HIZI SIYO HARAKATI NI AJENDA ZA KUVURUGA NCHI 📌
Hakuna jinsi unaweza elezea watu kuwa ni sahihi kufanya maandamano tena ya kisiasa siku ya sherehe muhimu kama Krismasi.
Anachokifanya Maria Sarungi na kundi lake ni mfano wa wazi jinsi walivyo na rotten morality towards human beings...
Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
Tanzania imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR).
Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi alisema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliofanyika...
Wanabodi,
Watakaoshiriki D09 Wana ajenda ya kudai Miili ya wapendwa wao pamoja na waliotekwa kuweza kurejeshwa wakiwa hai au wamekufa ili wakazike wapendwa wao.
Wahusika wanapaswa kuwa macho na kulifanyia kazi suala hilo ili kuepusha yale yaliyotokea MO29.
MUNGU ibariki Tanzania
" Chama hiki kimejikita katika kusukuma ajenda za maendeleo, kwaiyo akitokea mtu akasema hakuna kilichofanyika unabaki unamuangalia" amesema Kihongosi
Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi akizungumza na waaandishi wa habari katika leo Oktoba...
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere
Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki
Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?
Sasahivi kila...
Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati Jadidifu, Dkt Khatibu Kazungu leo 04 Julai, 2025 amepokea magari mawili yatakayotumika kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia chini ya kampeni ya nishati safi...
Wakuu,
Hizi hoja za kuwatambua watu kwa misingi ya makabila, kama vile kudai kwamba Waarabu wa Oman wana mapenzi maalum kwa Wasukuma, si jambo la kawaida ni njia ya kujaribu kutafuta sababu ya kuhalalisha uwepo wa Waarabu nchini.
Kwa nini kipindi hiki ndo tuanze kusikia kuhusu uhusiano wa...
Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe ajenda zao.
Huko Simiyu watoto wa shule za sekondari ambao hawakufunga wamekusanywa wote na sasa...
Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza kuniita majina yote mabaya ,unaweza nitukana kwa matusi yoyote yale utakayo,unaweza niita lichawa au likupe ,unaweza nitemea hata mate,unaweza kunichukia kuliko hata shetani .
Lakini pamoja na hayo yoote napenda kuwaambieni ukweli mchungu kabisa ambao pengine...
Watu wanashindwa kutambua kuwa Marekani ilishaachana na sera za kujenga mabarabara na shule, ajenda yao kuu ni kuwa na nguvu Duniani, kuitawala Dunia, kuiweka Dunia kiganjani.
Ulaya yote hakuna anayekoroma pale ambapo Marekani anatoa maelekezo yake kuhusu Dunia, zaidi ya kuwa watu wa Ulaya ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.