Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,090
- 2,710
Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka.
China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka
Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka
Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka.
Makosa ikiwa ni wanasiasa wa upinzani,madawa,ushoga ,Rushwa na uhaini
IRAN pia ilinyonga watu waliojihusisha na maandamano juu ya kifo cha mwanamke ambaye aliuliwa na polisi kwa kutovaa hijabu.