wanamgambo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Marekani yateka silaha za Iran wakipelekewa wanamgambo wa Houthi

    Jeshi la Wanamaji la Marekani limeripoti kwamba limekamata silaha zilizotumwa na Iran kuwapa waasi wa Houthi wa Yemen wiki iliyopita. Jeshi la Marekani (CENTCOM) lilitangaza katika taarifa siku ya Jumanne kwamba Seals wa Jeshi la Wanamaji la Marekani walipata silaha hizo wakati wa shambulio la...
  2. I

    Marekani yawashambulia tena wanamgambo wa Houthi

    Jeshi la Marekani linaendelea na mashambulizi ya ziada dhidi ya waasi wa Houthi nchini Yemen, siku moja baada ya kuanzisha wimbi la mashambulizi katika maeneo karibu 30 nchini humo ili kudhalilisha uwezo wa kundi la waasi linaloungwa mkono na Iran kushambulia meli za Bahari Nyekundu, maafisa...
  3. I

    UAE yashutumu mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham.

    Serikali ya Falme Za Kiarabu (UAE) imelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na magaidi wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham. Pia wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran wamekiri kuuwawa kwa viongozi wake wapatao watano ktk shambulizi lililofanywa siku kadhaa zilizopita na...
  4. sky soldier

    Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

    Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat...
  5. JanguKamaJangu

    Utawala wa Burkina Faso wadaiwa kulazimisha wakosoaji kujiunga kwenye vita dhidi ya Wanamgambo

    Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso inatumia vibaya sheria ya dharura kuandikisha wanaodhaniwa kuwa wapinzani na wakosoaji wake kuijiunga kwenye vita hatari dhidi ya wanamgambo. Watu hao wanasemekana kulazimishwa kupambana na watu wanaohusishwa na makundi ya kigaidi ya Al Qaida na Islamic State...
  6. GENTAMYCINE

    Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

    Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu...
  7. incinc

    Russia vs Ukraine & wanamgambo pandikizi

    Naiyona hii vita kuwa kubwa taratibu...baada ya jumatatu kutokea uvamizi mpakani mwa Russia na Ukraine katika jimbo la Belgorod sasa kuna vita mbili Russia anaanza kupambana nazo...vita ivyo ni Russia vs jeshi la Ukraine wakisaidiwa na washirika wa NATO na yapili ni Russia vs wanamgambo wanao...
  8. Mributz

    Wanamgambo (RSF) wachukua Ikulu nchini Sudan

    Kikosi Maalum cha Wanamgambo nchini Sudan cha RSF, kimesema kimechukua udhibiti kamili wa Ikulu ya rais, makazi ya mkuu wa jeshi Jenerali Abdel Fattah al-Burhan na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Khartoum. Katika taarifa yake iliyotolewa hii leo Aprili 15, 2023 RSF imesema imechukua pia...
  9. JanguKamaJangu

    Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa ADF waua watu 17 Mashariki mwa DRC

    Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa ADF, jana Machi 12, 2023 waliwauwa takriban watu 17 Mashariki mwa DRC, maafisa wa eneo hilo wamesema, siku chache tu baada ya kundi hilo lenye mafungamano na kundi la kigaidi kufanya mauaji mengine katika eneo hilo lenye machafuko. Kundi hilo la Allied Democratic...
  10. JanguKamaJangu

    Nigeria: Zaidi ya watu 100 wauawa baada ya vikundi vya wanamgambo kuvamia Wanakijiji

    Mauaji yametokea Kaskazini mwa Nigeria ikielezwa watu wenye silaha ambao ni Wanamgambo pamoja na vikundi vya kigaidi kuvamia vijiji na kuanza kushambulia kwa risasi na kuchoma moto nyumba. Abubakar Ahmed, kiongozi wa Serikali ya Mtaa ya Bukkuyum amesema idadi ya Watu waliofariki ni zaidi ya 100...
  11. Diversity

    UZUSHI Korea Kaskazini kuipa Urusi wanamgambo 100,000

    Taifa la Korea Kaskazini limesema liko tayari kutuma wanajeshi laki moja kuisadia Urusi katika vita vyake na Ukraine. Kauli hiyo ilitolewa katika kipindi kimoja cha tv kinachoruswa na teelevisheni ya taifa ya Urusi. ===== Korea Kaskazini iko tayari kutuma wanajeshi 100,000 kwa mshirika wake...
  12. Webabu

    Korea Kaskazini kuipa Urusi wanamgambo 100,000

    Taifa la Korea Kaskazini limesema liko tayari kutuma wanajeshi laki moja kuisadia Urusi katika vita vyake na Ukraine. Kauli hiyo ilitolewa katika kipindi kimoja cha tv kinachoruswa na televisheni ya taifa ya Urusi. --- North Korea offers Russia ‘100,000 volunteers’ to fight Ukraine, says...
  13. JanguKamaJangu

    Watu watano wauawa na wanamgambo Mashariki mwa DRC

    Watu watano wameuawa, wakiwemo watoto wanne ambao walichomwa moto hadi kufa, na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo, ambao pia waliteka nyara watu wengine kadhaa katika shambulio mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo Shambulio hilo la Waasi wa Alliance Democratic Forces (ADF) limetokea...
  14. JanguKamaJangu

    Wanamgambo 67 wa Al-Shabaab wauawa Somalia

    Imeelezwa Wanamkambo 67 wa Al-Shabaab wameuawa katika mapigano katika Mji wa Galgaduud Nchini Somalia dhidi ya Wanajeshi wa Somalia. Waziri wa Habari wa Jimbo la Galgaduud, Ahmed Shire amesema katika mapigano hayo Wanajeshi walimkamata mshambuliaji wa kujitoa mhanga ambaye alikuwa akipanga...
  15. Gama

    Jeshi la Uganda limegundua kambi ya mafunzo ya Wanamgambo wa Kiislamu

    Jeshi la uganda limesema kuwa limegundua kituo cha mafunzo kwa wpiganaji wa kiislam Km 60 tu kutoka kampala, watu watatu wanashikiriwa, aidha vyuma vya kutengenezea milipuko vilipatikana pia. Mamlaka zinalaumu wapiganaji wa ADF walijichimbia katika misitiu ya Kongo kwa mashambulizi ya milipuko...
  16. Lady Whistledown

    Sudan: Kesi ya kwanza ya anayedaiwa kuwa kiongozi wa "Janjaweed" yaanza kusikilizwa ICC

    Mwanamume anayeshutumiwa kwa kuongoza wanamgambo wanaoogopwa na serikali ya Sudan wanaojulikana kama "Janjaweed" akanusha mashtaka kadhaa ya uhalifu wa kivita mwanzoni mwa kesi ya kwanza ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kuhusu mzozo wa Darfur. Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman anashtakiwa kwa...
  17. Lady Whistledown

    Sudan: Kesi ya kwanza ya anayedaiwa kuwa kiongozi wa Janjaweed yaanza kusikilizwa ICC

    Mwanamume anayeshutumiwa kwa kuongoza wanamgambo wanaoogopwa na serikali ya Sudan wanaojulikana kama "Janjaweed" akanusha mashtaka kadhaa ya uhalifu wa kivita mwanzoni mwa kesi ya kwanza ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kuhusu mzozo wa Darfur. Ali Muhammad Ali Abd–Al-Rahman (72)...
  18. Analogia Malenga

    Wanamgambo wa Somalia wamuua mbunge wa kike katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga

    Takriban watu 15, akiwemo mbunge mwanamke wa bunge la shirikisho la Somalia, waliuawa katika milipuko miwili ya kujitoa mhanga katika mji wa Beledweyne katikati mwa Somalia. Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble ametaja kifo cha Amina Mohamed Abdi kama "mauaji". Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi...
  19. Analogia Malenga

    Watu 18 wauawa katika shambulio la wanamgambo wa Niger

    Raia 18 nchini Niger wameuawa katika shambulio la wanamgambo magharibi mwa nchi hiyo, serikali inasema. Majambazi waliokuwa na pikipiki walivamia lori lililokuwa likisafirisha watu kati ya vijiji viwili vya mkoa wa Tillaberi. Magharibi mwa Niger - kama vile nchi jirani za Mali na Burkina Faso...
  20. Chachu Ombara

    Lamu: Takriban watu 6 wauawa na vijiji kuchomwa moto na wanamgambo wa Al Shabaab

    Takriban watu sita wameuawa na vijiji kuchomwa moto na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab katika mji wa pwani wa Lamu nchini Kenya. --- Six people have been killed and homes torched in an attack Monday by suspected Al Shabaab militants in Kenya's coastal Lamu region that borders...
Back
Top Bottom