Saudi Arabia waja juu na kuungana na Misri kuionya Israel

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,186
10,922
Ule ukimya wa muda mrefu wa mataifa mawili makubwa ya kiarabu sasa umefika mwisho.Mataifa hayo ni Misri na Saudi Arabia.

Misri ilitoa onyo lake dhidi ya Israel na nia yao ya kupiga eneo la Rafah karibu wiki mbili zilizopita.Baada ya hapo walikaa kimya na haijulikani wamefanya matayarisho kiasi gani kwa siri kukabiliana na kitisho hicho.

Saudi Arabia nayo hapo jana Jumamosi nayo imevunja ukimya na kutoa onyo kali kwa Israel.
Kupitia wizara yake ya mambo ya nje nchi hiyo ya kifalme na kitovu cha waislamu duniani, imeitaka Israel kusitisha vita mara moja na kuanza mchakato wa uanzishwaji wa taifa la Palestina.

Katika karipio lake hilo Saudi Arabia haikuweka wazi itafanya nini pindi Israel ikishambulia Rafah ambako iliwataka watu wa Gaza wakimbilie hapo mwanzo.
==

Saudi Arabia has warned Israel that a planned invasion of the city of Rafah may cause an imminent humanitarian disaster.

The oil-rich nation’s foreign ministry released a statement on Saturday calling for an immediate ceasefire to the conflict as Israel is poised to launch a ground invasion of Rafah, which borders Egypt at the southern end of the Gaza Strip. More than half of Gaza's estimated 2.3 million population is now packed into the city.

Israeli Prime Minister Benjamin Natenyahu's office has ordered the military to develop a plan to evacuate the population city ahead of a ground invasion to destroy four Hamas battalions it says are deployed there.

Yahoo News
 
Saudi Arabia nayo hapo jana Jumamosi.
Kupitia wizara yake ya mambo ya nje nchi hiyo ya kifalme na kitovu cha waislamu duniani,imeitaka Israel kusitisha vita mara moja na kuanza mchakato wa uanzishwaji wa taifa la Palestina.
Katika karipio lake hilo Saudi Arabia haikuweka wazi itafanya nini pindi Israel ikishambulia Rafah ambako iliwataka watu wa Gaza wakimbilie hapo mwanzo.

Saudi Arabia warns Israel of 'very serious repercussions' if ground invasion of Rafah proceeds

Mbwa anayebweka hang'ati!
 
Mbwa anayebweka hang'ati!
Usijidanganye.
Ubinadamu unaweza kumbadilisha mtu na kuwa mtu mwengine ghafla pindi akiona ukweli fulani.
Mitaani kuna watu wanaonekana mabwege lakini siku ukiwachokoza ndipo utawajua walivyo mashujaa.
 
Kama walivyochokozwa waisrael
 
Ndugu yangu Alwaz Saudi Arabia na misri hawataki wakimbizi na kamwe nchi za kiarabu huwa hawana tabia ya kupokea wakimbizi..
Saudi Arabia hayupo tayari kumsaidia MTU yeyote Kwa njia ya vita Hilo sahau na kamwe hawatakuja kuingia vitani Kwa kumtetea Palestine
 
Ule ukimya wa muda mrefu wa mataifa mawili makubwa ya kiarabu sasa umefika mwisho.Mataifa hayo ni Misri na Saudi Arabia.

Misri ilitoa onyo lake dhidi ya Israel na nia yao ya kupiga eneo la Rafah karibu wiki mbili zilizopita.Baada ya hapo walikaa kimya na haijulikani wamefanya matayarisho kiasi gani kwa siri kukabiliana na kitisho hicho.

Saudi Arabia nayo hapo jana Jumamosi nayo imevunja ukimya na kutoa onyo kali kwa Israel.
Kupitia wizara yake ya mambo ya nje nchi hiyo ya kifalme na kitovu cha waislamu duniani, imeitaka Israel kusitisha vita mara moja na kuanza mchakato wa uanzishwaji wa taifa la Palestina.

Katika karipio lake hilo Saudi Arabia haikuweka wazi itafanya nini pindi Israel ikishambulia Rafah ambako iliwataka watu wa Gaza wakimbilie hapo mwanzo.
==

Saudi Arabia has warned Israel that a planned invasion of the city of Rafah may cause an imminent humanitarian disaster.

The oil-rich nation’s foreign ministry released a statement on Saturday calling for an immediate ceasefire to the conflict as Israel is poised to launch a ground invasion of Rafah, which borders Egypt at the southern end of the Gaza Strip. More than half of Gaza's estimated 2.3 million population is now packed into the city.

Israeli Prime Minister Benjamin Natenyahu's office has ordered the military to develop a plan to evacuate the population city ahead of a ground invasion to destroy four Hamas battalions it says are deployed there.

Yahoo News
Rafah itachapika vizur na hakuna atakesogeza mguu. Waarabu wote ni kama wewe tu. Kuongeaongea nyuma ya CM Lakin kwenda front ni weupe
 
Misri imetamka wazi haitaki hata mpakestina mmoja avuke mpaka kuingia Misri kwa kisingizio Cha kukimbia mapigano wanaogopa Hamas wasiingie Misri wakiwa kwenye mavazi ya kiraia

Saudi Arabia vile vile hawataki wapalestina waingie kwao
Hiyo sio kweli.Tangu siku za mwanzo Misri waliweka wazi mkakati wao kuwa hawawezi kuruhusu wapalestina watoke kwenye ardhi ambayo imeshaamuliwa ndipo pataundwa taifa lao.
Hayo mengine yanafuatia hilo
 
Nadhani Hamas hawatothubutu tena kuwachokoza Israeli.
Madhara wanayo yapata ni makubwa sana.

Nina uhakika wanajutia kitendo chao cha kuivamia Israeli na kufanya mauaji na utekaji.
 
Ndugu yangu Alwaz Saudi Arabia na misri hawataki wakimbizi na kamwe nchi za kiarabu huwa hawana tabia ya kupokea wakimbizi..
Saudi Arabia hayupo tayari kumsaidia MTU yeyote Kwa njia ya vita Hilo sahau na kamwe hawatakuja kuingia vitani Kwa kumtetea Palestine
Saudia wakikasirika kupitia mwana mfalme basi si lazima wapeleke jeshi kupigana na Israel ana kwa ana na kwa sasa hakuna haja ya kufanya hivyo kwani Israel mwenyewe yuko hoi ardhini.
Anachoweza kukifanya kwa ufanisi ni kuachia makundi kama yale yanafadhiliwa na Iran yapeleke nguvu kimya kimya na wakipiga serikali itasema haijafanya.
Saudi Arabia kwa Israel wana nguvu kubwa sana kuimaliza kwa muda mfupi kama watatumia mbinu hiyo kwani wapo karibu zaidi na Israel na wanamiliki rasilimali nyingi za kuzuia Israel isiendeleze kiburi chake.
 
Back
Top Bottom