saudi arabia

  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuilipua Al Kaaba Endapo Saudi Arabia Itaendelea na Msimamo wake

    Kumekucha naona Iran wametishia kulipua makazi ya Allah endapo Saudi Arabia itafanya shambulizi lolote dhidi yake. Sijui Allah atapona na kama akipona sijui atahamia wapi, au iran watajenga Al Kaaba nyingine kwao?
  2. O

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni.

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
  3. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Unapotaka kuishi kama upo Saudi Arabia hakikisha una pesa ya kutosha

    Kuna bodaboda leo nmemtuma akaniletee futari yangu pendwa "kitimoto" ili niiandae mapema kabla ya mda wa kufuturu, sasa namuagiza anasema eti yeye hawezi kubeba nyama ya Nguruwe kwani amefunga nadini yake hairuhusu. Sikilizeni nyie, hao mnaowaiga wana pesa na visima vya mafuta, wewe upo huku...
  4. Il Padrino

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Uhasama baina ya Saudi Arabia na UAE

    Katika siku za hivi karibuni, wachambuzi na waandishi wa habari wengi wa Magharibi wamekuwa wakihangaika kueleza ufa unaokua kati ya Saudi Arabia na UAE. Maoni mengi yanayochapishwa yanakinzana au ni ya juu juu. Makala hii inalenga kueleza kwa ufupi na kwa mtazamo wa kimaudhui hatua kuu...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia na UAE zatunishiana misuli kisa Yemen

    Mbwa kala mbwa, yetu macho, hawa wote ni wale wale, hapa wanalumbana kisa Yemen. Hii ni habari njema maana mapesa yote yanayofadhili uzombi wa muarabu duniani hutoka kwa haya mataifa mawili. ------++- DUBAI, Jan 1 (Reuters) - Flights at Yemen’s Aden international airport were halted on...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia

    Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia. ============ Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akiambatana...
  7. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasilisha ujumbe maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia

    Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia Dodoma, 23 Disemba,2025 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo ( Mb) akiambatana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Profesa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingi kama Saudi Arabia wanauziwa F-35 copy. Ni Israel pekee anauziwa mashine kamili

    Nchi nyingi zinazonunua ndege za kivita aina ya F-35 huuziwa toleo la kawaida, lenye udhibiti mkali. ni sawa na kununua simu ya mkopo au iliyofungiwa laini ya tigo au yas, Israel ndiyo taifa pekee (isipokuwa Marekani yenyewe) linaloruhusiwa kufanya modifications za F-35 ikiwemo kuweka avionics...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Show ya CARD B huko Saudi Arabia lilipo chimbuko la Uislamu yazua Gumzo

    Hivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Balozi za China, Saudi Arabia, Russia, Korea Kaskazini na UAE bado twangojea tamko lenu juu ya mauaji na madhila yanofanywa na serikali ya Tanzania.

    Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini. Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini. Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
  11. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanganyika yageuka Saudi Arabia, uongozi wa kifalme

    Mwananchi anasema Tanganyika Kumbuka Mtanganyika haruhusiwi hata kumili ardhi Zanzibar:confused:😕
  12. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Saudi Arabia yapata Mufti

    Jana siku ya jumatano ya tarehe 30 rabiy-l - Akhiyr 1447 (H) sawa na 22 September 2025 (AD) ufalme wa Saudi Arabia umemteua na kumtangaza Sheikh Dr Swaaleh bin Fauzaan bin Abdillaah Al fauzaan kuwa Mufti mkuu wa nchi hiyo akimrithi mufti aliyetangulia Sheikh Abdul Aziyz bin Abdillaah Aal - Al...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa UAE na Saudi Arabia kukataa kuwezesha ujengaji mpya wa gaza hadi hapo hamas watakaposhusha silaha zao na kutoweka.

    Baada ya kuwa qatar na turkey wanamchekea chekea hamas kwa unafiki wao wa kuwatakia mema wana gaza kumbe wanafurahia ya hamas kufanya taharuki, wenyewe uae na saudi arabia wamekataa ujinga huo. Kumbuka UAE, chama cha kigaidi cha Muslim brotherhood kimepigwa marufuku ila Qatar ndio makazi yao.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yazuia kombora la Yemen kuelekea Israel, likipita juu ya Madīnah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī

    Huu ndio ujirani Mwema, Saudi Arabia wamezuia makombora ya magaidi wa Yamen yaliyokuwa yakielekea Israel, Makombora hayo yalionekana yakipita juu ya mji wa Madinah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa Masomo Saudi Arabia 2025/2026

    SCHOLARSHIP ZA SAUDI ARABIA 2025/2026 Serikali ya Saudi Arabia imetoa nafasi 127 za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wale wanaotamani kusoma nje ya nchi, hususani katika fani zinazohusiana na Data Science, Artificial Intelligence na...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe Saudi Arabia chagonga chini, watu zaidi ya 20 wajeruhiwa

    RIYADH, Saudi Arabia (AP) — Ajali ya kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe ya Green Mountain iliyopo magharibi mwa Saudi Arabia imesababisha majeruhi zaidi ya watu 20 na kulazimu mamlaka kufunga mbuga hiyo pamoja na kuamuru uchunguzi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Ajali...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi Mkenya aliyepotea Saudi Arabia kwa miaka 12 apatikana amefungwa gerezani kwa makosa ya uchawi.

    Esther Maria Njeri aliyepotea mwaka 2012 akiwa mfanyakazi wa ndani Saudi Arabia amegundulika kuwa mfungwa katika gereza la Almaz baada ya Mkenya mwenzake aliyeachiliwa kutoka gereza hilo kuwaambia ndugu zake waliokuwa wakimtafuta kwa miaka 12 kwamba walikuwa wote gerezani huku Esther akiwa...
  18. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Al-Waleed bin Khalid bin Talal, amefariki miaka 38 baada ya kuwa katika hali ya koma kwa zaidi ya miaka 20

    Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Al-Waleed bin Khalid bin Talal, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38 baada ya kuwa katika hali ya koma kwa zaidi ya miaka 20. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Kiarabu, Prince Al-Waleed aliingia kwenye koma tangu mwaka 2005 baada ya kupata jeraha la kichwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Aisee..! Saudi Arabia hata iwekeze fedha kiasi gani ligi yao itakuja kujifia kama iivyokuwa kwa China kwa sababu hii

    Jana nilicheki mechi ya Fluminense vs Al Hilal na Leo nikacheki mechi ya PSG vs Bayern Munich Nilichokiona kwenye mechi hizo mbili kimeniambia kwa nini Ligi kama ya Saudi Arabia itaishia kuwa kama ya China tu baada ya kuwekeza mafedha mengi Al Hilal na Bayern Munich wote wametilewa kwenye...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 Iran ilishambulia kwa drones mitambo ya kuzalisha mafuta ya kampuni ya Saudi Arabia ya Aramco na kufanya uharibifu mkubwa

    22.09.2019 Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Jumamosi alisema Iran inahusika na mashambulizi ya Aramco. "Tuna uhakika kwamba makombora yanayolenga Aramco yanatoka kaskazini, sio Yemen. Saudi Arabia inajaribu kutafuta mahali ambapo makombora yanarushwa," Adel al-Jubeir alisema katika mkutano...
Back
Top Bottom