Houth waionya Saudi Arabia pindi ikitoa ushirikiano kwa maadui zake.Waziambia Urusi na China wasiwe na hofu kupita red sea.

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,199
10,932
Kiongozi mkuu wa kundi la Houth linalopambana na mataifa matatu yanayoiunga mkono Israel kuendeleza vita Gaza,ameionya Saudi Arabia isije ikafanya kosa la kutoa ardhi yake kufanikisha kushambuliwa kwa Yemen.
Onyo hilo limetolewa na Mohammed Ali al-Houthi kupitia mahojiano na kitua cha televisheni cha Almasirah hapo jana.
Houthis warn Saudi Arabia ‘it would be a target’ if it backs US-UK strikes
1711437782024.png
 
Marekani kukosa kiongozi imara mithili ya Ronald Reagan, Richard Nixon au George Bush (Jr) ndio maana bado hao magaidi wa Houthi wanapumua hadi sasa.
enzi zile zimepita.Marekani sasa anaogopa Houth,Taliban na Hizbullah
Ameshindwa kumng'oa Bashar AL Asad,Nicholas Maduro,Kim jONG Un na wengine wengi.Anawaangalia tu na kuwabwekea.
Houth ni mwiba zaidi kwa America kuliko hata Bashar Al Assad kwa sababu wamekalia eneo muhimu na wana nia ya kulilinda.
 
A.Marekani sasa anaogopa Houth,Taliban na Hizbullah
Ameshindwa kumng'oa Bashar AL Asad,Nicholas Maduro,Kim jONG Un na wengine wengi.Anawaangalia tu na kuwabwekea.
Houth ni mwiba zaidi kwa America kuliko hata Bashar Al Assad kwa sababu wamekalia eneo muhimu na wana nia ya kulilinda.
Jihadists mnashangaza sana, akiwatandika ili kuwaondoa nyie tena ndio mnakuwa wa kwanza kulalamika na kusema Death to America..!! Akiwaacha tena mnakuwa wa kwanza kusema oh ameisha na hana nguvu.

Jihadists bure kabisa.
 
Hiyo itakuwa ramani ya Mchungaji wako asiye na Elimu wala historia ya dunia. Hiyo Saudi Arabia tangu lini imekuwa sehemu ya Wayahudi?

Udini ni janga kwa wa-Afrika.
Kabla ya mwaka 1948 Yemen Ndio ilikuwa nchi yenye wayahudi wengi Mashariki ya Kati.

Wayahudi walikuwa na nchi/kingdom aneo la Saudi Arabia ya Leo, Ndio maana kwenye mafundisho ya Waislam mtume wao alikuwa anazungumzia sana kuhusu Wayahudi wa Hejaz
 
Soma Historia, usikaririshwe na Mchungaji Mbumbumbu. Mtume kuongea habari ya uwepo wa Wayahudi Saudia Arabia nini unakiona cha ajabu. Mtume amekuja miaka miaka 600 baada ya Yesu. Mwaka wa 70 baada Kristo Jenerali Tito wa Dola ya Rumi aliliteka Yerusalemu na kuingamiza Hekalu la Sulemani. Na Sheria ikatungwa kwamba Wayahudi hawaruhusiwi kuwepo eneo lote lililokuwa ya Ufalme wa Israel na jina la Israel likabadilishwa na kuitwa Palestine. Hivyo, wayahudu walitawanyika kila uelekeo wa dunia ikiwemo YEMEN na SAUDIA maana ndo maeneo ya karibu zaidi na kwao ili kujinusuru na maangamizi wa Dola ya Rumi. Wayahudi walifika hadi Hispania na Ethiopia. Hivyo, kuwa na Wayahudi pale Saudi Arabia isikushangaze ukizingatia pale ni kwa ndugu yao Ismail.
 
Soma Historia, usikaririshwe na Mchungaji Mbumbumbu. Mtume kuongea habari ya uwepo wa Wayahudi Saudia Arabia nini unakiona cha ajabu. Mtume amekuja miaka miaka 600 baada ya Yesu. Mwaka wa 70 baada Kristo Jenerali Tito wa Dola ya Rumi aliliteka Yerusalemu na kuingamiza Hekalu la Sulemani. Na Sheria ikatungwa kwamba Wayahudi hawaruhusiwi kuwepo eneo lote lililokuwa ya Ufalme wa Israel na jina la Israel likabadilishwa na kuitwa Palestine. Hivyo, wayahudu walitawanyika kila uelekeo wa dunia ikiwemo YEMEN na SAUDIA maana ndo maeneo ya karibu zaidi na kwao ili kujinusuru na maangamizi wa Dola ya Rumi. Wayahudi walifika hadi Hispania na Ethiopia. Hivyo,
According to Al-Masudi the northern part of Hejaz was a dependency of ancient Israel and according to Butrus al-Bustani the Jews in Hejaz established a sovereign state. The German orientalist Ferdinand Wüstenfeld believed that the Jews established a state in northern Hejaz.

Hao ni wanahistroia wa kiarabu wanatoa hayo maoni.

Wayahudi walianza kuhamia Na kuishi Yemen na Arabian Peninsula kabla ya mwaka 70AD
 
Kabla ya mwaka 1948 Yemen Ndio ilikuwa nchi yenye wayahudi wengi Mashariki ya Kati.

Wayahudi walikuwa na nchi/kingdom aneo la Saudi Arabia ya Leo, Ndio maana kwenye mafundisho ya Waislam mtume wao alikuwa anazungumzia sana kuhusu Wayahudi wa Hejaz
Kumbe umekubali kuwa walikuwepo tu.Na haijawahi kukanushwa na waislamu.
Sasa imekuwaje unasema nchi nzima ni yao.Hilo ni dai la kifisadi.
 
enzi zile zimepita.Marekani sasa anaogopa Houth,Taliban na Hizbullah
Ameshindwa kumng'oa Bashar AL Asad,Nicholas Maduro,Kim jONG Un na wengine wengi.Anawaangalia tu na kuwabwekea.
Houth ni mwiba zaidi kwa America kuliko hata Bashar Al Assad kwa sababu wamekalia eneo muhimu na wana nia ya kulilinda.
Yes ni kama zaman tulikuwa tunajua eti nchi inayojua mpira ni Brazil pekee yake ..hivyo hivyo vitu alivyotsngulia kumiliki usa na nato yake kila nchi sasa inauwezo wa kuwa navyo amna maajabu
 
Back
Top Bottom