kutetea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kazi ya vyama vya wafanyakazi, kama kwa mfumuko wa bei hivi sasa hakuna chama chochote kimetoa kauli kutetea maboresho ya mishahara?

    Ndugu zangu vita inayoendelea Irani imesababisha upandaji wa bei ya nishati kitu ambacho kimesababisha mfumuko wa bei kwenye bidhaa karibu zote,kwenye uchumi gharama za nishati/mafuta/gas zikipanda lazima bei ya bidhaa ipande. Kwasasa hali ya maisha kwa upande wa wafanyakazi imekua mbaya zaidi...
  2. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Tukienda kwa maudhui, falsafa na kutetea kwa ustadi kile anachokiandika kimantiki bila mihemuko, hakuna mtu humu anaemzidi hamiss77

    Katika hizi nyakati ambazo JF inapotelewa na vitu konki mwamba ndio amebaki wa mwisho mwisho. Wapo pia wana JF mahili humu ila kijana 77 ni kinara. Kongole kwake.
  3. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tume imejikita kutetea report ambayo hatujaiona na huenda hatutakuja kuone kamwe...!!?

    Nimefuatilia mazungumzo ya tume. Naona wako busy kujitetea badala ya kutufafanulia na kuthibitisha ushahidi kwa kile kilichotokea..!?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Binafsi niwapongeze Pro Iran wanafanya kazi ngumu sana kutetea Iran ambayo hata intelligence inashindwa kulinda mkuu wa Intelligence

    Kiukweli Iran imewangusha sana wafuasi wake kote duniani Kwa aibu kubwa aliyoipata ya kushindwa kulinda viongozi wao Wanazidiwa hadi na mchwa wanaolinda Malkia wao Kwa gharama kubwa Pili intelligence Yao imeonyesha udhaifu mkubwa Hongereni sana team Iran mmeamua kufa na tai shingoni msife...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni awataka wanafunzi kutetea misingi ya Muungano

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu nchini na vijana kuendelea kulinda na kutetea misingi ya Muungano iliyoachwa na Waasisi. Mhandisi Masauni ameyasema hayo Aprili 06, 2026 Jijini Dar es...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Kutetea Wamasai Lapinga Ripoti za Tume za Rais Kuhusu Ngorongoro

    Jukwaa la kimataifa la kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), limetangaza kupinga vikali ripoti mbili za tume za rais zilizowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2026 katika Ikulu ya Chamwino State House. Katika taarifa yake ya Machi 18, 2026, MISA...
  7. The Dictator

    JamiiForums Tanzania JAMIIFORUM DAILY: Wachambuzi wa vita ya US-ISRAEL/IRAN wakibishana ONLINE.

  8. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka aliyetoa amri watu wasiokuwa na hatia wakauliwa akikiri hadharani kuwa alifanya kosa ili kutetea urais wake ndio watanzania watakaa kimya

    Mwabukusi sijakuelewa. Unataka viongozi wasiongelee yaliyotokea Oktoba 29? Au ninyi mumeelewa vipi? Kutoneshana kunatoka wapi? Watu wameuliwa majumbani kwao sababu tu watu wasalie madarakani.
  9. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema. Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania SGR sehemu kubwa ikitokea mvua kwa ujenzi huu mtapokezana mawaziri kuongea kutetea

    Kiufupi unajifunza kutokana na mazingira na kufananisha. Huu mradi wamelipua sehemu nyingi sana njia za reli ni kama pesa imepigwa sana. Mikoa korofi kama morogoro mvua zikinyesha lazima kufunga njia nyingi za usifiri. Je wanajua shida nini.?. Serikali inapeleka wasanii nchi za nje kwa kipi...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wana jamiiforum wenzagu kuna mic ambayo wakiitisha kutetea serikali mbovu inawekwa mjafahamu.

    Chunguzeni kuna mic ambazo ufahamu ni kituo gani wala chanzo chake. Na mic hizo utaziona zikiwa kwa wanao iongelea serikali hii ya kishenzi.
  12. Life2

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Kutetea maovu

    Hii kasumba ipo sana miongoni mwa Watanzania, zamani ilikua ni kwenye vijiwe vya kahawa. Hatimaye imekua Kansa sugu, taasisi za kidini, vyama vya siasa, vyombo vya ulinzi, viongozi wakubwa wa nchi wastaafu na wasasa, vijana, wazee, Radio na hata mitandao ya kijamii. Kwa sasa ni kitu cha...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtindo wanaotumia kikosi cha propaganda wa kutetea serikali za CCM

    Hivi wana Jamiiforums hamjashtuka au mpaka tuwape code. Ni hivi labda mtanielewa, kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao. wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au mada inapigiwa chapuo kisha ina pelekwa mitandaoni ijalishi kama ana media,msanii, account zao feki...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Oktoba 29 inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini

    Tarehe 29 October inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini. Mimi nipo mstari wa mbele kupigania mabadiliko na kusimama na watanzania kwa hali zote, nime mwaga machozi kwa kutambua kuwa watanzania walikufa kwa kunipigania mimi na wewe...
  15. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wamakonde ndio wanaiweza kazi ya kutetea haki yao

    Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Huwezi kumuabudu Mungu wa kweli halafu ukaogopa kutetea haki au kupinga waovu. Utakuwa humjui Mungu

    HAUWEZI KUMUABUD Mungu WA KWELI ALAFU UKAOGOPA JAMBO DOGO NA RAHISI LA KUTETEA HAKI AU KUPINGA WAOVU. UTAKUWA HAUMJUI MUNGU WEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Mungu haabudiwi na watu waoga. Mtu mwoga atakuwa na sifa nyingine mbaya ya unafiki. 2. Ni rahisi Muuaji na mtekaji au muuza...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania DC Magoti unataka kuwafanya wenzako viwete kwa kutetea haki zao. Wewe aliyekufanya kiwete ulikuwa unatetea jambo gani muhimu?

    DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo. 2. Sijui historia...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi/ polisi na Usalama wafundishwe Ujasiri wa kupinga dhulma na kutetea Haki ndani ya Nchi. Huo ndio ujasiri wa Kweli na sio vinginevyo.

    WANAJESHI/ POLISI NA USALAMA WAFUNDISHWE UJASIRI WA KUPINGA DHULMA NA KUTETEA HAKI NDANI YA NCHI. HUO NDIO UJASIRI WA KWELI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa kuu za mwanajeshi na askari ni kuwa JASIRI na ili Mwanajeshi aitwe Jasiri lazima awe jasiri wa kupigania...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Bungeni Nimefukuzwa Kwa Kutetea Wananchi, wanataka Wabunge Wagonga Meza tu!

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema anaifahamu kwa kina mizigo ya Watanzania, ikiwemo changamoto za kilimo, ufugaji, biashara, uchimbaji madini, bodaboda na hata suala la kufungiwa makanisa, na kusisitiza kuwa amedhamiria...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kama wapalestina wenyewe wanasema hivi wewe Mwarabu-koko unapata wapi ujasiri wa kutetea Magaidi wauaji?

    Mpwa wa gaidi wa Kipalestina azungumza na kumaliza mabishano ya Wapalestina.
Back
Top Bottom