saudi arabia

  1. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo: Ligi ya Saudi Arabia ni bora kuliko Ligi ya Marekani (MLS)

    Mshindi wa tuzo za Ballon D’or mara 5, Cristiano Ronaldo amekaririwa akisema Ligi Kuu ya Saudi ni bora kuliko ile ya Marekani (MLS). “Nina uhakika 100% sitarudi tena kuchezea klabu yoyote ya Ulaya kwani nina furaha huku. Mimi nilifungua njia ya kuja huku, na sasa wachezaji wengi wanakuja...
  2. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Waarabu wanaendelea kumininika Tanzania na Miradi ya maendeleo. Sasa Saudi Arabia

    Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..." Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai. Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni. Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa UEFA Ceferin atoa Onyo kinachoendea Saudi Arabia

    Rais wa UEFA Ceferin: "Usajili wanaoufanya SAUDIA ni makosa kwa soka la kwao. Wawekeze hizo pesa kwenye academy, walete makocha na waendeleze wachezaji wao wenyewe, kununua wachezaji wanaomalizia soka lao sio mfumo wa kuendeleza soka, kosa kama hilo walilifanya China.”
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi za Usajili: Lionel Messi kutua Saudi Arabia kwa Trilioni 1.5, Baba yake akanusha

    Awali ilidaiwa kuwa mchakato wa nyota huyo wa Paris Saint-Germain, Lionel Messi (35) kusaini mkataba wa Pauni Milioni 522 (Tsh. Trilioni 1.5) umekamilika na anaweza kujiunga na Klabu ya Al-Hilal kuanzia msimu ujao. Jorge ambaye pia ni Wakala wa Messi amedai hakuna mazungumzo yoyote kuhusu...
  5. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Kesho ijumaa kama Saud Arabia nchi ya mtume SAW hawatakula IDD basi JF wanipige ban ya masaa 24. Hizi dini ni za magumashi amkeni. Cc: Kiranga
  6. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, Oman na nchi nyingine Eid kesho Mwezi wa Shawwal ulishaonekana

    Kada Abubakar Zuberi na tawi lake la CCM (BAKWATA) kama kawaida watatufungisha siku ya Eid.
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia na Washirika wa OPEC+ wakubaliana kupunguza uzalishaji Mafuta ili kulinda Soko

    Muungano huo ukiongozwa na Saudi Arabia utapunguza kiasi cha Mapipa Milioni 1.5 kila siku kuanzia Mei 2023 huku ukiita hatua hiyo ni ya tahadhari na inayolenga utulivu wa soko. Saudi Arabia itapunguza Pipa 500,000, Iraq 211,000, Umoja wa Falme za Kiarabu 144,000, Kuwait 128,000, Oman 40,000...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kufanya kazi kiwanda cha Almarai Saudi Arabia namuhitaji

    Habari wakuu. Kama kichwa kinavyoeleza. Natafuta mdau aliyewahi kupiga kazi kama unskilled labour kwenye hiko kiwanda cha Almarai. Niliwahi kuwa kwenye mchakato bahati mbaya nikapoteza passport. Na kampuni ilikufa iliyokua ndiyo agent. Kama kuna aliyewahi kupiga kazi nahitaji kuuuliza mambo...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Urusi, China, Iran na Saudi Arabia zaanza maandalizi ya kuachana na matumizi ya Dola ya Marekani

    Ripoti mbalimbali zinadai kuwa Benki kuu za Urusi na Uchina zimeanza kuondoa akiba ya dola ya Marekani katika hifadhi yake huku biashara zake nyingi zikiendeswa kwa Yuan ya China. Kuhama huku kutoka kwenye dola kumechochewa na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi kwa kuivamia Ukraine...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya Saudi Arabia na Iran yadhihirisha diplomasia ya amani ya China

    Machi 10, 2023, China, Saudi Arabia na Iran zilitoa taarifa ya pamoja mjini Baijing, ikitangaza kuwa nchi hizo mbili za Mashariki ya Kati zitarejesha uhusiano wa kidiplomasia na kutekeleza makubaliano muhimu ya pande mbili yaliyositishwa kwa miaka saba. Maendeleo hayo adimu ya kidiplomasia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Saudi Arabia kuwaleta wawekezaji

    WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan nchini Saudi Arabia, imeanza kuleta matunda. Waziri Ulega ameeleza kuwa kufuatia ziara hiyo, mamia ya wawekezaji Saudi Arabia wameonyesha nia ya kutaka kuwekeza katika sekta ya mifugo na uvuvi nchini...
  12. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yapiga marufuku adhana, Watoto kuswali misikitini pamoja na sauti za juu

    Wizara ya masuala ya kiislamu ya Saudia ilitangaza sheria mpya za Ramadhani ambazo zinawakera Waislamu wengi duniani kote. Wizara ya hiyo ilitoa kanuni na vizuizi vya kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka wa 2023, miongozo hiyo ni pamoja na marufuku ya kutumia vipaza sauti, i'tikafu bila...
  13. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani, Saudi Arabia imepiga marufuku matumizi ya vipaza sauti misikitini.

    Kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani unaotarajia kuanza tarehe 22 mwezi huu, Saudi Arabia imepiga marufuku matumizi ya vipaza sauti na matangazo ya mahubiri misikitini. Soma hapa...
  14. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

    OPERATION SANDMAN now activated. Saudi Arabia announces END of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire Wednesday, January 18, 2023 As we have consistently warned for more than a year, Operation Sandman has now been activated, with Saudi...
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vilabu viwili vya Saudi Arabia vyachuana kupata saini ya Lionel Messi

    Al Ittihad na Al Hilal wameripotiwa kuwa tayari kutoa Euro 350 milioni kwa Messi ili kumnasa kuondoka PSG. Kwa mujibu wa MARCA, klabu zinajipanga kumnasa Messi baada ya Al-Nassr kumsajili mpinzani wake wa milele Cristiano Ronaldo wiki chache zilizopita...
  16. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ronaldo na kufuru yake nchini Saudi Arabia

    Cristiano Ronaldo, familia yake pamoja na wapambe wake wataishi kwenye hoteli moja balaa sana nchini Saudi Arabia ambapo watamiliki jumla ya vyumba 17 na watakuwa wakizilipia jumla ya dola za kimarekani 300,000 kwa mwezi sawa na zaidi ya shilingi milioni 650 za kitanzania kwa mwezi. Sasa jamaa...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia kubadilisha sheria zake ili kuruhusu Ronalo aishi na mpenzi wake bila ndoa

    Saudi Arabia ambayo huendeshwa kwa sheria za dini ya kiislamu, wanafanya maandalizi ya kupindisha sheria ili Ronaldo aruhusiwe kuishi na mpenzi wake ndani bila ndoa.... Ni nchi ambayo huwa hawakawii kukata watu vichwa ka sheria zao kali za kidini...... Saudi Arabia is likely to bend its laws...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha linaanza upya, Kocha mpya wa Ronaldo asema alitaka kumsajili Messi

    Katika kile kinachoonekana anataka ‘kutikisa kiberiti’ japo haijajulikana kama alikuwa anamaanisha au anatania, Kocha huyo wa Al-Nassr, Rudi Garcia ametoa kauli hiyo mbele ya waandishi wa habari wakati alipoulizwa juu ya ujio wa Cristiano Ronaldo kikosini hapo. Amesema “Nilitaka kumsajili...
  19. Poker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo kuingizia Billion 1.5 kwa siku huko saudi Arabia

    Umri wake ni miaka 37 mwakani mwezi wa 2 tarehe 5 atakuwa na miaka 38. Amesaini mkataba wa kufuru utakaomfanya kulipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yoyote duniani!
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Neville na Carragher wasema Ronaldo amejimaliza Kisoka kwenda Saudi Arabia

    Kauli za Wakongwe hao wa Soka zinakuja muda mfupi baada ya #CristianoRonaldo kujiunga na Klabu ya #AlNassr kwa mkataba wa miaka miwili na nusu wenye thamani ya Tsh. Bilioni 493.7 kwa mwaka, sawa na Tsh. Bilioni 41.1 kwa mwezi. #GaryNeville ambaye amewahi kuchezea #ManUnited amesema "Nilihisi...
Back
Top Bottom